nchi

  1. S

    JamiiForums Tanzania TRA Wamepandisha kodi kwa magari yanayoingizwa nchini

    Washapandisha kodi kitambo. Baadhi ya gari zimeongezeka hadi milioni. Angalieni TRA tax calculator. ===
  2. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

    Nafanya clearing za mizigo ya aina yote bandarini. Mawasiliano: WhatsApp & Call 0652802379
  3. JamiiForums Tanzania Mnapojidai kutembea na wake zao wao wanatoka na watoto wenu na ndugu zenu wa damu hata mama zenu wanaopatikana nchi nzima. Watch out! karma is real.

    Hello, Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia. Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia

    Katika mkesha wa sikukuu ya mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China alitoa salamu za mwaka mpya wa 2023, akibainisha kuwa, China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia, na inachangia busara na mipango ya China kwa ajili ya amani na maendeleo ya binadamu wote. Mafanikio ya China kutokana...
  5. JamiiForums Tanzania Je, nchi zinaanza kukimbilia dhahabu kama pesa? Tanzania tuna akiba kiasi gani cha dhahabu?

    Habarini. Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu kununua mafuta. Kuanzia mwezi huu makampuni ya kuchimba dhahabu yatatakiwa kuiuzia benki kuu ya Ghana...
  6. JamiiForums Tanzania Overview of Cryptos Asset Regulation in Sub-Saharan African Countries

    Ukuaji Wa Soko la Cryptocurrency Africa unahitaji Utaratibu Mzuri. Heri ya Mwaka Mpya 2023 wana JF 🙏💜 Utafiti uliofanywa na Chainalysis unonyesha kuwa, Bara la Africa ni ya 1 kwa ukuaji Wa haraka kwny soko la Cryptos Ulimwenguni lakn imekuwa ikifanya mihamala michache kwa makadilio jumla ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tunampongeza Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan; Januari mpaka Disemba nchi iko salama

    Kongole mama Samia, bahari umeipita, mawimbi umeyamudu, January mpaka Disemba, katikati ya bahari ukiongoza taifa, ukipita mbele ya magwiji ya Dunia, ukilinda mipaka na heshima ya nchi. Nani asiyejua urefu wa mwaka? Tuko salama vijijini kwetu, usalama na ulinzi kede kede, kwani ni juhudi za...
  8. JamiiForums Tanzania Singida kufungwa 4 na Yanga yalikuwa maelekezo ya Waziri wa Nchi?

    Pamoja na uimara wa Singida Big Star tukishuhudia ikifungwa 4 na Yaanga. Pamoja na ushindi wa Yanga wa kuungaunga wa 1 mpaka 2 lakini wakaweza kuifunga Singida BS 4. Kwa jinsi waziri huyu anavyotumia cheo chake kumtaka Fei Toto asiondoke Yanga. Na jinsi waziri huyu alivyotoa maelekezo Fei Toto...
  9. JamiiForums Tanzania Hela ya Urusi yadondoka kiasi ambacho hakijawahi kushuhudiwa, Putin aliingiza nchi kwenye hiki

    Vikwazo vimeanza kukaza balaa, Warusi watazidi kupokea haya mapigo kisa kumuachia mtu mmoja aiharibu mother Russia..... The value of the ruble tumbled sharply against the U.S. dollar Wednesday on signs that the latest wave of sanctions by Western countries are beginning to impact Russia’s...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Orodha ya nchi barani Afrika zenye Huduma ya Elimu bora kwa mwaka 2022. Tanzania ni ya ngapi?

