nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la kuuzwa bandari za Tanganyika limeipasua nchi kwa udini. Waislamu walalamikia Chadema kwa udini

  2. K

    JamiiForums Tanzania Kusaidia nchi Je Tanzania tuanzishe mfumo wa seneti?

    Je kwa hili bunge ambalo halisaidii serikali swali ni Je imefika wakati wa kuwa na bunge la seneti? Bunge hili mfumo unaweza kubadilika lakini mifumo ya wenzetu ni sawa na seneta wawili kwa kila mkoa. Hili seneti litakuwa kama thinktank na viongozi ambao hawana ushabiki badala yake ni wataalamu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Wenye nchi waliosemwa na Msigwa hapa ndio akina nani?

    Msigwa alisema maneno hayo Julai 24 katika mkutano na waandishi wa habari ambapo yeye pamoja na Kamishna wa TANAPA walikuwa wakitoa ufafanuzi kuhusu Hifadhi za Taifa.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa nchi ni maliasili zilizopo?

    Afrika, wa afrika wengi tunaafikiri Nchi kuwa na maendeleo chanya niuwingi wa mali asili zilizopo tunasahau miaka kadhaa iliyopita huenda wengine hatukuwa tumezaliwa ziko nchi zilikuwa masikini wa kutupwa mfano, libya, Rwanda, Umoja wa Falme za Kiarabu(dubai) nk. Ni miongoni mwa nchi zilizokuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania (TAOMAC) chakanusha uwepo wa sintofahamu kati yake na EWURA

    Tumebaini kuwepo kwa taarifa kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii ikidai kuwa waagizaji na wasambazaji wa mafuta wamekaa kwenye kikao na EWURA na kuishia kwenye mtafaruku na kutokukubaliana. Kwa niaba ya Wanachama wetu wa Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania (TAOMAC) ambao...
  6. JamiiForums Tanzania Authenticated leaders (viongozi wenye utashi hakika sahihi na wakweli) ndio msingi wa kwanza wa uongozi

    Msomi wa vitabu Hayati Benjamin Mkapa alikuja na kauli mbiu ya UKWELI NA UWAZI sikumielewa sana kipindi kile. Ilikuwa ni kauli mbiu ya kisomi sana kwa mtu wa kawaida kung'amua. Katika harakati zangu za Maisha longolongo ndio ilikuwa janja yangu. Katika kikao kimoja nilifanya na viongozi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ungezaliwa upya ungependa kuzaliwa nchi gani?

    Je kungekua na uwezekano wa kuzaliwa upya, ungependa kuzaliwa nchi gani? Toa sababu?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kariakoo pako hovyo hapaeleweki kama sio soko kuu la nchi na majirani

    Nimepita leo kariakoo inasikitisha kweli hata pa kupita hamna kila sehemu chinga wamepanga vitu vyao. Hivi hata kuwapanga chinga hatuwezi. Dar ni hub zaidi ya nchi 8 zinategemea pale hivi tumeshindwa kweli kutengeneza sehemu ya kuvutia iwe soko la kuwavutia wafanya biashara wa nchi zaidi ya...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna nchi ina majina mengi ya mitindo ya kujamiiana na kujamiiana kwenyewe kuzidi Bongo?!!!!

    Aisee ni hatari sana hii nchi! Tukamuulize mama Maria Nyerere kwani ilikuaje inawezekana akawa na majibu ya uhovyo wetu. Tukianza na majina ya mitindo; 1. Kifo cha mende 2. Chuma mboga 3. Mbuzi kagoma 4. Wezele kwio 5. Popo kanyea mbingu 6. Mtambuka 7. Tepetesha sambwanda 8. Kaokokokorobo 9. FM...
  10. JamiiForums Tanzania Economic Hit Men wako kazini, rushwa kwa wanasiasa zinaifunganisha nchi kuibiwa pakubwa!

    Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini. Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe. Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini...
  11. JamiiForums Tanzania WHO: Watoto 350,000 wanakutwa na Saratani kila mwaka katika Nchi Masikini, 30% hawapati Matibabu

    Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu. Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Joto kali duniani linathibitisha kuwa ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mambo ya tabia nchi ni sahihi

    Mwezi Julai mwaka huu unatajwa na wanasayansi kwa tabia nchi kuwa ni kipindi ambacho dunia imeshuhudia viwango vikubwa sana vya joto katika historia. Hali hii imefanya baadhi ya wanasayansi waliokuwa wanasita kukiri kwa uwepo wa mabadiliko ya tabia nchi duniani warudi nyuma, na wale waliokuwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kutatuliwa kwa tatizo la deni la Ghana ni aibu kwa nchi zilizokuwa zikiishutumu China

    Katika miezi ya hivi karibuni vyombo vya habari vya Ghana na vyombo vya habari vya kimataifa vimekua vikiripoti habari nyingi kuhusu msukosuko wa deni la Ghana, msukosuko ambao umeifanya Ghana kuingia kwenye hali ngumu, ambayo suluhu pekee ni kujadiliana na wakopeshaji wa kimataifa, ili...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi ya kusadikika ambayo kila mwalimu wa kitanzania anaitamani

    "Baba Wande amka unachelewa kazini" ilisikika sauti ya Mke wa mwalimu Matinyi ambaye ni mwalimu wa somo la hisabati katika shule ya sekondari MAPWE. Kwa haraka mwalimu Matinyi aliangalia saa yake na kugundua kuwa ni saa kumi na moja na dakika kumi alfajiri,alikumbuka kuwa yuko zamu kwa wiki...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika ufadhiliwe na Benki ya dunia?

    Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani. Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao? Are we...
  17. JamiiForums Tanzania Licha ya nchi kuwa na umasikini, wapo wenye afadhali lakini bado wanapigwa gepu na Waarabu/ Wahindi, tatizo nini?

    Pamoja na nchi kusumbuliwa na umasikini, zipo familia ambazo zinaishi fresh, tunaziita mambo safi. Licha ya hali hii lakini bado wageni na Watanzania wachache wenye asili ya nchi za nje wanakimbiza. Ukicheki listi ya matajiri, ambae aliwahi kujitahidi labda kwa mbali ni Marehemu Mengi angalu...
  18. JamiiForums Tanzania Sitafanya utetezi wa mkataba mbovu kwa nchi yangu kisa mimi ni Muislam

    TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA. Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote. Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini. Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
  19. JamiiForums Tanzania Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla, Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili. 1. Dar es Salaam ndio...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nchi ina mihimili 3, mihimili 2 inayoongozwa na akina Mama na inatakiwa tufanye tafakuri yenye tija

    Nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya Nchi yetu. Wote tunatambua kuwa wanawake ni watu makini sana na waoga linapokuja jambo lisilo la maslahi kwa Nchi. Hivi Karibuni mkataba wa Tz Bara na Dubai ulishughulikiwa na mihimili 2 inayoongozwa na wamama ikiwa ni Serikali (Mama SSH) na Bunge ( Tulia)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…