nchi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla amchambua Dkt. Bashiru, adai aliandaliwa kuwa Rais 2025

    Mwana JF nguli, Akihojiwa Radio DW Pascal Mayala, amemchambua Dr Bashiru. Amesema Dr Bashiru kapata ajali kubwa sana kisiasa na hatoinuka tena. Pia kadai Magufuli amiini usiamini alikuwa akimwandaa Dr Bashiru kuwa Rais 2025. Mayala amedai Dr Bashiru aliyeibukia kuwa Katibu Mkuu wa CCM baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Wafanyabiashara wa nchi hii kila siku wanalalamika, mnahitaji kengele gani igongwe?

    Leo spika Job Ndugai amewaapisha wabunge walioteuliwa jana na Rais Samia Suluhu na kuahirisha Bunge kwa ajili ya hafla ya kuwaapisha mawaziri jioni ya leo. Pamoja na mambo mengine, Spika Ndugai amewaambia mawaziri na mawaziri watarajiwa kwamba Bungeni ndio nyumbani na uwaziri ni matembezi...
  3. JamiiForums Tanzania Tutegemee kasi ya ukuaji wa uchumi wa nchi yetu ikikua zaidi na kuongoza ndani ya nchi za Afrika Mashariki

    Kama ukichunguza vizuri utagundua katika serikali iliyopita ya Dkt. JPM katika miaka yote ya uongozi wake kwa wastani kasi ukuaji wa uchumi ilikua ni zaidi ya asilimia 6.8 hadi 7. Na ni dhahiri kuwa ndani ya Afrika Mashariki kuna nchi moja tu ambayo ndiyo ilikua ikitupa Changamoto ambayo ni...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

    Hii ndio taarifa mpya kwa wakati huu inayozunguka dunia nzima , kwamba Chadema yenye Makao Makuu yake Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Tarehe 1/4/2021 kwenye ofisi za Makao Makuu yake . Waandishi wote mnakaribishwa lakini mnakumbushwa kuzingatia...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya maajabu, 70% na zaidi inategemea kilimo na haina kiwanda cha mbolea,mbegu wala kutengeneza trekta

    Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha; ~Mbolea ~Mbegu ~Utengenezaji matrekta. Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi. Hatuna chuo kikuu cha Tafiti za Mbegu na magonjwa ya mazao. Nchi imejaa UZEMBE SANA. 80% ya zao...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania. Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi 14 zatilia shaka ripoti ya ‘WHO’ kuhusu asili ya COVID-19

    Japan nchi za Umoja wa Ulaya na Marekani zimesema wanasayansi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) walichelewa kufuatilia asili ya Virusi vya Corona. Aidha wamesema hawakupewa ushirikiano wa kutosha na China kwa kuwa walinyimwa uwezo wa kupata taarifa sahihi za ugonjwa huo. Hivyo wanaona ni vyema...
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM wameshaivuruga nchi - TAHADHARI

    Kwa kweli namna katiba inavyovurugwa ni wazi kabisa Chama cha Mapinduzi kimeshaivuruga nchi na sasa, na sasa kila mmoja anaongoza kivyakevyake, msemo wa Kiswahili maarufu ule usemao mwenye nguvu mpishe, ndio tunaokwenda nao sio tena kufuata ule msemo wa Uongozi ni dhamana. Mnavuruga Katiba ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa CCM ni ishara kwamba nchi imeibiwa tena mikononi mwao

    Hizi siku tatu nimeshtuka kwamba tulikuwa tunaibiwa na watu wale wale tulioaminishwa niwazalendo. Chama Cha mapinduzi lini mtatuondolea wezi Hawa kwenye mfumo? Nadhani ccm imekomaa na usajili wao umejikiti kwa wwnamtando zaidi ya uadilifu kuliko kurecrutit watu wenye uchungu na nchi. Uchaguzi...
  10. JamiiForums Tanzania Bila Shaka CCM inahitaji utulivu ili nchi itulie

