nchi

  1. JamiiForums Tanzania CHADEMA ikipewa nchi inaweza kuiendesha kweli ?

    Kuna ndugu hapa ni mwana Chadema mzuri Sana na ni mwenezi wa TAWI. nimekaa nae nikamwuliza hili swali Ila amefeli kabisa kunipa hoja akaanza kunitolea maneno ya dhihaka badala ya kujibu swali. Binafsi sababu nnashida na majib kwa uthabiti nimeona nilete swali lang hapa JF. Swali: Je, Chadema...
  2. L

    JamiiForums Tanzania "Vita vya ushuru" vya Marekani vinasukuma nchi za Afrika kuongeza kasi ya kutafuta maendeleo kwa kujitegemea

    Wakati Marekani inapoanzisha duru nyingine ya vita vya ushuru na kuvuruga utaratibu wa biashara ya kimataifa, "jinsi ya kujitupia macho na kufanya mambo yenyewe" imezidi kuwa maoni thabiti ya pamoja ya nchi mbalimbali za Afrika. Rais William Ruto wa Kenya hivi karibuni alisema Afrika inaamini...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ukilinganisha na nchi tulizokuwa sawa kiuchumi wakati tunapata uhuru tunastahili kuhurumiwa.

    Najiuliza sana ni kwa nini viongozi wetu wanajiskia fahari katika mazingira ambayo walipaswa kujionea aibu. Maana tuna nchi nyingi sana ambazo miaka ya 60 na 70 nilikuwa nyuma yetu kiuchumi lakini Leo ziko mbali sana. Kukaa kutwa mnasifiana sijui ni kwa lipi!?
  4. JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika nchi ya Hayati Julius Nyerere

    Amos Makala: CHADEMA wanakwenda kuleta virusi vya ebola na M-pox nchiki ili kuangamiza taifa letu. John Mwakangale: (akiwa kaburini) uli nhaaji! Jeshi la Polisi: Sisi kazi yetu ni kulinda amani mikutanoni hatuhusiki na siasa za majukwaani. Tundu Lissu: CCM na Serikali yake wasiposikia na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Nchi Ingekuwa Ni Mifumo Bora Ya Utawala Na Sheria, Viongozi wa CCM Ndio Walitakiwa Kukamatwa kwa Uhaini

    Hapa nchini petu, kupitia taarifa mbalimbali, zikiwemo za wapiga kura, na hata taarifa za watazamaji wa kimataifa wakati wa uchaguzi, CCM ndiyo imekuwa ikivuruga uchaguzi ili kupora mamlaka ya wananchi. Kule Zanzibar, watazamaji wote walithibitisha kuwa maalim Seif alikuwa ameshinda uchaguzi...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
  7. JamiiForums Tanzania MDAU: Kwanini ni nadra kuona watu wakipeperusha bendera ya Palestina kwenye nchi za Uarabuni tofauti na wanavyofanya Ulaya au Marekani?

    Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya Kiislamu kama Dubai (UAE), Saudi Arabia, Qatar, na kwingineko, lakini wanafanya hivyo wakiwa nchi...
  8. JamiiForums Tanzania Chadema kupeleka saini 15 milioni umoja wa mataifa ni kutekenya mbuzi, Umoja wa Mataifa hauna nguvu ya kuingilia maamuzi ya ndani ya nchi

    Umoja wa Mataifa ni taasisi ya kidiplomasia, sio jeshi au mahakama ya dunia. Katika strategy ya hovyo ya chadema ni kupeleka saini umoja wa mataifa. Kama unaweza kukusanya saini 15 milioni, hizo ni kura za kushinda urais kabisa. Sasa kwa nini hao 15 milioni usiwageuze wakawa wapiga kura wako...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Axian telecom (kampuni mama ya Yas) yapokea uwekezaji wa dola za Marekani milioni 100 kutoka EIB global kwa ajili ya kuboresha huduma za intaneti

    Waziri wa Posta na Mawasiliano wa Madagascar, Stéphanie Delmotte (katikati), akionesha mkataba wa dola za Marekani milioni 100 uliosainiwa kati ya Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na Axian Telecom (Kampuni mama ya Yas) kwa ajili ya upanuzi wa huduma za intaneti kwa ajili ya Tanzania na...
  10. JamiiForums Tanzania Tumejipangaje kama nchi kuliteka soko la USA baada ya mchina kuwekewa tariff?

