nchi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

    Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma. Poleni sana Wadanganyika.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Andika chochote kinachohusiana na nchi yetu, kivyetuvyetu

    Mi naanza na IDD yetu, kivyetuvyetu
  3. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Mahakama zetu kushughulikia kesi za ushoga na kuwaacha mafisadi ya matrilioni mtaani hiyo ni failure ya nchi kwa 100%

    Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili. Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Je, tatizo la nchi zetu za watu weusi ni kuwa na uwezo Mdogo wa fikra?

    Naomba mawazo ya Great thinkers yatumike hapa. Yaani unakuta mtu Katika familia hana uwezo wa kuwafanya watoto au kuwaandalia maisha kipindi akiwa Mdogo hadi kuwa mtu mzima yaani unazaliwa bila kuoneshwa njia yakupita na wapi utokee ili ufike salama. Mfano Mimi binafsi kipaji changu cha asili...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tunaishi kwenye nchi yenye watu 60M+ ambayo wenye uhakika wa ajira ni Rais wa JMT na Zanzibar tu

    Mfumo wetu wa ajira nchini hasa ajira rasmi upo mikononi mwa wanasiasa. Leo wanasiasa wanaweza wakaamua Nani aajiriwe kwenye sekta binafsi au sekta ya umma. Wanasiasa pia wanaweza kuamua Nani afanye business Nani asifanye business. Kwa msingi huu wapo watu wawili Tu wenye uhakika wa ajira...
  6. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia, Oman na nchi nyingine Eid kesho Mwezi wa Shawwal ulishaonekana

    Kada Abubakar Zuberi na tawi lake la CCM (BAKWATA) kama kawaida watatufungisha siku ya Eid.
  7. JamiiForums Tanzania Zungu achaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge kwa 98.33% ya Kura

    Mgombea pekee wa nafasi ya Unaibu Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Azzan Zungu (Mbunge wa Ilala) amepata 98.33% ya Kura zilizopigwa Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson amesema kati ya Wabunge 301 waliopiga Kura, 296 wamepiga Kura za Ndiyo, 3 wamepiga Kura ya Hapana na Kura mbili zimeharibika...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mapigano ya Sudan yaonyesha tena kuwa nchi za Afrika hazitakiwi kuwa wahanga wa umwamba wa Magharibi

    Mapigano nchini Sudan yamedumu kwa siku kadhaa, na kusababisha maelfu ya watu kupoteza maisha na kujeruhiwa. Licha ya wito wa kusimamisha vita wa Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika na mashirika mengine ya kimataifa na ya kikanda, hadi sasa, pande zinazopigana za jeshi na kikosi cha usaidizi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi jirani na Ukraine zatangaza marufuku ya uagizaji wa bidhaa za kilimo kutoka Ukraine

    Poland na Hungary, ambazo ni nchi jirani na Ukraine, Jumamosi wiki iliyopita zilitangaza marufuku ya uagizaji kutoka Ukraine wa bidhaa za kilimo hadi Juni 30. Serikali za nchi hizo zinasema hatua hiyo inalenga kulinda wakulima wa ndani. Slovakia imefanya hivyo pia jana Jumatatu. Bidhaa za...
  10. JamiiForums Tanzania Nigeria inakuwa nchi ya Pili duniani kuridhia majaribio ya Chanjo ya Malaria baada ya Ghana

    #Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika #Ghana. Mkuu wa Idara ya Kitaifa ya Chakula na Dawa wa Nigeria, #MojisolaAdeyeye, amesema Chanjo hiyo...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania haimo kwenye nchi kumi zenye miundombinu bora Afrika!

