nchi

  1. JamiiForums Tanzania Mpaka awamu hii kuisha, nadhani Zanzibar itakuwa nchi iliyoendelea zaidi Afrika Mashariki

    Kwanza kwa sasa wana Rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid. Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana. Zanzibar...
  2. JamiiForums Tanzania Uwepo wa waandishi wa habari makanjanja ni hatari ndani ya jamii/ nchi

    WAANDISHI MAKANJANJA NI HATARI NDANI YA NCHI. Anaandika Robert Heriel. Leo nitatumia lugha ngumu kidogo, nafahamu nazungumzia kazi za watu ambazo zinawaingizia kipato. Hata hivyo Nia yangu sio kuonyesha ubinafsi, kuwaonea kijicho, isipokuwa kuwataka wabadilike, ili tujenge jamii Bora na taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi za Magharibi zinalenga kuzigawanya nchi nyingi za Afrika?

    Mpaka sasa, Jambo lilo wazi katika vita ya Ethiopia ni mkono wa nchi za magharibi katika mgogoro huo. Baadhi ya viashiria vinavyoonyesha mkono wa nchi za magharibi katika vita hiyo: matumizi ya magari ya FAO yaliyopeleka msaada wa vyakula na waasi wa TPLF. Ushahidi wa Marekani na washirika...
  4. JamiiForums Tanzania Takwa la kikatiba la baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani msaidizi wake awe mkuu wa Nchi litauwa wengi-lipingwe mahakamani

    Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika. Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, wanasiasa kutembelea sana Wanasiasa Wastaafu ni Utaratibu tu au nchi imewashinda na Majukumu ni mazito kuliko walivyotarajia?

    Nahisi Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar sasa Viti ni vya Moto na imebidi Wanasiasa wa Zanzibar na Kigoma tubuni Mbinu, tugawane Majukumu na kuamzisha Utaratibu wa ghafla wa Kuwatembelea Wastaafu waliotutangulia tulipo sasa maeneo ya Masaki. Tumeingia Machi na sasa ni Novemba tayari tunaenda...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Nini kunakuwa na mapinduzi ya kijeshi nchi za Afrika

    Mambo yapokwenda kombo na wazee was kazi wanaamua that is to much uongozi wa kiraia hauna tija Kama ilivyotokea kule Guine na Sudan
  7. JamiiForums Tanzania Jay Jay Okocha: Sikujua mimi ni Mweusi mpaka nilipofika Ujerumani

    Testimony.
  8. JamiiForums Tanzania Nchi inayoogoza kwa ubaguzi by J J Okocha

    Testimony
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam wahaha shida ya maji na umeme

    Kufeli kwa serikali ya CCM sasa kumegonga pentagoni. Jiji la Dar es laam sasa limegeuka jiji la uhaba wa maji na umeme. Kwenye ishu ya maji, kuna mgao wa siku tatutatu na maji yanatoka masaa machache kisha yanakatika. Hali hiyo imefanya watu waanze kuhangaika na ndoo na madumu kutafuta maji...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge aivaa Serikali kuhusu Wastaafu, ahoji kwanini wanaotumikia Nchi hii wanakufa wakidai hela

    Mbunge Mwita Getere ameitaka Serikali kutafuta Mfumo thabiti ili Wastaafu waweze kupata Fedha zao akisema "Watu wanakufa wanadai hela. Kwanini mtu ametumikia Nchi hii anakufa anadai hela?" Ameongeza, "Suala la Wastaafu ni kero kubwa katika Nchi yetu. Serikali inatakiwa kujitahidi kwenye suala...
  11. L

    JamiiForums Tanzania China yazisaidia nchi za Afrika kupata maendeleo katika matumizi ya teknolojia ya mawasiliano

    Na Caroline Nassoro Karne hii ya 21 inajulikana kama karne ya Sayansi na Teknolojia. Sekta hii imepewa umuhimu wa kipekee katika zama hizi, na ni ajabu kama utakuta mtu hana japo simu ya mkononi, kwani siku hiz, hususan simu janja (smart phones) ni sawasawa na benki, shajara, na kila kitu...
  12. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi, Scotland: Rais Samia ametuangusha

    Wanabodi, Kama mtanzania, inawezekana umepata nafasi kufuatilia yanayojiri nchini Scotland kwenye mkutano unaohusu mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi wengi akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alihutubia mkusanyiko huo. Tofauti na nchi kama China, Marekani na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia mkutano wa tabia nchi, asema 30% ya pato la Taifa sio endelevu

    Leo Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amehutubia mkutano wa Tabia nchi unaofanyika Scotland, katika hotuba yake fupi na kuongelea Tanzania ilivyoathirika na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo kuongezeka kwa kina cha bahari na kutafuna ardhi yenye rutuba, kuyeyuka kwa barafu ya mlima Kilimanjaro pia...
  14. JamiiForums Tanzania Daraja Korofi la tangu Uhuru la Fundimbaga -Tabora mita 45 kwa muda mchache liko tayari

    Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA, Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga, Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Safari za Rais Samia nje ya nchi ziwe za kimkakati zaidi kuhusu masuala ya Utalii

    Awali ya yote Mimi ni mojawapo ya Kijana ambaye nafarijika kuona Mhe.Rais wetu akisafiri nje za Nchi na kufungua Fursa za mambo mengi ikiwemo kuitangaza, Nchi yetu kimataifa pamoja na kuvutia wawekezaji wengi kuja Tanzania pia. Lakini Kuna kitu nakiona kama hakipo sawa,kwenye suala la Utalii...
  16. JamiiForums Tanzania Rais mtaafu Kikwete akitoa ushauri wa jinsi ya kuongoza nchi atatoa ushauri huu?

    Wakati wa uongozi wake aliwahi sema kuwa watu wasimuandame kuwa anasafiri sana. Alisema kuwa huko watu wanapesa sana hivyo ni muhimu atoke akahemee. So kama JK akiombwa ushauri wa kuongoza nchi bila shaka ushauri wa kutoka na kuomba kwa kila anayeonekana ana pesa utakuwa ni wa kwanza kabisa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa wala nchi hii: Mkutano wa TEHAMA umekwisha na maazimio ya kinafiki

    Limkutano huko Arusha lilikuwa na mbwembwe kwelikweli aisee yaani nimekaaa hapa natengeneza apps fulani bando limeisha kabisa kushoto kulia hata buku 3 ya kupata gb 2 sina niweze kuchukua baadhi ya vitu online na kucheki tutorials Ama kweli hili li nchi nuksi sana , walivyokuwa wanajiliza...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

    Agenda ya US$100B kwa nchi masikini baada ya Rais Samia kurejea nchini tutarajie chochote kutoka COP26? "Hakuna kama Samia " Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwawajumbe 197 wa baraza la 26 la Uhifadhi wa Mazingira duniani yaani COP26 lililoketi kwa kipindi cha Siku 12...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ni Chama kipi kinakidhi vigezo vya kuiletea Nchi yetu maendeleo ya haraka?

    Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo. Kwa maoni yako unadhani ni chama gani kwa hivi tulivyonavyo sasa kwa muundo wake kikatiba kwa dira yake na kwa utamaduni wake kinakidhi...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini haiitwi Vatican Country badala yake inaiwa Vatican City?

    Hii inafikirisha kidogo jamani. Vatican ina mabalozi nchi zote lakini haijiiti nchi ya Vitican bali mji wa Vatican. This brings much confussions. Au mnasemaje nyie? Na cha ajabu haiko hata kwenye nchi za umoja wa Ulaya yaani EU. This still brings antagonistc behaviour
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…