Congo ndo kila kitu. Nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali pengine ndo inaoongoza Dunia nzima.congo ndo njiapanda ya utajiri. Congo ndo chanzo cha Africa kugawanywa ndo chanzo cha mkutano wa Berlin..
Tazama congo ilikuwa under Belgium na hapo hapo makao makuu ya umoja wa ulaya yapo...
Ila Bongo inasikitisha sana kwenye suala la haki. Ndiyo maana ukizungumzia haki inakuwa kama umetangaza duka la bangi.
Inajiuliza sisi tupo dunia ya ngapi. Tofauti ya chaguzi za enzi za mkoloni na leo ni majina tu, lakini michakato ni ile ile.
PO-RALG ndio inasimamia uchaguzi kupitia...
tumeona dini mbili kubwa Tanzania wanaonesha kutofautiana na waraka uliotolewabna Maaskofu kadhaa.
wazee wa kobazi na wagalilaya wanaweza kuzichapa. na wagalilaya mapema watashinda
Ibada hii imefanyika katika Usharika wa Agape Kahama, Jimbo la Magharibi Kahama Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria. Imeongozwa na Mkuu wa Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Baba Askofu Dkt. Yohana Nzelu amegusia umuhimu wa maridhiano kwa Serikali.
Video: Kitenge TV
Dini zina nafasi kubwa sana kwenye mtengamano na amani ya lo lote lile. Ndiyo maana kwa kuliona hili, baadhi ya nchi serikali zake zinatawaliwa na dini moja, hususanj huko Uingereza nk Anglican High Church..
Nchi yetu ina dini kuu mbili, waislamu na wakiristo. Ingawa katiba ya nchi yetu inasema...
“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Upatikanaji wa Taifa la Kidemokrasia ni muhimu sana kama kupatikana uhuru wa Taifa. Hatuhitaji kumwaga damu ya Mtanzania yeyote Ili kuwa na Nchi ya Kidemokrasia. Damu ya Yesu Kwa mateso makali ilimwagika Kwa ajili ya ukombozi wa mwanadamu. Yesu alishinda kifo na mauti Ili tuwe huru.
Tundu Lisu...
Tamaa za Wafanyabiashara kufikiria kila mahali Panamanian kuwa na fremu na kufanyia uchuuzi ni janga kwa taifa hili na ndio imesababisha hata Dar es Salaam kukosa open spaces za umma.
Shule sio kitu cha kupunguzwa bali kuongezwa kila mahali, ni bora mngependekeza makanisa na misikiti kupunguzwa...
Habari za jioni wakuu , nimeangalia kikokotoo Cha TRA kuhusiana na uagizwaji wa scania P420 8x4 skip loader ya 2011 na Kodi yake imekuja wa kutosha almost 82,000,000Tsh
Sasa nilikuwa Nauliza kwa wajuzi kuwa inawezekana ukaagiza gari ambayo ikatenganishwa cabin , engine na Chasis ili kuja...
Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia kupata kazi kwa ajili to make both end meets inakuwa ni ngumu na kuipata lazima u struggle...
Wasalaamu
Haya madudu yanayo endelea kama ufisadi na namna zote tabaka la watu wachache wanazidi 'kujneemesha' kwa rasilimali zetu ninyi mnaona sawa?
Madudu kama kuongeza majimbo kwa kuyagawanya kana kwamba wabunge waliopo wanafanya kazi kweli tuliyowatuma mnaona sawa?
Hivi UVCCM na ninyi...
Hata huko China wameamua moja kwamba jamani sisi Demokrasia hatuna hivyo hivyo huko Russia
Kakini hata Malawi, Zambia, Kenya, Botswana, SA wamechagua kwamba nchi zao ni za demokrasia
Wenzetu wa Uganda na Rwanda ni mfumo wa familia na uongozi wa mtu mmoja
Tanzania hatueleweke mara demokrasia...
Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, ambaye pia anatuwakilisha katika nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Lithuania na Ukraine, amefanya mahojiano katika taarifa ya habari ya ZBC na mtangazaji Abubakar Harith na kueleza atakavyotekeleza majukumu yake ya...
Nilikuwa naangalia gharama za Ujenzi wa viwanja vya michuano ya kimataifa itakayofanxika 2027 ya AfCON gharama zetu zimekuwa kubwa sana Mfano Uwanja wa Tlanta jijini Nairobi unajengwa Kwa TZS Billion 44, capacity 60,000. Uwanja wa Arusha capacity 30,000 unajengwa TZS Billion 300. Hapo unapata...
Kama kichwa kinavyojieleza. Ikatokea nchi zote duniani kuanzia bara la Ulaya, Afrika, Asia yote tukaungana kumpiga mmarekani. Si tutamshinda asubuhi mapema? La sivyo ataendelea kuisumbua hii sayari kwa miaka mingi ijayo.
NB: Sijapenda mchina anachofanyiwa na mmarekani. 😎
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Watanzania wasikubali kuyumbishwa na vyama vya siasa vyenye kuhatarisha amqni na usalama wa nchi.
Ameisitiza kuwa amani iliyopo si mali ya chama cha siasa bali ni tunu ya Watanzia na lazima ilindwe.
Mqkqmu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira...
Twende mbele turudi nyuma, CHADEMA ndicho chama chenye kutengeneza ajenda kubwa za nchi kujadiliwa kitaifa.
Mijadala mkubwa zaidi inayoendelea kwa sasa katika siasa ni kukamatwa kwa na kushitakiwa kwa uhaini kwa Tundu Lissu, no reforms no election na CHADEMA kugomea kinachoitwa kanuni za...