nchi

  1. JamiiForums Tanzania Kuzuiwa Lema kutoka nje ya nchi ni dalili viongozi wa Chadema wapo kifungoni.

    Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo hata Lissu akigombea akiwa gerezani anaweza kushinda Urais

    Nina miaka 47 sasa. Tangu nianze kuwafahamu Watanzania hakuna mwaka ambao nimewaona Watanzania wameanza kupevuka kiuelewa na kiakili kama mwaka huu. Mwaka huu inawezekana Mungu anataka kufanya jambo moja la kipekee sana ili kulikomboa hili Taifa. Kwa mwamko ninaouona kwa Watanzania hivi sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Greta na marafiki wanakaribia kufika Nchi Takatifu

    Greta na marafiki wanakaribia Nchi Takatifu. Israel tayari imeamua kwamba Kiherehere maarufu huyo hatafika ufuo wa Gaza. Atapigwa na kitu kizito hukohuko!!
  4. JamiiForums Tanzania Changamoto ya uwasilishaji wa mawazo kwa viongozi wa Afrika hasa mkuu wa nchi ya Comoro

    WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Chad yasitisha Visa kwa Raia wa Marekani baada ya Trump kufutia nchi 12 Visa

    Chad, imetangaza kusitisha utoaji wa visa kwa raia wa Marekani kama hatua ya kulipiza kisasi, baada ya kugundua kuwa imewekwa kwenye orodha ya mataifa 12 ambayo raia wake wamepigwa marufuku kusafiri kwenda Marekani. "Chad haina ndege za kutoa wala mabilioni ya dola ya kugawa, lakini Chad ina...
  6. JamiiForums Tanzania Ni bahati njema tu kwamba Tanzania si miongoni mwa nchi zilizopigwa Travel Ban to USA

    Niliona orodha ya nchi zilizopigwa marufuku kuisogelea USA viza. Aidha Trump anaamini nchi ambazo zinania ya kuitishia usalama wa marekani hawezi iruhusu watu wake waingie marekani. NB. Marekani Ina wabongo wengi wanaojionesha mitandaoni. Nawashauri waendelee kuiomnea nchi maana ikinuka hata...
  7. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Samia nchi ipo gizani

    Ndugu yangu Samia nchi asilimia 60 ipo Giza mpaka muda huu ninapoongea hakuna umeme una taarifa ?? Unajua umeme ndio usalama namba moja wa Taifa? Mafisadi ya umeme yamekushinda ndugu yangu Samia?
  8. JamiiForums Tanzania Ugumu wa Maisha je, Serikali haifanyi kazi yake au Wananchi wanashindwa kuendana na mifumo ya Kimaendeleo ya Nchi

    Tuweke mjadala mpana zaidi hapa najua kuwa baadhi tunaweza kudokeza kuwa sera,mitazamo,mazingira,utamaduni na mengineyo kuwa ni tatizo,lakini upande wa serikali huwenda ikamuona mwananchi ndiyo tatizo sababu haoni fursa zinazoifungua nchi yake. Hivi kwa mitazami yetu kama wanajamii foroum,ni...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi imeingia mdudu

    Naandika Uzi huu huku Nikiwa nimegubikwa na huzuni nyingi na masikitiko makubwa sana. Nchi yetu imekuwaje? Ile nchi tulioisifu kwa mapambio, tungo na ngonjera za kuvutia kwani kuna laana ilioachwa na waasisi Baba wa taifa Mwl. Nyerere na akina Mkwawa? toka kipindi cha kupata Uhuru na Hatujui...
  10. JamiiForums Tanzania Waumini wa ufufuo na uzima tutaendelea na ibada kama kawaida pale ubungo na nchi nzima kuanzia jumapili, serikali ijue Gwajima hamiliki hilo kanisa

    Kama serikali ina tatizo na Askofu Gwajima basi washughulike naye huko ila sisi tutaendelea na ibada jumapili kama kawaida. Mkitaka mje na silaha na kutuua ila wala hatutaacha kukusanyika maana hilo ni agizo la biblia takatifu. Askofu Gwajima sio mmiliki wa kiwanja au jengo na wala sio...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Trump apiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani

    Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kupiga marufuku raia wa nchi 12 kuingia Marekani. Nchi zilizopigwa marufuku kwa raia wao kuingia Marekani ni Afghanistan, Myanmar, Chad, Republic of the Congo, Equatorial Guinea, Eritrea, Haiti, Iran, Libya, Somalia, Sudan, na Yemen ========== Trump...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Kiongozi mkuu wa nchi atahukumiwa kwa makosa ambayo hakuyatenda yeye moja kwa moja?

    Katika nafasi ya uongozi, kiongozi mkuu wa nchi anabeba dhamana kubwa ya kuhakikisha usalama wa raia wake na mali zao unakuwa mkubwa. Endapo yakitokea mauwaji ama upotevu wa raia ama viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani kiongozi huyo anao wajibu wa kuhakikisha kwamba anakemea maovu hayo na...
  13. JamiiForums Tanzania USA vs China: Nchi ipi ina miji mizuri zaidi?

    Marekani ni nchi yenye uchumi mkubwa kushinda China ila ndio nchi ambazo zipo kwenye ushindani mkubwa sana wa kiuchumi Leo nataka niongelee suala la miji China ina miji mikubwa kushinda Marekani, ina watu wengi kuliko ya Marekani, ina miundombinu ya kisasa, kushinda miji ya Marekani na bado...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Dunstan Kitandula: Raia wa nchi 71 kuingia Tanzania bila Visa

    Serikali imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa Nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. Kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival) kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa kama...
  15. JamiiForums Tanzania NCHI ZINAZOONGOZA KWA IMANI ZA KISHIRIKINA ILA TUPO JUU

    🌍 Nchi Zinazoongoza kwa Uchawi (Kwa Mtazamo wa Tamaduni na Matukio) 1. Tanzania (Haswa Kanda za Kaskazini na Kusini) Uchawi ni sehemu ya tamaduni nyingi za kiasili. Matukio ya uchawi yanaendelea kuonekana mara kwa mara, hasa vijijini. Kuna imani kubwa ya nguvu za roho na maajabu...
  16. JamiiForums Tanzania Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

    Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia. Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania. Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga. Kikwete na Magufuli...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Ndinga la CHAUMMA linatarajiwa kutumika ziara za mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini

    Wakuu Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kinajiandaa kuanza rasmi ziara yake ya kisiasa katika awamu ya kwanza itakayohusisha mikoa 14, majimbo 34 na kufanyika mikutano 38 katika kanda 4 tofauti nchini. Katika ziara hiyo, viongozi waandamizi wa CHAUMMA wanatarajiwa kushiriki kwa ukamilifu...
  18. JamiiForums Tanzania Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
  19. JamiiForums Tanzania CCM kufadhili kitabu cha mzee Songambele kuenzi historia ya nchi, chama na serikali

    CCM KUFADHILI KITABU CHA MZEE SONGAMBELE KUENZI HISTORIA YA NCHI, CHAMA NA SERIKALI - Balozi Nchimbi atoa neno, akimwakilisha Dkt. Samia msibani Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kitabu alichoandika Alhaj Mzee Mohamed Mustafa Songambele...
  20. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Boniface Mwangi unadhihirisha Tanzania haifuati utawala wa sheria

    Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya. Ninavyowajua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…