nchi

  1. JamiiForums Tanzania Antonio Guterres: Suala la Chanjo za kupambana na Corona lisichukuliwe kitaifa

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema sio sahihi suala la chanjo dhidi ya Ugonjwa wa #COVID19 kuchukuliwa kitaifa Katika ujumbe wake amesema, hakuna nchi itakayokuwa salama dhidi ya #CoronaVirus hadi nchi zote zitakapokuwa salama Kauli yake inakuja baada ya nchi kadhaa...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali kutoa tamko kuhusu chanjo ya Korona inayotolewa na WHO kwa nchi mbalimbali duniani

    Dar es Salaam The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand regarding Covid-19 vaccines soon. Many countries around the world are rolling out the vaccine following...
  3. JamiiForums Tanzania Mwaka 1985, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit kwa Rais

    Mwaka 1985 kwenye marekebisho ya katiba yetu ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Tanzania ndio ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuweka term limit ya vipindi viwili vya miaka mitano kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, baadaye ilifuatiwa na nchi ya Senegal kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Kukuza Uchumi wa Nchi na Watu

    Wakuu, Kama mmojawapo wa raia mjenzi wa nchi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) ambayo ni zao la Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Zanzibar Uchumi nufaishi kwa nchi na watu A: 1. Uchumi wa mazao ya Bahari 2. Uchumi wa Utalii (mali kale, viumbe adimu, wanyama asili lugha, utamaduni) 3...
  5. JamiiForums Tanzania Tungetoa msaada kwa nchi za ulaya zilizoathirika sana na corona.

    Hatuna uwezo lakini tufanye kitu hata kidogo kama gesture tu kuwa tupo pamoja Si ndiyo sisi husema kutoa ni moyo!? Wenzetu majanga yamekuwa makubwa sana, tusikae tu kama watu useless. Kila siku sisi wa kupewa tu!?. Tukusanye hata kahawa kidogo, majani ya chai au korosho na kuwapelekea hawa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dkt. Gwajima anafurahisha na kuonesha aina ya viongozi nchi yetu inahitaji

    Binafsi nimefurahishwa na jinsi Waziri wa Afya alivyoanza kazi. Anaonekana mtu mwenye kuelewa wizara yake inavyofanya kazi, ina changamoto zipi na ana dira ya maboresho yanayohitajika kuleta tija. Amekuwa tofauti na Mawaziri wengi ambao wanaonekana kufanya kazi sio kwa kuelekeza nini kifanyike...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Nchi isiyojali wanaomaliza masomo kwa alama za juu

    Inasikitisha Sana kwamba vijana wetu wanajitahidi kimasomo katika mazingira magumu Sana. Wakati mwingine fedha za mikopo ya kujikimu inachelewa, na hata wengine hawapati kabisa. Licha ya magumu yote hayo, unakuta kijana amejitahidi Hadi kufikia hatua ya juu ya ufaulu. Wengine katika madaraja...
  8. JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo yanayofanya Tanzania hiwe kinara nchi za wasio na furaha

    Habari wadau..! Kiukweli wa Tz tuna mzigo wa mambo mengi yanayotafanya tukose furaha mpk mda mwingine unatamani utoweke hapa duniani. Mfano siku kama ya leo au kipindi kama hiki unakuta kijana kamaliza chuo miaka inaenda hana mchongo ,kijana huyo huyo unakuta ni mshabiki wa mpira wa miguu...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Watu wanadhani kuweka kodi kubwa ndio pato kubwa kwa Serikali, kodi kubwa inapunguza wafanyabiashara

    Leo Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameitisha kikao na wafanyabiashara na kuongelea changamoto zinazoikabili sekta ya biashara Zanzibar na muelekeo wa kuzitatua. Kikao hiko kimehudhuriwa na wafanyabiashara pamoja na mawaziri wa serikali ya Zanzibar Pamoja na mambo mengine, Rais wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vijana Ndani ya Nchi Wamemuangusha Rais Magufuli. Tupendekeze majina ya wana JF walio Diaspora!

    Vijana ndani ya hili taifa tumemuangusha rais Magufuli katiba utekelezaji. Wengi waliopewa madaraka wamelewa na kuharibu. Mfano mzuri ni Makonda, January, Nape, Jerry Silaa, Kigwangalla na wengineo. Mimi mwenyewe nilitumbuliwa NSSF na niko bench hadi sasa ingawa nafanya biashara zangu. Napenda...
  11. JamiiForums Tanzania Tufanye nini ili nchi yetu iondokane na kilimo cha kimaskini na kilimo kiwe ajira?

