nchi

  1. JamiiForums Tanzania Aibu kuu kwa nchi, CCM inalipia matangazo mengi ya mitandaoni kuwachafua upinzani, nchi zingine nguvu kubwa imeelekezwa katika kuzitangaza nchi husika

    Huu upuuzi unapatikana Tanzania tu, ukiingia mitandaoni hasa Twitter, Instagram, Threads utakutana na "Ads" nyingi za CCM kuichafua CHADEMA kuliko "Ads" zinazoitangaza nchi kwa mambo mbalimbali. "Ads" za nchi zingine kama Kenya, Rwanda na South Africa zimejikita kwenye kutangaza vivutio vya...
  2. JamiiForums Tanzania Edibily Lunyamila - Moja ya wachezaji bora Nchi iliwahi Pata. Yupo wapi?

    Nenda kawaulize waganda wenye miaka kuanzia 45 kuja mbele. Wanamfahamu vizuri sana. Jamaa alikuwa na kipaji. Wakati tu haukuwa sahihi. Yanga miaka hiyo Yanga kweli kweli... Tuna wachezaji tunapiga mtu goals kiukweli kweli. Si masikhara.
  3. JamiiForums Tanzania Nchi masikini, ina wabunge wa viti maalumu 100+ Afrika tumelaaniwa vibaya! Nini kinazuia katiba isirekebishwe?

  4. JamiiForums Tanzania Projects za Yanga na Simba ni mwiba kwenye maendeleo ya Nchi

    Wa TZ pamoja na vyombo vyao vya habari wametumia sasa wiki zaidi ya tatu kujadili na kuchambua issue za derby. Hao Hao wa TZ Hawajui nini kinaendelea kwenye uchumi wa Taifa lao. Kwa jinsi wa TZ walivyo kuwa informed na mipira wangekuwa hivyo hivyo kwenye aspect za kupambania uchumi, kuibana...
  5. JamiiForums Tanzania Mfano wa nchi itakayopigwa mnada

    Hii kuwa mfano wa nchi itakayopigwa mnada? ZIDISHA MARA 20 ILI UPATE IN TSH Serikali ya Kenya imetangaza kwamba deni la nchi hiyo limefikia shillingi trilioni 10, kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa katika historia ya nchi hiyo, huku waziri wa fedha John Mbadi akidai kwamba thuluthi mbili za...
  6. JamiiForums Tanzania Zuchu amefuzu kuwa supastaa mkubwa wa nchi. Nimeshangaa leo kuona gari zinaitwa Zuchu !!

    Leo katika pilika zangu za kutafuta rizki nilipita kwenye terminal ya makontena. Nikakuta hizi howo zinasomba hayo makontena na kuyapanga kwenye yard. Hizi gari kama mnavyozijua zinaitwa Howo. Lakini kwenye ulimwengu wa makuli hizi gari zinafahamika kama Zuchu. Niliuliza baadhi ya madereva na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania siyo nchi ya viwanda, kila uchao serikali inanyanganya mashamba na kuyakata viwanja, kesho watu watalima wapi? ajira zao zitatoka wapi?

    Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja. Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sasa nimeelewa maana ya “No reform, no election”! Tutaandamana uchi nchi nzima ikiwa mamlaka zitaendelea kushupaza shingo!

    Nimeelewa sana na Niko tayari kutoa elimu kwa wale ambao Bado hawajaelewa!! Kwa sasa ni sawa na kusema kipa wetu ni wao ccm !! Refa ni wao ccm ! Kamisaa ni wao ccm ? Chaguzi zetu zimekuwa kichaka Cha kujeruhi na kuwasababishia wapinzani ulemavu ! Na wengine wengi wamepoteza maisha !! Ikiwa mfumo...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa za CCM ni za aibu, Vijana aina ya Mwijaku wamechagua kupotoka na ujinga

    Hivi ndivyo CCM imetufikisha na kutuharibia nchi. Ili kuirudisha nchi kwenye misingi na kuwarudisha vijana kwenye sense of life and minds …… REFORM NI LAZIMA NDUGU ZANGU. REFORM YA constitutional ni LAZIMA…..otherwise in the next 10 years vijana wetu watapata tabu sana. CCM cares only about...
  10. JamiiForums Tanzania Athari za makundi ndani ya CHADEMA ,ukata ,katiba mbovu inayoelekeza chaguzi zao kufanyika mwaka wa uchaguzi mkuu wa nchi wapelekea "No reform.."