    Ni wazi wapinzani wa CCM watatumia fursa zote halali na haramu ili kuimaliza CCM ikiwa madarakani na ni haki yao kufanya hivyo. CCM ilipoteza mvuto kipindi flani hadi kufanya zoezi la kuvua gamba japo gamba liliishia kiunoni. Mwaka 2015 CCM ilipitia changamoto nzito sana baada ya mgawanyiko...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi

    Imagine Africa ingekuwa nchi, imagine wazo la mzee wetu Kwame Nkrumah lingefanikiwa, leo hii uchumi wa dunia tungekuwa tumeushikilia sisi, tungekuwa tishio kuliko China ilivyo kwa USA. Uwezo wetu kijeshi, sayansi,elimu na teknolojia ungekuwa tishio. Itazame USA kama nchi 50 ambazo hazina...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imekuwa nchi ya Kwanza Afrika Mashariki kuzindua 5G

    Wakati majirani zetu bado wanalala usingizi wa pono, Kenya imekuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki na kati kuzindua mtandao wa 5G. Safaricom imezindua mtandao wa 5G leo.
  13. JamiiForums Tanzania Kalambo Waterfalls Tanzania

    The Kalambo Falls on the Kalambo River is a 772ft (235m) single drop waterfall in Tanzania, very near the border with Zambia at the southeast end of Lake Tanganyika. The falls are some of the tallest uninterrupted falls in Africa (after South Africa's Tugela Falls, Ethiopia's Jin Bahir Falls...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe, mkanye Lissu

    Popote ulipo mwenyekiti wa chama. Tunakufikishia salamu hizi sisi Watanzania tusio na chama na wanachama wa CHADEMA. Mwambie Tundu Lissu akae kimya wakati huu, aache tabia za kuropoka ropoka na kujibishana asiye jibishane naye. Mwambie kwenye msiba tamaduni zetu ni kuungana na kua wamoja huo...
  15. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Suluhu Hassan ni Rais wa Awamu ya Tano au ya Sita kwa mujibu wa Katiba ya nchi?

    Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na mtazamo huo, au wengi wakafuata mtazamo huo baada ya kumsikia mtangazaji huyo. Je, kwa mujibu wa katiba...
  16. JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mambo kumi na tatu (13) yaliyopaswa kufanywa kwa mujibu Katiba ya nchi na Sheria kabla ya kutangazwa Ratiba ya Mazishi

    Kwakuzingatia katiba na sheria inayosimamia mazishi ya viongozi na kwakuepuka uvunjifu wa sheria nchi yetu ilipashwa kufanya yafuatayo kabla yakufanya mazishi ya Hayati Mhe. John Pombe Magufuli. 1. Makamu wa Rais kutangaza kifo Cha Rais aliyekuwepo madarakani- 2. Makamu wa Rais kuapishwa kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zilizowahi kuongozwa na Viongozi Wakuu wanawake

    Mama Samia Suluhu Hassan ameapishwa leo kuwa Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha Dkt John Magufuli hapo Machi 17. Rais Samia anakuwa mwanamke wa kwanza Tanzania kushika nafasi hiyo. Wafahamu wanawake wengine walioshika nyadhifa za juu kabisa katika nchi zao barani...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mama Samia aliposema tushikamane ni muda sasa wa Watanzania waishio nje ya nchi kurudi kuijenga nchi yetu

    Mshikamano huu si kwa walio nchini tu bali wale wote wanaoishi nchi za nje bila kupenda. Kama kuna Mtanzania yeyote aliikimbia nchi, naomba arudi 'tushikamane' tujenge nchi yetu. Kama kuna mfanyabiashara yeyote alihamishia biashara yake nje ya nchi, naomba arudi 'tushikamane' tuijenge Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Je, CCM ni chama kisichopenda Watanzania wawe na maisha bora? Tangu kitawale nchi hakuna mtawala aliyewaacha vizuri wananchi

    Tangu tupate Uhuru CCM imekuwa initawala hii nchi. Hakuna mtawala ambae kama Rais wa nchi alishawaacha watanzania na maisha bora. Awamu ya Kwanza ya Mwl. iliacha watanzania wakiwa na hali mbaya sana ya kimaisha. Watu walivaaa masempele. Mahala pa kulala palikuwa hovyo kabisa. Awamu ya pili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…