nchi

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka kuiteka nyara nchi

    Amepewa fursa ya kuongoza nchi kwa miaka michache tu anataka atupangie mipango ya 2050. Ndiyo Mhe. Msekwa alikuwa anasema wakati ule,"Kwamba nimesikia watu wanataka kubadili Katiba Magufuli atawale milele. Maneno gani haya?" Masheikh juzi wameshinda kesi mahkamani,wamekamatwa tena,sasa hii...
  2. JamiiForums Tanzania Timu huwa zinafanyaje kucope na tofauti ya masaa kati ya nchi na nchi?

    Mfano mechi ya leo kati ya 5imba na Wydad. Tofauti ya masaa kati ya Tz na Morocco ni masaa matano. Muda ambao mechi inaanza itakuwa saa nne za usiku huku Tanzania. Muda huo wachezaji wengi professional huwa tayari wamelala. Maana yake kikawaida wachezaji wa Simba wangekuwa Tz muda huo wangekuwa...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Tupia picha zinazoonesha uzuri wa nchi yetu ya 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿

    Mi naanza na My Motherland 🇹🇿 🇹🇿
  4. JamiiForums Tanzania Makamu wa Raisi Dkt. Mpango yupo kikazi nchi gani?

    Great Thinkers. Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali. Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze.. Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Hongereni Walimu wa nchi hii

    Boy oh boy, nimefurahishwa na kushangazwa (amazed) if not confused na Chama Cha Waalimu nchini CWT. Sikuwahi kukifuatilia sana chama hiki kwa kuwa mimi si mwalimu ila kutoka na kazi yangu nimekuwa nikielewa migogoro isiyoisha ya uongozi wa chama and what not. Nimekuwa nikikichukulia chama hiki...
  6. JamiiForums Tanzania Majanga makubwa yakitokea nchi zenye vyombo vya habari makini kipaumbele huwa ni Tukio, ila kwetu kipaumbele ni Kuipamba Mamlaka!

    Binafsi nilitegemea baada ya Tukio la Hanang Mkoani Manyara Media ya Tanzania ingekuwa inatupa Elimu zaidi ya nini kimesababisha na hata kutoa tahadhari zaidi kwa eneo husika au maeneo mengine yenye Jiografia kama ya Hanang ili kujiepusha na Majanga makubwa mengine. Ila cha kushangaza na...
  7. JamiiForums Tanzania 'Brand' za magari na nchi zinazozalisha

    Kwa wale mnaopenda kumiliki magari yanayozalishwa kutoka nchi fulani; kupitia huu uzi, utawasaidia kuchagua haina za magari husika:- Ufaransa Simca FV Bugatti Renault Peugeot Citroen Alpine Citroen Ds Dacia Ligier Venturi Aixam Delage Microcar PGO China Higer Byd JMC Foton Cherry Geely Jae...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  9. JamiiForums Tanzania UDOM kuanzisha kampasi Njombe. Kimaadili hii siyo sawa kabisa ktk nchi hii

    Haya mambo sasa tuseme yanafanyika kiushabiki na pia kiukabila. Nimeona mitandaoni eti UDOM wanaanzisha kampasi mpya mkoa wa Njombe. Hii ni uharibifu wa pesa ya umma unaoongozwa na ukabila. Ni uharibifu kwa sababu Kampasi kuu ya UDOM pale Dodoma mjini haijafikia kiwango chake cha udahili kama...
  10. JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Bunge letu linafikiri kichama. Upeo wa kuchambua masuala ya nchi yetu umeshuka

    Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Kitima akiwa kwenye mahojiano na The Chanzo amesema kuwa ule uwezo wa kuchambua masuala ya kitaifa umeshuka. ' Ule uchambuzi, kuchambua masuala, kupembua wa watu wa kawaida umeshuka. Wewe angalia sasa hivi watu wana miaka saba hatujawaongelea juu ya haki zao za...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli nchi yetu inakosa vifaa vya kutabiri matetemeko ya ardhi na volkano kutoka milimani?

