nchi

  1. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Inahitaji juhudi ili kurusu uchaguzi kuendelea

    Tangia tumeanza process ya kuingia kwenye uchaguzi wa mwaka 2020, kumekuwepo maneno mengi yanayoashiria uvunjifu wa Amani, vitisho kutoka nje ya nchi hasa pale mgombea fulani anapomshutumu mwenzake kuwa serikali yako ndiyo ilinipiga risasi, serikali yako imeteka na kuua Watu nk. Tumeona barua...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi huru hatupaswi kuingiliwa mambo yetu

    Kauli hi imechukua kasi Sana. Tanzania ni nchi huru haipaswi kuingiliwa katika mambo yake hasa demokrasia. Kauli hi imekua I kitumiwa sana na baadhi ya wanna CCM na Lumumba B7. Nashangaa kuwa CCM hii ni tofauti na CCM ya akina Nyerere? Maana akina Nyerere walikua mstari wa mbele kuwatetea watu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania CCM ya Magufuli ni ya kijima kweli kweli: Hivi unamkataje Stephen Masele, Makamu wa Kwanza wa Rais Bunge la Pan-African, chombo muhimu cha AU?

    Tangu aingie madarakani Rais Magufuli amevuruga diplomasia ya nchi yetu kwa kiwango cha hali ya juu kuliko wote waliomtangulia. Kipindi cha Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa maarufu sana katika diplomasia ya kimataifa huku yeye mwenyewe akiheshimika duniani lakini pia tulikuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania WHO wazitaka nchi za Afrika kufungua shule

    Shirika la Afya Duniani (WHO) pamoja na shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia watoto (UNICEF) yamezihimiza nchi za Afrika kufungua shule na kuhakikisha watoto wanakuwa salama dhidi ya virusi vya corona. Mashirika hayo yamesema kuendelea kufunga shule kwa muda mrefu kunahatarisha ustawi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, CCM ndiye Adui wa Haki na Maendeleo katika Nchi yetu? Nini tulichojifunza kupitia mchakato wa Ugombea 2020?

    Mchakato wa Ugombea CCM ulianzia ngazi za kata na Majimbo na kuishia NEC tofauti na ilivyozoeleka. Kwa mujibu wao sababu kubwa za kupeleka NEC majina yote ya Wagombea ni pamoja na. >Rushwa (asiwe mshindi kwa kutoa Rushwa) >Kukubalika (anayekubalika na wapiga kura) >Na zinginezo Naomba nijikite...
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huyu mtu anaweza kuchukua hii nchi au anaweza kusababisha mambo yatakayosababisha mageuzi kutokea katika hii nchi

    Huyu ndugu anaweza kuchukua nchi moja kwa moja kupitia sanduku la kura tukiwa na uchaguzi ulio huru na wa haki, lakini pia anaweza kusababisha mambo yatayosababisha mageuzi yatokee katika nchi yetu. Wanasiasa wa aina hii husababisha katiba na sheria za nchi katika mataifa mbalimbali duniani...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini utegemezi wa Ulaya wa Wapinzani ni hatari kwa Nchi yetu na uhuru wetu?

    Ukitaka kutawala watu wafanye wategemezi kwako. Kutegemea mtu ni kuuza uhuru wako, inakupasa kufanya yote anayokutaka ufanye ili ulipe deni lako au kupata msaada wao. Inasikitisha sana mpaka leo kuna waafrika wanao wategemea na kuwatukuza wazungu wenye nia moja tu, ya kututawala na kutunyonya...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Kenya imetoa nchi 130 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila masharti ya raia hao kukaa karantini. Katika orodha ya nchi hizo Tanzania haimo. Hii ikiwa na maana kwamba raia wa Tanzania atakayeingia Kenya atalazimika kukaa karantini. Baadhi ya raia wa nchi wanaoruhusiwa kuingia...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tuepukane na uagizaji wa sukari nje ya nchi, uzalishaji wa sukari nchini umefikia tani 380,000

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipokuwa akizungumza na maafisa kilimo, wafanyakazi wa kiwanda cha sukari cha Bagamoyo Mkoani Pwani, ameeleza uzalishaji wa sukari ya mezani nchini unafikia tani 380,000 ambapo bado kuna bakaa ya tani 70,000, hivyo kuna kila sababu ya kuongeza uzalishaji wa sukari...
  10. JamiiForums Tanzania Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen adai kuzurumiwa Vyombo vya Mziki