    Wote ni mashahidi jinsi vita vya tariffs baina ya US na China kwa jinsi ilivyo ni kwamba trade will go into stop. huwezi weka tariffs za 50% na ukategemea biashara iende. so tunaenda kwenye completely halt ya trade. Ukiangalia US analia un fair play kutoka kwa china na mchina nae anasema...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya Moto ni Moto tu, Yeyote Anayetaka Kuhatarisha Usalama wa Nchi Shughulika Nao

    Wengi tulitaka kushangaa huyu mtu anapata wap nguvu ya kutukana mamlaka, unadiriki kusema kuwa utafanya uasi, utaingiza watu barabarani, utakinukisha, wewe mwenzetu utaenda Belgium na 'shoga' yako Lema ataenda Canada. Mimi nitaenda wapi kikinuka, nitaenda Msumbiji? Nitaenda Uganda? NItaenda...
  12. JamiiForums Tanzania CCM mnataka mpewe nini ili muwe Imara?

    Mmeweka picha zake mpaka kwenye pikipiki Kwa maelfu lakini mikutano ya CHADEMA inawapelekesha na kuwapa kihoro. Mna viongozi wote wa Serikali za mitaa, wabunge na Rais na ziada ya mabango, lakini mikutano ya CHADEMA inawapa wazimu! Mnataka muwe na nini ili muwe imara?
  13. JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi rahisi kuongoza kama Tanzania? Nitajie

    Tanzania NI nchi rahisi na nyepesi MNO kiendesha kama kiongozi, kwanza haihitaji uwe na elimu Sana, Yani hata kama huna vigezo pia unaweza kua Raisi WA nchi hii na watu wote wakakutii. Hata kama uwe na uongozi m'baya vipi hiyo sio ticket kwamba unashindwa uchaguzi ujao, HAPANA, kuna kundi kubwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi Kumi Zinazoongoza kwa Watu Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI Barani Afrika

    Wadau Leo tupate mawili matatu kutoka kwenye huu uzi: Pale Kinondoni kwa Mama Ntilie, jua kali linawasha kama pasi ya mchina. Kwenye meza ya mbao iliyozungukwa na viti vya plastiki vimepoteza rangi, jamaa mmoja anaitwa Shomari alikuwa anapiga stori kali na washikaji wake Bonge, Mimi, na Mzee...
  15. JamiiForums Tanzania Tusiikatie tamaa nchi yetu , Bad leaders Pass but Country remains

    Ni miaka imepita , Kama Taifa tumekwama maeneo yote muhimu Kama kuwa na 👇🏾 -Afya bora -Elimu bora -Ajira kwa vijana -Miundombinu bora Kinachotokea tunaenda hatua tano mbele na kurudi hatua kumi nyuma kisha tunajipongeza. Yaani kama alivyowahi kuimba msanii mmoja anajiita Prof Jay katika...
  16. JamiiForums Tanzania Trump: Kuna nchi zinabusu 'makalio' yangu kuomba makubaliano!

    Akiwa katika moja ya mikutano ya Republicans Trump ametumia lugha kali ya mtaani kujisifia kwamba kuna nchi zinabusu makalio yake kuamba makubaliano katika vita vya tarrifs alivyovianzisha!
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kile anaandaa Lissu ni kuandaa nchi kwa machafuko

    Tumewahi kuona clip za video zilizovuja wazungu wakiwa kwenye mikutano yao wakipanga namna Afrika inatakiwa kuwa eneo la vurugu mapigano na maafa kusudi wenyeji wabakie masikini. Kwamba Maliasili za Afrika ili ziweze kuvunwa sawa na bure waafrika wasiruhusiwe kuzitumia au kuzivuna kwa maendeleo...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini katika nchi zote Trump alizozipandishia ushuru Russia haipo?

    Kwa anayejua Tafadhali katika mkeka alioutoa Bwana Trumpet ameorodhesha nchi zote lakini Russia haipo je kulikoni? Hebu mwenye ufahamu aje atueleze hapa.
  19. JamiiForums Tanzania China yaondoa kodi kwa Nchi 33 za Afrika kwa bidhaa zote wanazozisafirisha kwenda China

    China Deepens Ties with Africa: What It Means for the Continent’s Economic Future In a bold move underscoring its commitment to strengthening economic ties, China granted 33 African countries zero tariffs on all their exports to the Chinese market in 2024. This landmark decision not only...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanajeshi wakipindua nchi ndani ya Afrika wanaitwa"madikiteta" kabla ya kupindua wanaitwa"walinzi"wa nchi na watiifu?

    Huu ni ujinga kama wanajeshi ndiyo walinzi wa viongozi wa kisiasa na mipaka ya nchi muda wote ndani ya Afrika na wanaaminiwa kwanini wasiachiwe nchi za Kiafrika waziongoze kijeshi? Wanasiasa ni mzigo na gharama hivyo wanajeshi eakichukua nchi za Afrika baadhi ya wanasiasa wataondoka wenyewe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…