    Miaka 60 baada ya uhuru, bado hatuna miundombinu iliyo bora kuifanya nchi angalau kutajwa tu kati ya nchi kadhaa zinazofanya vizuri kwenye barabara. Pamoja na kuwa na taasisi kama Tanroad na sasa Tarura bado hatujengi barabara zinazoweza kutolewa mifano. Kwenye maliasili ghafi kama dhahabu...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa ina uchumi mkubwa kuliko baadhi ya nchi za Ulaya

    TAKWIMU mpya za IMF zinaonesha kuwa Pato la Taifa la Tanzania limeongezeka hadi kufikia Dola za Marekani Bilioni 85.42 (Tsh trilioni 200) kwa mwaka huu wa 2023 ikiwa ni ishara kuwa sera za uchumi za Rais Samia Suluhu zinaleta mageuzi makubwa nchini Kwa ukuaji huu ni dhahiri kuwa uchumi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kabudi: Tanzania imeweka historia, ndio nchi ya kwanza Afrika kusaini mkataba wa hisa isiyofifishwa

    Leo hii Jumatatu April 17 2023 Serikali imesaini mikataba na kampuni tatu za madini za Australi zinazohusisha uendeshaji wa uchimbaji wa Madini ya Kinywe (GRAPHITE) na madini adimu (RARE EARTH ELEMENTS) katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Dodoma na kushuhudiwa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  14. JamiiForums Tanzania Kati ya nchi 195 duniani ni nchi 31 tu ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja

    Pamoja na watu kutaka kuonesha kwa sasa kwamba ajenda kubwa ya kisiasa Tanzania ni Ushoga, lakini takwimu zinaonesha kwamba ni nchi 31 tu ulimwenguni pote ambazo ndizo zimehalalisha ndoa za jinsia moja na ni nchi moja tu ya Afrika, ambayo ni Afrika ya kusini, ndiyo Imehalalisha ndoa za jinsia...
  15. JamiiForums Tanzania Kama Marekani ni nchi ya Kishetani ni kwanini mamilioni ya watu duniani hutamani kuishi Marekani?

    Huwa nikiona maelfu ya watu kila siku toka nchi za Amerika ya Kusini na kwingineko duniani wanavyolazimisha kuingia Marekani, huwa najiuliza, inakuwaje nchi inayosemwa kwamba ni mhimili wa Ushetani duniani inagombaniwa na watu kwenda kuishi. Huoni harakati za watu kwenda kwenye zile nchi zenye...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia elewa wapiga kura wa nchi hii wanahitaji nini kwa sasa

    Nimesoma kitabu cha "Will Propaganda Work in Modern World?" Mwandishi pamoja na mambo yote anasema, "moja ya sifa chanya na bora kwa kiongozi makini ni kujua watu wake wanahitaji nini kwa wakati gani na kwa sababu gani naye huenda na matakwa yao ili kukidhi na kukata kiu yao. Anasema kiongozi...
  17. JamiiForums Tanzania Challenge gani umfanya mkuu wa nchi kujitokeza public ili kuomba kuombewa?

    Habari wakuu,hamjambo? Kumekuwepo na trend ya wakuu wa nchi au wafuasi wao kujitokeza adharani au ktk mitandao yao ya kijamii kuomba kuombewa. Msingi wa swali langu Ni huu, ili kiongozi kufikia hali ya kuomba kuunganishwa na muumba wake kwaajili ya ufanisi wa kazi anakua amepitia changamoto...
  18. JamiiForums Tanzania Millennial na GenZ na Siasa za Nchi yetu

    Ikiwa tutaamua kufanya utafiti leo katika mitandao ya kijamii kama Facebook, Instagram, TikTok na mingine, utagundua kwamba Siasa za Nchi miongoni mwa vijana zimezimia kama siyo kufa. Content inayopandishwa mtandaoni kuhusu siasa miongoni mwa vijana hasa kwa vizazi viwili vinavyokaribiana yaani...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Nchi imeoza. Kila kitu kinaenda mrama

    Tunashuhudia jinsi ambavyo mambo yanaenda ovyo kila mahali ukilinganisha na utawala wa marehemu JPM. Hali ni mbaya sana. Huyu Rais kwa kweli hatufai Watanzania. Hili ni jambo la wazi kabisa. Huduma za jamii zimedorora lkn kila kukicha tunaambiwa Serikali inakopa lakini matokeo hatuyaoni...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akamatwa akishiriki mashindano ya CHESS kama mwanamke

    Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia!! Male chess player caught competing as woman The Kenyan man wore a hijab and signed up for the female...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…