nchi

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia kujengewa misikiti 200

    Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti. TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake. Badala yake...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi tatu za Afrika magharibi zajitoa kwenye OIF

    Nchi tatu za Afrika Magharibi, Mali, Niger na Burkina Faso hivi karibuni kwa nyakati tofauti zimetangaza uamuzi wao wa kujitoa katika Jumuiya ya Francophonie (OIF). Nchi hizo ziliwahi kujulikana kama nguzo ya “Afrika ya Ufaransa”, lakini sasa zimechukua hatua thabiti kuondoa alama za kikoloni...
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasikitisha: Rais Samia kasahau nchi anafikira chaguzi tu kwasasa?

    Nitawapa mambo mawili muhimu Afya: Pamopja na tatizo kubwa ya mfuko wa bima wa taifa sasa kuna watanzania zaidi ya 1.5M wenye virusi vya ukimwi ambao walikuwa wanategemea USAID. Raisi Trump wa USA kafuta hili shirika na kuzuia pesa. Sasa mpaka leo kama Raisi hajaongea lolote na hakuna mpango...
  4. JamiiForums Tanzania Aliye Juu Msubirie Chini, Cha Msingi Mijeledi Usiizoee: Jinsi Uingereza Inavyoelekea Kuwa Nchi Maskini

    Katika taswira ya ulimwengu wa kisasa, Uingereza bado inajulikana kama taifa lenye historia tajiri ya mafanikio ya kiuchumi. Hata hivyo, chini ya uso wa fahari hiyo, kuna ukweli mchungu: taifa hili lipo katika mchakato wa kudhoofika kiuchumi kwa kasi inayotisha. Kupitia historia yake ya kisiasa...
  5. JamiiForums Tanzania Manabii wana faida gani katika nchi yeti?

    A
  6. JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Niger yajitoa kwenye umoja wa Francophone

    Nchi ya Niger imejitoa rasmi kutoka umoja wa nchi zinazotumia lugha ya kifaransa pamoja na zile zilizokuwa makoloni ya Ufaransa ujulikanao kwa lugha ya kifaransa kama Organisation Internationale de la Francophonie ( OIF). Taarifa ya kujitoa huko ilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Niger...
  8. JamiiForums Tanzania Kulikoni Rais wa nchi kukaa kimya katika siku ya kumbukizi ya kifo Cha mtangulizi wake ? Kuna jambo halipo sawa! Magufuli pumzika kwa amani

    Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ushajuliza kwa nini watu kama Elon na Donald Trump wanapata chuki kubwa nchini mwano na duniani kote ingawa wanafanya yale ya kuimarisha nchi yao?

    Katika misimamo ya ki-conservative, majemedali hawa wanataka marekani iwe marekani ya viwango vikubwa bila ya kupoteza asili, utamaduni na chapa yake ya kuwa nchi yenye nguvu zaidi duniani. Wamekuwa maadui kwa wafuatao: Mashoga Transgenders Wanaofanya abortion Wahamiaji holela Wavushaji wa...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania kununua umeme kwene nchi masikini zaidi duniani Ethiopia?? Nawaza sipati jibu

    Nchi yetu tulipaswa tutawaliwe miaka 200 tena. Bado kabisa yaan
  11. R

    JamiiForums Tanzania Watu wenye nia njema, mapenzi ya kweli na thabiti na nchi yetu Tanzania ni hawa

    1. Askofu Bagonza 2. Freeman Mbowe 3. Ansbert Ngurumo Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.
  12. JamiiForums Tanzania Serikali imejenga Barabara za lami zaidi ya kilometa 819 nchi nzima huku barabara za changarawe zimejengwa kwa zaidi ya kilometa 11,900 kote nchini

    Serikali imejenga Barabara za lami zaidi ya kilometa 819 nchi nzima huku barabara za changarawe zimejengwa kwa zaidi ya kilometa 11,900 kote nchini kwa barabara za mijini na vijijini. Bajeti ta TARURA imeongezwa kutoka shilingi bilioni 654 hadi trilioni 1.59 ambazo zimeongezwa ndani ya miaka...
  13. JamiiForums Tanzania Karibuni wote tuombe sala ya usiku - Mungu atulinde

    Mchana umetoweka, usiku umeingia! Wakati wa usiku, tunapokwenda kulala na kufumba macho yetu, hatuna uwezo wa kujua yanayotokea katika ulimwengu wa roho au hata kimwili. Ndiyo maana ni muhimu kumkabidhi Mungu maisha yetu kila usiku kabla ya kulala, ili atulinde na kutuepusha na mabaya. Yesu...
  14. JamiiForums Tanzania Marehemu Magufuli angekuwepo leo Tanzania tungekua tunauza nguo zilizotumika (mitumba) nje ya nchi

    Siwezi kusema nausimanga uongozi wa sasa ila nazungumzia tu yale maono na utashi aliyokua nao marehemu. Aliwahi kusema katika hotuba zake huko nyuma kuwa kwanini Tanzania tusipeleke nguo za mitumba wakavae wazungu huko ulaya? Akasema Tanzania tutapanda treni za umeme wazaramo wakipigw picha...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna mambo huwa kama ndio basi ikipita siku,mwezi,mwaka wanajua ni kelele za chura sababu wao ndio wenye nchi

    Nikikumbuka Tukio la RPC Liberatus Barlow wa Mwanza aliuwawa mwanza yani wahusika walipatikana muda si mchache.Ila ukiangalia matukio kama ben sanane,Tundu Lisu kupigwa risasi na wanaharakati au ambao wanapinga mambo ambayo utawala ufanya upotea kwa maelezo rahisi ambayo utolewa. Tofauti...
  16. JamiiForums Tanzania Kusoma VETA hakutakusaidia lolote kwenye nchi hii, tatizo ni mifumo wezeshi mibovu. Angalia madereva wa mabasi yanayowakuta kwa ground.

    Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana. Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa. Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
  17. JamiiForums Tanzania Demokrasia, kama jicho na mlango wa mabeberu wa kufanya chochote wapendacho kwa nchi changa!

    Nchi kama China walifanikiwa kuliona hili na kulidhibiti mapema kwa jinsi wawezavyo, katika ulimwengu wa sasa tunashuudia mengi sana, zelensky alipogomea kugawa maliasili zake, basi, marekani kwa haraka sana alianzisha vikao na mpinzani wa zelensky wa kisiasa, nchini humo, Mabeberu wanafahamu...
  18. JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kwenda nje ya nchi, fani gani Zina market Sana??

    Nchi kama Canada, Australia bubai, Scotland sweezeland Poland nk Ni fani gani ambazo naweza kuzipata veta alafu niluke nje ya nchi kutafuta kipato. Nina shahada ya maendeleo ya jamii. Karibuni kwa mawazo yetu mazuri.
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya Vyama vya Ukombozi kuziharibu nchi zao kwa kuingiza siasa kwenye Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Kagame avifundisha nini maana ya Uongozi!

    Kwa wataalam wa masuala ya Ulinzi na Usalama aibu waliyoipata SADC baada ya Mission yao kufeli nchini Congo DRC, sio jambo lililotokea kwa bahati mbaya. Baada ya kuingia siasa za ushindani kusini mwa Bara la Afrika, Vyama vinavyofahamika kama vyama vya ukombozi ambavyo vingi vinatawala nchi za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania NCHI NGUMU HII

    TIC wanaitaji watu watano Ila tumeitwa watu 1900 kwenye usaili yaini kiufupi kila nafasi moja inagombaniwa na watu 390+
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…