nchi

  1. JamiiForums Tanzania Israeli: Siku ya kuokoa maisha’: Jamaa za mateka na familia zilizofiwa waanzisha maandamano wa nchi nzima

    Wanaukumbi. Hostages Square mjini Tel Aviv inazidi kujaa watu wakiwa wamebeba mabango na kuvaa riboni za njano asubuhi ya maandamano wa nchi nzima ulioitishwa na familia za mateka huko Gaza, wakitaka waachiliwe huru na kukomesha vita. Katikati ya mraba, safu za watembeaji miguu tupu zimepangwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Kenya inapendwa na wazungu ilihali tumezidi vivutio?

    Ukimuuliza mzungu what is your favourite country in East Africa anakujibu Kenya wakati ukiangalia sifa nzuri tumewazidi.tukiacha hali za kisiasa ila kuanzia vivutio na historia yetu ni ya kuvutia halafu wakenya makauzu makauzu Sana yaani hata wanavyoongea kwa Ku shout tofauti na Sisi tuko calm...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba Tundulissu aachiwe mara moja na bila mashariti yoyote nimeongea mimi na nikiongea huwa sirudii.

    Binafsi Mimi Leo nimetoa angalizo kuwa TAL wamuachie bila mashariti yoyote , akaungane na familia yake haraka. Mimi nafikiri kwa nilivyobarikiwa sifikirii Kama mtakubali nikasirike. Mimi Kama MTU wa haki na Mtumishi ambaye huwa siingiliwi katika mamlaka zangu . Nimesema TAL aachiliwe haraka...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi za SADC zahimizwa kutunza na kulinda amani

    Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samwel Shelukindo amesema kuwa licha ya changamoto za kisiasa, uhalifu unaovuka mipaka na matatizo ya kiuchumi kwa jamii ambayo yanaendelea kutafutiwa ufumbuzi, bado Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa wabunge Ulenge wabunge walio na uchungu na nchi hii na wasomi

    Kwenye kura za maoni asilimia kubwa RUSHWA ilitumika sana na hii haina mjadala kila mtu aliona. Wengi waliopita waliwanunua wapiga kura na kuwaacha wale walio na uwezo kwa kukosa fedha za kuwahonga wajumbe waliachwa. Ninaishauri Chama changu. Chama kifanye utafiti wa kina na iwapendekeze wale...
  6. JamiiForums Tanzania Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

    Habari wanajf Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE" Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania ndo nchi ya ajabu unakutana na mchungaji anajitapa alikuwa jambazi,ona Sasa TRC Ina hasara Bilioni 234 alafu mkurugenzi wake amepitishwa kugo

    Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu enzi hizo kabla ya kuokoka. Kama ilo halitoshi, unashangazwa zaidi mtu aliteuliwa na Rais akawa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anadanganywa, kutawala nchi kuanzia 2026 ni mzigo

    Hii nchi ya mitandao na Watanzania pamoja na kwamba wapo slow wamesha anza kugawanyika hasa vijana. Haitakuwa rahisi kama mnavyofikiria na tatizo sio chadema bali watanzania wamenadilika. Askari pekee hawatatosha
  9. JamiiForums Tanzania Netanyahu: Israel ipo Tayari kuisaidia Iran Maji nchi nzima, kila jiji kila kijini Wananchi wa Iran waamue

    Alikumbuka kuzindua chaneli ya Telegram ya lugha ya Kiajemi karibu muongo mmoja uliopita ili kufundisha usimamizi wa maji, ambayo ilivutia haraka wafuasi 100,000. "Kiu ya maji nchini Iran inalingana tu na kiu ya uhuru," alisema. Netanyahu aliahidi kwamba "wakati nchi yako iko huru, wataalam...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Katoliki imesimamia nchi. Wapewe maua yao

    Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi...
  11. JamiiForums Tanzania Uongozi na Mali, huja na kuondoka, ni vitu ambavyo kufumba na kufumbua unavyo au vinapotea

    Niliwahi Wauliza , Haya Matendo yenu ambayo ndio njia mloichagua , Hayatawahukumu huko mbele Kwa namna ambavyo mmezalisha MAISHA YA KISASI Kwa Manufaa yenu tu ?. Uongozi na Mali, huja na kuondoka, ni vitu ambavyo kufumba na kufumbua unavyo au vinapotea . Watanzania yamewafundisha nani hasa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kulikoni website ya Utumishi haipost tena nafasi za mafunzo nje ya nchi

    Website ya Utumishi ilikuwa msaada kwa watumishi kuona nafasi za mafunzo yenye ufadhili nje ya nchi. Lakini mwaka huu hakuna mafunzo yanayoonekana kwenye sehemu ya mafunzo, post ya mwisho ni ya december 2024. Matangazo ya nafasi za mafunzo wamehamishia kwenye kurasa zipi?
  13. JamiiForums Tanzania Kwenye nchi fulani ya mbali....

    1/ Nchi fulani, mvua inanyesha kwenye paa lililovuja, lakini mwenye nyumba anajisifu kununua mwamvuli mpya kwa marafiki zake. 2/ Wamepanda miti mingi ya kivuli katikati ya jangwa, lakini wamesahau chanzo cha maji kiko mbali sana na wenye kiu. 3/ Wameleta farasi na punda wa miguu minne kwa kila...
  14. JamiiForums Tanzania CCM walisambaza BAISKELI na PIKIPIKI Nchi nzima ili waje kukusanya hela kwa Wananchi hao hao

    Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa. Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori. Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Chama cha Kijamii (CCK): Tukichukua nchi kila mtumishi tutamjengea nyumba

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Kijamii (CCK), David Daud Mwajojele, amewasili katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma, akiwa ameambatana na mgombea wake mwenza, kwa ajili ya kuchukua fomu za kuteuliwa kugombea nafasi ya Rais na...
  16. JamiiForums Tanzania Ukeketaji unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika kama vile Gambia

    Kuna uhusiano gani Kati ya mambo ya Imani na Ukeketaji kwa maana Ukeketaji umepigwa marufuku katika nchi zaidi ya 70 duniani kote lakini unaendelea kutekelezwa hasa katika nchi za Afrika, kama vile Gambia
  17. JamiiForums Tanzania Utofauti wa speed nchi kavu, angani na baharini

    Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni. Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii map itaendelea kufunction km kawaida au kutakuwepo na mabadiliko? Nauliza hivo maana sijawahi panda...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kenya vs Morocco, angalieni wakenya wanavyoshangilia nchi yao mwanzo mwisho, watanzania tujitathmini

    Kenya hawana timu nzuri lkn naangalia hapa washabiki wao mwanzo mwisho wanashangilia, watanzania tusipochukua tahadhari afcon tunaweza kupoteza. Tulipe kodi kwa maendeleo ya nchi yetu
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Nchi ina utani hii. Huyu ndo alitaka kwenda kugombea Urais huko CUF?

    Wakuu Nimekutana na video hii huko mtandaoni. Huyu ni mgombea wa Urais kupitia CUF anaitwa Mkunyutila Siwale hapa ndo alikuwa anawashawishi wajumbe waweze kumpigia kura ili aweze kugombea Urais kupitia chama cha CUF Sasa inavyoonekana sijui ni uzee au kukosa confidence lakini kashindwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ninaishauri CCM irudie upya kura za maoni nchi nzima

    Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki. Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…