nchi

  1. JamiiForums Tanzania Wanawake ni viongozi na wasimamizi bora wa jamii na nchi

    Kumekuwa na mtazamo wa kimazoea hasa Katika nchi za Afrika, Kuwa mwanamke hawezi kusimamia jamii na nchi kwa ujumla, maranyingi mwanamke huonekana kama mtu ambaye uwezo wake wa kusimamia hutegemea muongozo wa mwanaume na Kuwa mwanamke mwenyewe hawezi kusimamia na kufanya maamuzi hata Katika...
  2. JamiiForums Tanzania Kikwete: Sera zinazowanyima watu uhuru ni hatari kwa usalama wa nchi

    Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi. Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wanaogopa kujadili matatizo/changamoto za nchi yao kwa mtazamo wa kuwa watapotezwa?

    Anaandika, Robert Heriel Ni lini mtazamo huu utaondoka? Nani atauondoa? Mtazamo huu umefanya Watanzania wengi kuwa waoga wa kujadili Kwa Uhuru mambo yanayohusu nchi Yao hasa Kwa kuigusa moja Kwa moja serikali. Sio wazazi Sio Wake au watoto wetu, Sio Wasomi au wasiosoma Sio Mafukara na Wakwasi...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu. Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Nchi yetu kwasasa haina kitisho chochote, kwa nini Lissu hataki kurudi?

    Nimemiss sauti na harakati za Tundu Lissu, atarejea lini huyu mtu? Ni nini ambacho kimeendelea kuwa kikwazo kwake kiasi kwamba abakie Ubelgiji mara nyingi ana ahidi kurejea mwisho kunakuwa kimya kabisa Kwanini harejei? Najua Kuna watu wengi wamemmis akiwa mahakamani sambamba na akina Kibatala...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Maeneo maalum ya Uchumi yanayoungwa mkono na China barani Afrika yahimiza maendeleo ya Nchi za Afrika

    Na Fadhili Mpunji Moja kati ya mambo ambayo China iliyataja mwanzoni wakati wa kuanzishwa kwa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC, ni kuanzisha maeneo maalum ya uchumi (Special economic zones- SEZs) ili kuhimiza uzalishaji wa bidhaa za viwanda, na kuzisafirisha katika masoko ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania yasitisha vibali vya usafirishaji wa mahindi nje ya nchi

    Wasiwasi mpya wa upungufu wa unga wa mahindi umeibuka nchini Kenya baada ya Tanzania ambayo ni msafirishaji mkubwa wa mahindi nchini humo kufungia vibali vya kuuza nafaka hiyo nje ya mipaka yake. Hatua hii ni katika kujilinda dhidi ya baa la njaa kwa kulinda hazina ya ndani ya akiba ya chakula...
  8. JamiiForums Tanzania January Makamba: Nikifeli mimi imefeli nchi, kama una matatizo na Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tafuta jambo lingine

    Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema "Nikifeli mimi imefeli nchi akifeli rais imefeli nchi" kama una matatizo Mh Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tutafute jambo lingine sio mambo ya nchi
  9. JamiiForums Tanzania Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo ya kwangu?

    Wakuu habarini, Naomba kuuliza jambo hili moja, kuwa naweza pata huduma ya kiubalozi kwenye nchi isiyo yangu ikiwa pia balozi hiyo ipo nchini kwangu. Mfano nafukuzia visa ya aina fulani ambayo nchi yangu haina au sio eligible, je, ninaweza kwenda nchi nyingine na kuomba aina hiyo hiyo ya visa...
  11. JamiiForums Tanzania Makamba: Tanzania inahitaji TSh. Bilioni 345 kukabili Tabia Nchi

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Tanzania inahitaji dola 150 milioni za Marekani (Sh345 bilioni) kwa mwaka kujenga uwezo wa kukabiliana na athari za mabadili-ko ya tabianchi. Makamba amesema fedha hizo zinatakiwa kutumika kujenga uwezo katika sekta ya kilimo, afya, miundombinu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kutegemea tozo na kodi za nchi wanazotusaidia kwa maendeleo yetu

    Tanzania kama nchi haiwezi kuweka mipango kwa kutegemea kodi, tozo za nchi nyingine kama msaada wakati sisi wenyewe hatujiendelezi na nchi haina uzalishaji. Serikali inajaribu kuwekeza kwenye kilimo lakini watu hawataki kulipa kodi wala tozo sasa ni mpaka lini tutategemea pesa za misaada wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali ijaribu sera ya madaraka mikoani, yaweza kabisa kuibadili nchi yetu ndani ya kipindi kifupi

    Makamu mwenyekiti yupo ziarani mikoa ya magharibi mwa Tanzania, ambapo tayari kapita Kagera na mkoa mpya wa Geita. Hapo Kagera kakutana na mkuu wa mkoa bwana Chalamila ambae juzi kaongea maneno ambayo yamekosa mwongozo wa kitaaluma kwa kujaribu kulinganisha uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza...
  14. JamiiForums Tanzania Tabora special thread

    Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana. Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi tano zenye unafuu wa tozo

    Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani Chanzo: Getty images Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo...
  16. JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi 5 zenye unafuu zaidi wa tozo na kodi duniani

    2 Septemba 2022 By Yusuph Mazimu, BBC Swahili Sio rahisi duniani kukuta nchi haitozi tozo au kodi kabisa, kwa sababu mapato yatokanayo na tozo na kodi yanasaidi kutunisha bajeti ya nchi inayoshughulikia huduma mbalimbali na shughuli mbalimbali za maendeleo ikiwemo miradi. Hoja inakuja ni tozo...
  17. JamiiForums Tanzania Solidarity fund/uzalendo vs kujenga nchi

    Habari Watanzania, Baada ya kusoma na kusiliza hoja za waziri wa fedha mheshimiwa Dr. Mwigulu Lameck Nchemba, naona kama hajaelewa msingi wa manung'uniko au kelele anazozisikia. Naomba kumweleza yafuatayo, manung'uniko ya wananchi si neno kodi au Tozo. Manung'uniko ni jinsi haya yote...
  18. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa maswali haya Chebukat anaweza kukimbia nchi

    TOUGH QUESTIONS ASKED BY JUDGES AT THE SUPREME COURT THAT NEEDS 15MINS RESPONSE....👇👇 1. How many votes were stray and how were they distributed? 2. Did you have any instance where voters walked in and voted for the president alone? 3. 225 stations didn't use kiems, how many were they in...
  19. JamiiForums Tanzania Nina sebule ina urefu wa 6m na upana wa 4m, je, ninunue TV (screen) ya nchi ngapi na brand gani ni nzuri?

    Habari wakuu? Nimehamia kwenye nyumba ambayo ina sebule yenye vipimo kama nilivyoainisha hapo juu (Ur 6m kwa Up 4m). Naomba ushauri ninunue flat screen ya nchi ngapi na brand gani ina quality nzuri za picha na inadumu kwa muda mrefu bila kuleta matatizo? Natanguliza shukran za dhati wakuu!
  20. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nchi yangu katika mapinduzi ya kiuchumi

    JE INAWEZEKANA KUAHURU KIUCHUMI Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Huru wa Kiuchumi ni uwezo wakua huru katika shughuli za uzalishaji kwaajiri ya kutosheleza mahitaji yao. Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…