Kama mada ilivyo. Natamani kuanza kununua bidhaa kutoka nje ya nchi kupitia hii mitandao ya uuzaji kama Alibaba, AliExpress etc japo kwa sasa nataka nianze na AliExpress.
Sasa kuna kipengele cha kulipia bidhaa hapo ndio nakwama maana Kuna mahali naambiwa niweke card. Pia Kuna mahali wanataka...
Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23
South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo
Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa nzima
USHAURI tu wapendwa Hawa n majangili magaidiiii
Pale mnapoweza kupambana nao pambaneni nao...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge anatarajiwa kufanya...
Wassalahm allheikhum
Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA
Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana
Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki
Aka mzungu WA NNE
Usiforcee...
Wassalahm allheikhum
Wote kwa wnaoendelea na mateso ya mapenzi na bado mmenganganna chumba KIMOJA
Nawape tu hints penzi ukiona limeisha badilisha style ya kitanda kama mLIKUWA mnalala kwa urefu nendeni mkalale kwa upana
Ikiwezekana lalen opp side mpaka kieleweki
Aka mzungu WA NNE
Usiforcee...
Tanzania ikisaidiwa na kizazi kipya imekuwa nchi kama vile ya wapuuzi yaani tuna puuza mambo muhimu
1. Wanajeshi wameuliwa huko Congo kama nchi tuna puuza puuza tu hakuna majonzi ya kitaifa
2. Majengo yame dondoka kariakoo mpaka sasa tume puuza tu hakuna mwamko wa kujali na wasiwasi
3. Uchaguzi...
Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana
Ahsanteni
Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:-
Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
Scholarships now open!! —
Curtin University warmly welcomes students from eligible African countries to apply for the Australia Awards Africa Scholarships for our Master's degrees commencing in 2026.
Curtin has a developed a holistic platform for engaging with the African continent and African...
Habari wadau!
Leo maeneo ya Dodoma kwenye round about ya kuingia uwanja wa ndege wa Dodoma, kuna tangazo limewekwa chini kwenye hiyo roundabout likiisomeka: Siku ya kondom duniani(kama sio duniani basi ni siku ya kondom kimataifa).
Swali: ni kondom hii mipira ya kufanyia mapenzi au hiyo kondom...
Katika aina mbalimbali za Udikteta na sifa zake basi nchi ya Tanzania inaangukia katika Udikteta wa chama kama mfano China.
Tanzania haina Udikteta wa mtu mmoja kama Rwanda au Uganda, haina Udikteta wa kijeshi kama Misri,Burkina Faso, haina udikteta wa kifalme au kimalkia, haina udikteta wa...
Kila mwaka, kila msimu, kila mechi – Simba na Yanga. Mashabiki wanapiga kelele, wanavunja viti, wanalia, na wengine wanashindwa hata kulipa kodi za nyumba kwa sababu ya klabu wanazoabudu kama mungu wa mitala. Soka? Hapana, huu ni upumbavu wa kiwango cha kimataifa.
Wanavalia jezi, wanajichora...
Naomba serikali ifanye jambo hapa.
Ajali huwa hazitokei bahati mbaya.
Ajali zinatokana na uzembe wa madereva na kutofuata sheria za usalama barabarani.
REJEA ANDIKO HILI...
Mfano ni south Africa, Kila biashara kubwa, mashamba makubwa, yanamilikiwa na wahindi na wageni na wazungu, huku wazawa wenyewe wa south Africa wakibaki kuwa manamba , yaani vijakazi na kufanya kazi za vibarua.
Huu unaitwa ukoloni maomboleo. Wanakuja kidogo kidogo, baadae utakuja kustukia hata...
Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu
Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...