    CCM kuwa MBELE ya wakati kumewafanya CHADEMA kutapatapa na kuja na ajenda mfu ya "no reform no elections"... Katika hotuba yake katibu mkuu John Mnyika alisoma azimio lako la kubadilisha tarehe ya uchaguzi mkuu ndani ya chama kwa kusema kunawafanya washindwe kujipanga vizuri kushindana na CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Arikana Chihombori-Quao asema Viongozi wa Afrika wamejivika Mavazi ya Umasikini kwa kutegemea USAID, wakati rasimali za nchi zipo mikononi mwao

    Arikana Chihombori-Quao, balozi wa zamani wa Umoja wa Afrika nchini Marekani. Ngoja nikwambie, tunahitaji kuangalia kinachoendelea huko Burkina Faso, Niger na Mali. Rais Traoré amesimama kidete. Anasema rasilimali za asili za Burkina Faso ni mali ya watu wa Burkina Faso. Niger nao wanafanya...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi za kusini mwa jangwa la Sahara waanze kutafuta uhuru wao hatua ya 2 kama wenzao wa Afrika ya Magharibi

    Nchi za kusini mwa jangwa la Sahar mpaka sasa ndio zimebaki chini ya ukoloni mamboleo na hawajaonesha dhamira ya kuachana na ukoloni huo. Eneo hilo lenye utajiri mkubwa unaokodolewa macho na mataifa yote duniani ndizo kila siku zinazoshikilia mkia katika takwimu za maendeleo na ndio za mwanzo...
  13. JamiiForums Tanzania Urusi ni nchi ya kijamaa? Mbona ina vyama vingi (Multipartism) tofauti na China??

    Eti wadau, inasemekana Tanzania iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na pressure ya world bank pamoja na IMF ili iweze kupata mikopo ya kujikwamua kiuchumi baada ya ule mdororo uliotokana na Vita vya Kagera. Je, Russia iliingia katika mfumo wa vyama vingi kutokana na nini ilhali wao...
  14. JamiiForums Tanzania Sio muda mrefu tu Yemen imetoka katika vita ya wenyewe kwa wenyewe na madhara bado yapo, ile bado hajapona vidonda huyoo tayari anaanza kurusha ngumi

    Muda mwingine nawaza na nakuja na jibu kuwa hawa wa-houthi ni mchongo, hawa jamaa ni silaha ya mtu, ni fimbo ya mamlaka fulani kuendelea kufanya fujo katika ukanda ule. Ebu imagine kipindi kile nyerere ametoka kumdungua amin hadi nchi ikaingia katika ukata, huyo tena aanze kuwashambulia wakenya...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani kwa mujibu wa UN 2025

    Finland imeorodheshwa kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo. Wataalamu wanaamini kuwa ukaribu wa Wafinlandi na asili pamoja na upatikanaji wa mfumo mzuri wa ustawi husaidia kuelezea nafasi yake ya juu inayoendelea katika Ripoti ya Furaha ya Dunia inayosimamiwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia kujengewa misikiti 200

    Nasema ni ujinga kwasababu nchi ina changamoto nyingi za msingi lakini anakuja mpumbavu anaona kabisa raia wako au anachoweza kukusaidia ni misikiti. TAFSIRI: Rais wa Burkinafaso Ibrahim Traore ameukataa msaada wa Saudi Arabia wa kujengewa misikiti 200 katika nchi yake. Badala yake...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi tatu za Afrika magharibi zajitoa kwenye OIF

    Nchi tatu za Afrika Magharibi, Mali, Niger na Burkina Faso hivi karibuni kwa nyakati tofauti zimetangaza uamuzi wao wa kujitoa katika Jumuiya ya Francophonie (OIF). Nchi hizo ziliwahi kujulikana kama nguzo ya “Afrika ya Ufaransa”, lakini sasa zimechukua hatua thabiti kuondoa alama za kikoloni...
  18. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasikitisha: Rais Samia kasahau nchi anafikira chaguzi tu kwasasa?

    Nitawapa mambo mawili muhimu Afya: Pamopja na tatizo kubwa ya mfuko wa bima wa taifa sasa kuna watanzania zaidi ya 1.5M wenye virusi vya ukimwi ambao walikuwa wanategemea USAID. Raisi Trump wa USA kafuta hili shirika na kuzuia pesa. Sasa mpaka leo kama Raisi hajaongea lolote na hakuna mpango...
  19. JamiiForums Tanzania Aliye Juu Msubirie Chini, Cha Msingi Mijeledi Usiizoee: Jinsi Uingereza Inavyoelekea Kuwa Nchi Maskini

    Katika taswira ya ulimwengu wa kisasa, Uingereza bado inajulikana kama taifa lenye historia tajiri ya mafanikio ya kiuchumi. Hata hivyo, chini ya uso wa fahari hiyo, kuna ukweli mchungu: taifa hili lipo katika mchakato wa kudhoofika kiuchumi kwa kasi inayotisha. Kupitia historia yake ya kisiasa...
  20. JamiiForums Tanzania Manabii wana faida gani katika nchi yeti?

    A
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…