    Mtunzi wa wimbo uliovuma zaidi miaka ya nyuma wa ‘Tanzania yetu ndio nchi ya furaha’, Mzee Stephen Hizza amwemwambia mtangazaji wa kipindi cha zilipendwa wiki iliyopita TBC Chacha Maginga anasikitika licha huo wimbo kuwa maarufu radio Tanzania lakini Serikali ya Awamu ya Nne pekee ilimpa ahadi...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi zenye Dhahabu nyingi zaidi duniani

    Nchi zilizo na akiba mingi ya dhahabu 1 United States - 8,133.46 T 2 Germany - 3,363.60 T 3 IMF -. 2,814.04 T 4 Italy - 2,451.84 T 5 France -. 2,436.01 T 6 Russian Federation - 2,299.87 T 7 China - 1,948.31 T 8 Switzerland - 1,040.00 T 9 Japan -. 765.22 T 10 India - 657.67 T 11 Netherlands -...
  12. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Kijeshi Mali: Rais Ibrahim Boubacar Keita na Waziri Mkuu Boubou Cisse watiwa nguvuni na Vikosi vya Jeshi

    Habari! Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa hivi sasa ninapoandika haya, kuna uwezekano wa kutokea kwa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali ambapo kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya Serikali na vikosi vya Jeshi nchini humo. Taarifa zaidi zitafuata hapo baadaye! ==== SASISHO: Katibu Mkuu...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Naona kama CCM na wafuasi wake wamejenga chuki kubwa kwa Watanzania waishio nje ya nchi, tatizo ni nini hasa? Je, wanaelewa umuhimu wa kundi hili?

    Wandungu, siyo siri naamini nanyi mmeona kuwa chuki dhidi ya watanzania waishio nje ya nchi imeongezeka sana kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli. Kama huamini jaribu kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo humu ndani hasa kuhusu mada zinazohusu siasa na watanzania waishio nje ya nchi, utaona chuki...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Katiba ya sasa haikidhi mahitaji ya Nchi

    Ndugu Bashiru Ally alisema kuwa katiba ya sasa ni katiba isiyokidhi mazingira ya kisiasa ya nchi yetu maana ilitungwa kuenenda na mfumo wa chama kimoja. Dkt. Bashiru Ally akasema kuwa Katiba hii ya sasa haina muafaka wa kitaifa ambapo sasa nchini kuna vyama vingi wakati katiba hii ni ya chama...
  15. JamiiForums Tanzania Simba Sc Mabingwa wa Nchi, waingia kambini-Simba Day Another Level

  16. JamiiForums Tanzania Je, Wasanii wa nchi hii wanatumiwa na watawala wetu kama askari wa kukodiwa?

    Tumeshuhudia wasanii wote wenye majina makubwa wasiopungua 200, wakishiriki kwa pamoja kwenye tamasha lililoandaliwa na CCM, katika uwanja wa Uhuru hapo jana, kwa kile kiliichoitwa tamasha kubwa kabisa la kimuziki, kwa wasanii hao wote wanaodaiwa kuwa ni mashabiki wakubwa na wanaiunga mkono CCM...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mrema: Kuna wagombea wana"VISA"mfukoni na nyumba za kuishi ughaibuni, mnaowashadadia mkiharibu amani ya nchi mtakimbilia wapi? Nanyi mna pa kwenda?

    JF Salaam, Mzee Mrema amewaasa wanasiasa wanaotaka kuchochea Vurugu nchini waache maramoja kwani wao ndege ziko uwanjani zinasubiri wavuruge nchi ziwarushe mpaka Ulaya. Mfuatilie kwa makini
  18. D

    JamiiForums Tanzania Lissu katika mikutano yake ya kampeni anasema yeye na Mwenyekiti wanatembelea magongo kwa kupigwa na watu wasiojulikana

    Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja...
  19. JamiiForums Tanzania Anachokifanya Rais Magufuli kingefanywa na Rais muislam basi angekosolewa vikali

    Nianze kwa na declaration of interest, ili kama kuna eneo nitakua 'biased' basi wajumbe mniuie radhi. Mimi ni Mtanzania muumuni wa dini ya kikristo. Nimekua mkristo kwa maisha yangu yote. Lakini pia ni muumini mkubwa wa haki, demokrasia na falsafa ya 'secular state'. Ni ukweli ulio wazi kabisa...
  20. JamiiForums Tanzania CHADEMA Mbeya yaandaa usafiri wa Mabasi kwenda Dodoma kumsindikiza Tundu Lissu kurejesha fomu NEC

    Taarifa zinadokeza kwamba hii ndio sababu halisi ya Mamluki wa ccm ambao ni polisi Mkoani Mbeya kumkamata Mbunge wa Mbeya Mjini Mh Joseph Mbilinyi mithili ya Jambazi Sugu na kumzuia kuchukua fomu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…