nchi

  1. S

    JamiiForums Tanzania NI Imani potofu kuhubiri kuwa kanisa limekufa Yesu hakuhubiri kuwa Lazaro kafa.akizunguka nchi nzima alimfumfua

    Kuna changamo kwa kanisa sasa hivi kuna wahubiri huhubiri kuwa kanisa limekufa Mfu hasikii sauti yeyote kinachotakiwa ni hao wahubiri kuwa na nguvu ya kufufua Fikiria Yesu angekuwa anazurura uyahudi yote na samaria akihubiri kuwa Lazaro kafa Mchungaji Magembe ajitathimini mahubiri yake
  2. JamiiForums Tanzania Ripoti ACLED: Nchi 10 za Afrika zilizoongoza kwa Vurugu na Migogoro ya Kisiasa kwa mwaka 2024

    1. Nigeria 5 2. Sudan 8 3. Cameroon 9 4. DR Congo 13 5. Ethiopia 20 6. Somalia 21 7. Mali 22 8. Kenya 23 9. Sudan Kusini 24 10. Burkina Faso...
  3. JamiiForums Tanzania Msumbiji itakuwa miongoni mwa nchi tajiri duniani miaka 30 ijayo

    Katika nchi ambazo Mungu ameweka rasilimali nyingi ardhini ni pamoja na Msumbiji, Kongo, Zimbabwe, Zambia, Angola na Tanzania. Lakini hizo nchi tajwa zina watu wenye maisha magumu mno. Kinachohitajika ni akili mpya, mtazamo mpya, watu wapya na hari mpya. Nchi ya Marekani ilipata hari mpya...
  4. JamiiForums Tanzania Utabiri wa shekh Yahya - "baada ya Raisi mwanamke upinzani kuchukua nchi"

    Nimeikuta hii mahali wakuu, ni kweli hii au wanazengo wamejiongeza?
  5. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya umoja wa mabaharia Tanzania yampongeza waziri Kombo kwa kazi nzuri ya kuhudumia mabaharia wa Tanzania nje ya nchi

    JUMUIYA YA UMOJA WA MABAHARIA TANZANIA YAMPONGEZA WAZIRI KOMBO KWA KAZI NZURI YA KUHUDUMIA MABAHARIA WA TANZANIA NJE YA NCHI Jumuiya ya Umoja wa Mabaharia Tanzania imempongeza Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, kwa juhudi kubwa...
  6. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Tunamtaka Rais Mwinyi atengue uteuzi wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, na Idara Maalum za SMZ

    ACT WAZALENDO TUNAMTAKA DR. MWINYI ATENGUE UTEUZI WA WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, TAWALA ZA MIKOA, NA IDARA MAALUM ZA SMZ Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa taarifa ya kuuliwa kwa watu wawili na Kikosi cha KVZ cha Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na mtu mmoja...
  7. JamiiForums Tanzania Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab

    Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab ikiwemo watu wa Palestina
  8. JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa Mafuta Duniani, bado USA kaziacha by Far nchi za Gulf States

    Watu wengi wamejidanganya Sana eti Marekani anaiba mafuta Uarabuni bila kujua Marekani ni kinara wa Uzalishaji wa crude oil duniani USA anazalisha pipa million 21 kwa siku na kumuacha Saudi Arabia, Russia kwa mbali Sana. Bado USA ni kinara kwenye Uzalishaji wa gesi duniani. Ukijumlisha na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Huenda bwana Dudu Baya akawa ndio akawa ndio Mshauri mashuhuri wa NCHI!

    Heri ya Xmas Niende kwenye mada kwa Tanzania asaiv huenda bwana DUDU BAYA akawa ndio MSHAURI mashuhuri wa NCHI hii ni baada ya kuona ikitokea sintofahamu yoyote nchini waaandishi mara moja hukimbilia kumuomba ushauri au maoni iwe kisiasa kimapenzi nk...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kimaendeleo

    #Repost @mwananchi_official —— Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema iwapo Watanzania wangekuwa na ari ya kujituma kama wanavyofanya Wachaga, nchi ingekuwa mbali kwa maendeleo. Kikwete ametoa sifa hizo kwa Wachaga, huku akiyahusisha baadhi ya makundi ya watu nchini, ambayo hata kulima kwa ajili...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa ambae anafahamu Waziri wa Ajira kwa sasa ni nani Ndejembi, Ndalichako au Ridhiwani?

    Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri. Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani? Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana: Tukitaka kuibadiri nchi hii tujiunge na CCM

    Japo nafasi ni chache ndani ya ccm lakini hadi sasa kwa haya yanayo endelea chadema, chama pekee ambacho hakina maslahi binafsi ni CCM. Sikuwahi kuamini kelele za watu kwamba chadema ni chama cha familia ya mbowe hadi juzi alipo chokonolewa na kusema ukweli. Chadema is a very good business kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Unawakutaga na mabango ya "DEATH TO AMERICA", alafu tabu inapowafikia nchi ya kwanza kuanza asylum ni America. Unafiki mkubwa

    Mara ooh "mashoga", mara mashetani, mara illuminati ila wanapoeletewa shari na watu wa itikadi yao wenyewe tena wanakimbilia kule kwa mashoga kupata hifadhi zidi ya majanga na vifo wanavyoletewa na watu wao wa itikadi sawa wanaoikubali. . Mna vituko sanaa🚮🚮
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa WASAFIRI NA DIASPORA TU: Lets Go, Wale mliofanikiwa kwenda nchi za Ulaya au America tuambieni ni njia zipi mlizitumia??? AGENTS??

    Habari Kama Heading inavo sema, hii ni kwa watu wa safari tuu ikiwa wew huamin katika safar na upambanaji katika nchi za watu basi pita kushoto hii haikuhusu Kwa wale wenzangu wenye ndoto za kusafir kwenda Poland, Australia, Ujeruman, Denmark, Scandinavia, UK, Canada, US na nchi nyingn zenye...
  15. JamiiForums Tanzania Ajali za mwisho wa mwaka, Je ni Africa peke yake au hata nchi zilizoendelea ? Je ni dhana ya ulozi au Uzembe tuu ? Mbona watu wanapotea kizembe hivi ?

    Salaam Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi za Kiislamu zinaendelea kukumbwa na umaskini? Sababu zilizofichika za Kihistoria na Kisasa

    Nchi nyingi zenye Waislamu wengi zinakabiliwa na changamoto kubwa za kiuchumi, hali inayochangiwa na sababu za kihistoria, kitamaduni, na taasisi. Nchi kama Morocco na Yemen, licha ya historia tajiri ya kiasili, zinakumbwa na viwango vya juu vya umasikini, huku wastani wa Pato la Taifa kwa kila...
  17. JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni sifa za kipekee za nchi mbalimbali duniani, nchi yako inasifika kwa kitu gani? (Usitaje amani maana hauna hati miliki)

    Katika ulimwengu wetu uliojaa maajabu, kila nchi ina kitu ambacho inaongoza au inajulikana nacho duniani. Wakati mwingine, ni jambo la kufurahisha, la kushangaza, au hata la kusikitisha. Katika uzi huu tutagusia kiufupi sifa ya kila nchi kama ifuatavyo; Afghanistan hadi Angola Afghanistan...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Trump aziambia nchi za umoja wa ulaya zinunue gesi na mafuta zaidi kutoka Marekani au ataongeza ushuru kwa bidhaa za kutoka jumuiya hiyo

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka Marekani. Trump alitoa taarifa hiyo kupitia post katika mtandao wa Truth aliyoichapisha Alhamisi usiku...
  19. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea CHADEMA: Watu wanaanza kutuelewa kwa nini tunawaambia, wasishabikie vyama vya siasa, washabikie Rais wao wa nchi.

    Kila mtu anaona na kusikia yanayotokea chama kikuu cha Upinzani CHADEMA. Wanachama wanaumia sana mioyoni mwao kutokana na mnyukano unaoendelea. Saaafi sana. Sisi, kama Wafuasi wa kujitolea wa Rais tunaamini kitu kimoja hapa Duniani: Nchi ni Rais. Rais ni nchi. Nchi ni wananchi. Wananchi ni...
  20. JamiiForums Tanzania Ama kweli kusikia kwa kenge mpk atoke damu puani!.

    Tumekamata mwizi tukaanza kukung'unta, piga mwizi mpaka akapandisha mapepo!. tukajua anatania tukaendelea kupiga tu! wacha mapepo ya mwizi yacharuke zaidi!, yakagoma hayasikii chochote ukirusha jiwe linadakwa linarudishwa!. mshale unakwepwa tukaona hii ishakuwa serious mapepo yakawa yanaongea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…