    Tanzania ni nchi inayofaa sana kwa kilimo tuna ardhi nzuri na kubwa sana, pia tuna maji mengi sana. Ni moja ya nchi zenye maji mengi duniani lakini ajabu yetu kilimo chetu ni cha kimaskini kupita maelezo. Wakulima ni maskini wa kutia aibu. Kwa ardhi tuliyonayo kilimo kinaweza kuwa kimbilio la...
  12. JamiiForums Tanzania Hofu ya Corona: Rais Magufuli asitisha mbio za Mwenge 2020. Fedha kupelekwa ktk maandalizi ya kupambana na Corona

    Habari zenu wakuu, Kutokana na kusambaa kwa virus vya Coron, Rais wa Jamhuri ya Muungano amepiga marufuku mbio za Mwenge kwa mwaka huu ili kuzuia mikusanyiko isiyo rasmi Very nice for our caring president ,long live baba --- Rais amesema Mbio za Mwenge zinakusanya watu wengi sana na katika...
  13. JamiiForums Tanzania Ubepari ulivyoandaa misingi ya utandawazi na matokeo ya nchi zinazoendelea

    UBEBARI NAMNA ULIVYOJIKITA KUJENGA NGUZO YA UTANDAWAZI. Na Elius Ndabila 0768239284 Historia inatufunza kuwa ubepari kama mfumo wa mahusiano ya kijamii hushamiri na kuendeshwa kwa kutegemea "udhaifu" wa upande mmoja katika mahusiano hayo. Ni wazi kuwa mfumo huu unaishi katika kuupalilia...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Hii Hali ya Umeme kutouwepo siku nzima maeneo mbalimbali ya nchi, tatizo nini

    Umeme kwa huu mwezi unakatika Sana siku nzima, ukiuliza emergency wanajibu matengenezo, nimetembea mikoa Saba mwezi huu shida Ni hiyo hiyo, huku wengine wanasema mitambo imechakaa , huku wengine wanasema stigler, wengine wanasema mgao wa kimya kimya, embu serikali itoe kauli Kama Kuna mgao...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi kuna maana gani kuendelea kuyabakiza mabango ya Chagua Magufuli nchi nzima, wakati uchaguzi ushakwisha?

    Kuna kitu ambacho siyo cha kawaida, ambacho sijawahi kukiona katika miaka ya nyuma katika tawala zilizopita, kwa kuyabakiza mabango kwa maelfu yanaendelea kuwepo sehemu mbalimbali nchini, wakati uchaguzi ushakwisha! Mabango hayo yalitengenezwa maalum kwa ajili ya uchaguzi mkuu pekee na kwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Kaleman ifumue TANESCO Kyela ni kero na aibu kwa nchi

    Mheshimiwa waziri kyela hakuna umeme ni mwezi sasa, wanakata saa 12 asubuhi kila siku na kurudisha saa 3 usiku, watu wanahamasishwa wanunue generator na sola power, hii ni hujuma fumua uongozi wa Tanesco kyela,tunakuomba mheshimiwa waziri tunajua wewe ni mchapa kazi ila hawa watu wanakuangusha
  17. JamiiForums Tanzania Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

    Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyohoji, napenda kuenda moja kwa moja kwenye mada kama direct kick kwenye football. Tangu hii nchi iingie kwenye mfumo wa vyama vingi, hivi tulishapata manufaaa yoyote kwa hawa wanaojiita wapinzani? CUF, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CHADEMA walishaleta...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar yenye taswira ya Lee Kuan Yew, ipo tayari chini ya Utashi, maono na Falsafa za Rais Hussein Mwinyi

    Salaam Wana JF. Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
  19. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi ipi ni Jirani mkubwa kwa Kenya?

    Kenya imezungukwa na nchi nyingi 1. Somalia 2. South Sudan 3. Uganda 4. Tanzania 5. Rwanda Kati ya nchi hizo ni nchi gani ambayo Wakenya wapo na Ujirani + Undugu mkubwa nayo?
  20. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba 'Visa' ya Nchi ya Oman

    Wakuu, Ningependa kwenda kutalii nchini Oman katika nchi tajwa hapo juu. Naomba nipatiwe0utaratibu wa kuomba visa,na ikiwezekana na gharama za nauli na malazi kwa wiki tatu. Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…