nchi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Iko siku nchi nzima itakuwa giza kwa sababu ya kukumbatia walamba asali kina January Makamba

    Nasema hivi! Haiwezekani kuwa matatizo ya Tanesco yalikuwa sugu kiasi hiki Ni mwaka sasa na miezi tangu tuambiwe Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) linaundwa upya na mitambo yake kufanyiwa ukarabati muda wa miezi miwili kwamba hatutaona tena kukatika kwa Umeme wala mtandao wa manunuzi ya...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la wamaasai ni mchango wao Mdogo kwenye maendeleo ya nchi

    Kabila la wamassai wanajulikana zaidi kwa migogoro kuliko maendeleo. 1. Monduli ni jagwa leo kwasababu ya wamaasai 2. Migogoro ya wafugaji na wakulima kutoka Morogoro mpaka Lindi ni wamasai 3. Hawapendi kuendeleza watoto wao 4. Hawalipi kodi zozote za maana 5. Hawafuati ushauri mfano ufugaji...
  3. JamiiForums Tanzania 70% ya Waitalia hawataki nchi yao kumsaidia silaha Zelensky

    Wabunge wamemshikia mabango Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi wakipinga hatua ya kuisaidia Ukraine === Italy Deputies rise up against Mario Draghi “Stop sending weapons to Zelensky! More than 70% of Italians do not want to send weapons to Zelensky,” the deputies say. Mario Draghi is accused...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinachochea dai la “mtego wa madeni” huku kihalisia fedha zikifika nchi hizo kutoka Afrika

    “Madeni mengi yanayozikabili nchi za Afrika yanasababishwa na mashirika binafsi ya nchi za Magharibi, na hawa wakopeshaji kutoka New York, London, Frankfurt n.k wanataka madeni hayo yalipwe ili mali za nchi za Afrika ziendelee kumiminika Amerika Kaskazini na Ulaya, na wala sio China.” Hivi...
  5. JamiiForums Tanzania Ligi Kuu ya Hispania “La Liga’ yaipongeza Yanga kwa Ubingwa

    Kupitia kurasa zao za Instagram na Fcebook, Shirikisho la Ligi Kuu ya Uhispania "La Liga" limeipongeza Yanga kwa ubingwa. Ikumbuukwe mwaka 2020 Yanga ilisaini mkataba wa ushirikiano na La Liga hoteli ya Serena Jijini Dares Salaam. Ni furaha sana pale mshirika wako anaposhinda kwa hio washirika...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu kutoka nchi karibu mia mbili duniani wanakongamana Nairobi kuhudhuria UN Biodiversity conference

    Hii Nairobi imeshakuwa global city. Nairobi sasa hivi inahost UN Biodiversity conference na watu wanaohudhuria hii conference wanatoka katika nchi zote duniani. Crunch Talks Kick Off On Global Pact To Protect Nature Negotiators from almost 200 countries will begin crunch biodiversity talks in...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulamula asisitiza umoja na mshikamano kwa nchi za Afrika na Nordic

    15 Jun 2022 Helsinki, Finland Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic baada ya kumalizika kwa mkutano wa 19 wa Mawaziri hao jijini Helsinki, Finland. Waziri wa...
  8. JamiiForums Tanzania SIRI Iliyojificha Kwenye Bangi inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani hasa Afrika

    SIRI Iliyojificha Kwenye Ganja , Kaya , Bangi , Mmea Wa Uzima Inayofanya Kukatazwa Matumizi Yake Nchi Nyingi Duniani Aswa Africa na Kuruhusiwa Matumizi Ya Pombe na Sigara... Habari yako mpenzi msomaji wa makala hii , natumai wewe ni mzima wa afya kabisa,na kama ni mgonjwa usiwaze sana mungu...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiishi Kigamboni ni kama uko nchi nyingine

    Yaani kigamboni pamekaa kushoto sana, pantoni zenyewe magumashi tupu, kuna muda usiku huwezi kupata huduma. Kuishi kigamboni ni sawa na kuishi Bujumbura tu. Changamoto ni nyingi...
  10. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. • Algeria 🇩🇿 • Angola 🇦🇴 • Congo DR 🇨🇩 • Egypt 🇪🇬 • Guinea 🇬🇳 • Libya 🇱🇾 • Morocco 🇲🇦 • Nigeria 🇳🇬 • South Africa 🇿🇦 • Sudan 🇸🇩 • Tanzania 🇹🇿 • Tunisia 🇹🇳
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku . Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
  12. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Tanzania kuanzishwa kwa "Tanzania mortgage bank" kama nchi nyingine

    It's advantage mikopo yake hutolewa haraka sana baada ya bank kujirizisha na thamani ya asset iliyopo na actually value it has, It's loan are very fast even good for businessmen.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Poland yajitwika mzigo wa madeni ili kujiimarisha kijeshi

    Kwa kile kinachoonekana kama kupaniki,kujishtukia & kupatwa na uoga nchi maskini ya Ulaya,Poland imeamua kufanya maamuzi ya ajabu ya kutumia mbinu zozote zile ikiwemo kukopa hovyo ili kuliimarisha jeshi lake na kujiweka tayari kwa uvamizi wa super power Russia Kwa sasa nchi ya Poland imeamua...
  14. JamiiForums Tanzania Comrade humphrey PolePole akiiwakilisha nchi

    Hebu msikilize hapa chini.
  15. G

    JamiiForums Tanzania Kazi nje ya nchi

    habari wakuu tafadhali anayejua mawakala wa ajira nje nchi bara lolote ila siyo uarabuni naomba msaada wenu 🙏
  16. JamiiForums Tanzania Kilimo cha jembe la mkono kwa Nchi ya Uchumi wa Kati

    Tanzania ni nchi huru kwa miaka 61 sasa.Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na raslimali nyingi kila mkoa Tanzania ni nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo mito mabwawa maziwa na bahari. Tanzania ni nchi yenye misitu Tanzania ni nchi yenye mifugo mingi na wanyamapori wengi Tanzania ni nchi yenye...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya viongozi wa nchi 4 nchini Ukraine: Sura zao hazioneshi matumaini

  18. JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: Kaliningrad, eneo la Urusi ndani ya Ulaya ambalo sasa litazungukwa na nchi za NATO

    Kufuatia uvamizi wa kijeshi wa Urusi nchini Ukraine, nchi mbili za nchi za Skandinavia yaani Nordic zisizoegemea upande wowote, Finland na Sweden, zilibadili sera zao na kuomba kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO. Kwa baadhi ya wachambuzi, uamuzi wa Finland na Uswidi ni "janga" kwa Moscow...
  19. JamiiForums Tanzania Je, tatizo ni uwezo mdogo wa VIONGOZI wetu au wameamua tu kuigeuza nchi kuwa shamba la bibi?

    Habari! Napenda tujibu swali hili kwa kutumia mfano huu. Serikali au waziri Mchemba anapendekeza viongozi wakopeshwe magari badala ya njia ya sasa ambapo kiongozi hulikuta gari ofisini au hununuliwa jipya pindi anaposhika wadhifa fulani na kuliacha pale anapostaafu, kufa, kuhama, kufukuzwa au...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Je, wafugaji wa kimasai na Kimang'ati wanasaidia nchi kwa lipi?

    Ukweli ni kwamba kila mahali ukienda kwenye mashamba karibu Tanzania nzima utakuta migogoro ya wafugaji na wakulima. Wafugaji wengi ni wamassai na wamang'ati na wamekuwa kero kila mahali. Leo hii kuna mmang'ati kapika kambi na ngombe kwenye shamba langu Kidomole, Pwani bila kuomba au kuwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…