nchi

  1. JamiiForums Tanzania Kuna watu walitakiwa watolewe kafara ili nchi iwe salama lakini wakapuuza

    1. ADUI NO.1 wa SATIVA Huyu jamaa alistahili aondolewe kabisa kwenye utumishi wa umma hasa upolisi, ananuka damu, ananuka damu, ananuka damu, ila kwakua anafanya kazi ya watawala vizuri wakaona hakuna wa kumgusa akaota pembe akidhaniataendelea sana (mtu mwenye akali timamu, SATIVA alikua wa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania FlightRadar inaonesha ndege aina ya Boeing ikielekea kusikojulikana. Je, kuna utoroshaji wa pesa za umma au viongozi wakubwa wanakimbia nchi?

    Air Tanzania Dreamliner ime take off from JNIA masaa machache yaliyopita huku uelekeo ukionesha ni private. Unadhani kuna nini kinaendelea hapa?
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania, msijaribu kwenda kumtoa Lissu

    Watanzania!. Nimeona uzi wa britanicca kuhusu kwenda kwa lissu na wengine wamechangia kwenda huko. Mkienda na mkajaribu kumtoa mnaweza kumuweka kwenye hatari kubwa sana ya usalama wake. Wapo watu wahovu wanaweza kujipenyeza na kumdhuru. Kwa sasa yupo sehemu salama. Uhakika wa yeye kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kikatiba, Utawala wa Samia mwisho wake ni leo. JWTZ chukueni nchi na wakamateni kina Mafwele na wengine wote

    Kikatiba utawala wa Samia umefikia kikomo leo. Baada ya leo anapaswa kuachia kiti cha Urais maana si Rais tena. Kwa namna alivyoivuruga nchi na kuwavuruga Watanzania ikiwemo kuwaua huku akisigina Katiba tunaomba JWTZ mchukue nchi usiku huu wa leo au hadi kesho Pia tunawaomba muwakamate Mafwele...
  5. JamiiForums Tanzania Wale aliokuwa anawapakiza kwenye mafuso nao wanasema tunataka nchi yetu

    wale aliokuwa anawapakiza kwenye mafuso nao wanasema tunataka nchi yetu
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchini

    Ubalozi wa Marekani umetoa tahadhari ya maandamano kwa raia wake waliopo nchi ili kuhakikisha wanakuwa salama wakati huu. Waambiwa waepuke maandamano, wajitulize ndani wakati wanaendelea kufuatilia taarifa kwenye vyombo vya habari. Sasa mtandao wenyewe umekatwa, watakuwa wanapata hizo taarifa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  8. JamiiForums Tanzania Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu

    Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu
  9. JamiiForums Tanzania Murilo anakaa wapi tukamsalimie? Tukivuka hapa akatafute nchi ye kwenda

    Murilo anakaa wapi tukasalimie tukivuka hapa akatafute nchi ye kwenda
  10. JamiiForums Tanzania Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha.

    Jeshi lichukue nchi tufanye mabadiliko kwanza na kama sii hivyo hatuta kubali tutakinukisha. wenye nchi tumeshasema nani qnabisha ?
  11. JamiiForums Tanzania Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi

    Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi
  12. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani

    Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani. Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
  13. JamiiForums Tanzania watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi hakuna wa kutuzuia tunachukua nchi yetu

    watanzania endeleeni kujitokeza kwa wingi hakuna wa kutuzuia tunachukua nchi yetu
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ulinzi wa Mungu mwenyezi ndio unaleta utulivu nchi hii

    Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa Wangemweka Nyerere...
  15. JamiiForums Tanzania MAONO: Mauaji ya viongozi na ugaidi kushamiri nchi moja Afrika mashariki 2025-2030 kama kisasi kutoka kwa raia

    kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa 1.Mauaji ya polisi kushika kasi 2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe 3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi nchi ya Tanzania ina Jeshi?

    Nauliza tuu sio kwa ubaya. Na kama lipo linalinda nini??
  17. JamiiForums Tanzania Ila jamani nchi yetu ni masikini, khaa

    Hivi ni mimi peke yangu naliona hili? Mbona nchi yetu masikini jamani. Mimi nimezaliwa Ruangwa huku Lindi mara nyingi nimeona watu wakipakandia Lindi kwa umasikini hususani mitandaoni, mimi nikadhani ni huku tu hali ni mbaya, mpaka nilivyopata exposure. Maeneo mengi nilizunguka zamani utotoni...
  18. JamiiForums Tanzania Bado mpo mnaolitegemea jeshi kuchukua nchi tarehe 29? 😂

    Hayawi hayawi yanakuja kuwa. Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia. Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu. JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu: 1. JWTZ ni majuha. Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote...
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwako wewe ambae hutatoka kupigania nchi tarehe 29, soma hapa

    Tarehe 29 Si kila shujaa huvaa viatu vya kupiga hatua barabarani. Wengine wanapigana ndani ya mioyo yao, wakijitahidi kuamini kuwa nchi hii bado inaweza kubadilika. Kama wewe ni mmoja wao yule ambaye hatatoka tarehe 29 basi soma haya kwa moyo wote. Tunaishi nchi ambayo ofisi zimekuwa masoko ya...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi: hata ukikimbia nchi tutakusubiri ukirudi hata ukiwa mzee tutakukamata na utatumikia kifungo

    Jeshi la polisi limetangaza kuwa hakuna atakaeachwa kwa kosa aililofanya hata akiwa mzee tutamkamata.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…