    1. Seychelles 🇸🇨 (51st) 2. Algeria 🇩🇿 (73rd) 3. Mauritius 🇲🇺 (78th) 4. Egypt 🇪🇬 (84th) 5. Kenya 🇰🇪 (90th) 6. Tunisia 🇹🇳 (104th) 7. Eswatini 🇸🇿 (105th) 8. Ghana 🇬🇭 (106th) 9. Morocco 🇲🇦 (113th) 10. South Africa 🇿🇦 (114th) 11. Cape Verde 🇨🇻 (118th) 12. Sao Tome and Principe 🇸🇹 (119th)...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ditopile: Nchi yetu inaaminiwa ndiyo maana inakopesheka

    MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amewataka wanasiasa nchini kuacha kubeza na kupotosha jitihada zinazofanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan za kukopa huku wakijua fika kwamba ili Nchi ikopesheke ni lazima iwe imekidhi vigezo vya kiuchumi vya kupatiwa mikopo hiyo. Ditopile...
  12. JamiiForums Tanzania Finland waanza mbinu za kuepuka gesi ya Urusi, jameni Putin anazidi kuzika nchi yake kiuchumi na kijeshi

    Hamna kizuri uja kwenye kupoteza biashara, hata ujipige kifua mara ngapi, ukipoteza mteja hata mmoja ni hasara sana. Bara Uropa lote linakimbia gesi ya Mrusi. Like many countries in Europe, Finland is looking to liquified natural gas (LNG), to replace the mainly pipeline-transported gas it used...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zapaswa kuacha mara moja uchochezi wa “kutengana na China”

    Shirikisho la Kuhimiza Biashara la China hivi karibuni limehoji zaidi ya makampuni 160 ya kigeni nchini China, na matokeo ya hojaji hiyo yameonyesha kuwa, asilimia 98.7 ya makampuni yana nia ya kudumisha na kupanua uwekezaji nchini China, na asilimia 10.2 yanapanga kuhamishia viwanda vyao nchini...
  14. JamiiForums Tanzania Putin apiga marufuku ya uuzaji wa mafuta ya Urusi kwa Nchi za Magharibi

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesaini amri ambayo inaweka marufuku ya uuzaji wa mafuta na bidhaa za mafuta kwa mataifa yaliyoweka kikomo cha bei ya mafuta ya Urusi, kuanzia Februari 1, 2023 kwa kipindi cha miezi mitano. Kundi la G7 la Nchi tajiri Duniani, Umoja wa Ulaya na Australia...
  15. JamiiForums Tanzania Ripoti: Hali ya Utekelezaji wa Adhabu ya Kifo Barani Afrika

    Nchi 13 za Afrika (24%) Bado zinatekeleza Hukumu ya Kifo katika Sheria zake na Utendaji wake wakati Nchi 25 sawa na (46%) zimemeifuta kabisa. Nchi 15 za Afrika (28%) ikiwemo Tanzania zinaruhusu Adhabu ya Kifo kwa uhalifu wa kawaida, lakini hazijaitumia kwa zaidi ya miaka 10 na baadhi zimeanza...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa muonekano M23 ni jeshi la nchi fulani

    Rwanda ya kagame inacheza game moja chafu sana eneo la maziwa makuu. Kwanza walipovamia congo walipandikiza majasusi kibao congo. Jeshi la DRC Fardc si chochote ni mkusanyiko wa wahuni tu. Nimeambiwa na marafiki majenerali wanajichubua ngozi na wanajaa kwenye mabaa kustarehe tu. Hawana weledi...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli juu ya kauli kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziendelei kutokana na kuridhishwa na mfumo mbovu wa elimu?

    Kabla ya ujio wa Wazungu barani Afrika,Waafrika walikua na mfumo wao wa elimu kwa vitendo kulingana na mazingira. Elimu kama ya Uvuvi,madawa,kilimo,ufugaji,maadili zilikua zikitolewa na uchumi ulikua ukikua kwa kasi. Ujio wa Wazungu barani Afrika ukasababisha ukoloni na baada ya miaka ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Somo la Civics linalofundisha wanafunzi katiba ya nchi linafutwa

    Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics. Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa linafutwa. Jadili.
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila kupitia Ukurasa wake wa Instagram amewafunda wanaolalamika Kuhusu ukuaji wa deni la Taifa. Kafulila amesisitiza kama Taifa lazima tukope zaidi ili tujenge uchumi wetu zaidi, Mhe Kafulila anasema hata Japan ambayo ni nchi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…