    Aisee, ni uzembe wa hali ya juu sana. Mamlaka ya hali ya hewa ndiyo taasisi pekee iliyotakiwa kuongezwa nguvu na kuwezeshwa kipesa kwa kuwa ndiyo ambayo hushikilia uhai wa watu na wanyama kwa ujumla. Inasikitisha sana. Mpaka inafikia hatua Mlima Hanang unaleta madhara makubwa kwa watu na...
  12. JamiiForums Tanzania Sponsor wa Mkutano wa COP28 lengo lake ni kutengeneza machawa wengi kwenye nchi mbalimbali

    Tufikirie nje ya box nipe nikupe ni kamchezo kazuri sana, huyo sponsor wa COP28 ana mambo yake nyeti kwenye nchi mbalimbali hivyo idadi kubwa ya uwakilishi kutoka kwenye baadhi ya Nchi ni kielelezo Cha umuhimu wa nchi hizo katika rasilimali pendwa. Unapoliwa pakubwa na ushiriki wako wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri Mkuu wa zamani wa Singapore

    Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore Lee Kuan Yew akitoa somo kuhusu Singapore yake kwa ukali. Hapa akiizungumzia SIA (Singapore Airlines na uongozi wake miaka ya 1980s). Singapore Airlines sasa ni shirika bora la ndege duniani kote.
  14. JamiiForums Tanzania Hivi kama nchi suala la vitambulisho vya taifa limetushinda?

    Katika kero ukiachana na tanesco basi hi hawa Nida, asilima kubwa wananchi hawana vitambulisho wala namba Na sijajua mkurugenzi wa nida ni nani na sijawahi sikia katumbuliwa au kutenguliwa hii ni changamoto sana mimi nimejaribu mara kadhaa tangu mwaka jana lakini sijafanikiwa na jana saa 11...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi nchi za kiislamu wazungumzia vita vya Gaza kwa hamasa lakini bora wangenyamaza

    Hamasa miongoni mwa nchi za kiislamu kuhusu vita vinavyoendelea Gaza zimepanda zaidi. Viongozi watatu ndio waliozungumza kwa hasira kwenye mkutano wa mazingira unaoendelea huko Dubai. Raisi Erdogan amesema vita vikimalizika Benjamin Netanyahu itabidi ashtakiwe kwenye mahakama ya uhalifu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu: Hatutakiwi kuruhusu ukuwadi wa Nchi yetu, Tunapaswa kuhoji mikataba ya Rasilimali zetu imeandikwa nini

    Akizungumza kwa Ukakamavu huko Segerea , Mkoani D'Salaam , Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Amedai kwamba. Ni vema Wananchi wakajiepusha na Ukuwadi wa Rasilimali za Nchi , Bali wanapaswa kuhoji ili Kujua kilichomo ndani ya mikataba ya Rasilimali zetu. Amedai kwamba...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna salam wala msaada kutoka nchi zinazotuzunguka kuhusu janga lililotokea huko Katesh Manyara?

    Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu. Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu? Lakini pia hakuna...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tuzo Ndg. Yeriko Nyerere itupe funzo kuthamini 'big brains' wa ndani ya nchi

    Salaam, Shalom!! Nchi yetu imeng'ara tena katika bara la Afrika baada ya kijana Mahiri, ndugu Yeriko Nyerere kutuletea Tuzo Bora kabisa ya uandishi Bora wa vitabu kwa Afrika nzima. Tuzo hiyo imetolewa na Taasisi iitwayo, ZIKOMO AFRICA AWARDS yenye maskani yake nchini Zambia iliyotokewa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa safari za nje ya nchi naombeni kueleweshwa hapa kuhusu Yellow fever card

    Wakuu mimi nilichoma YELLOW FEVER zamani..nakumbuka niliambiwa inakaa mwilini miaka 10. Kipindi nachoma ilikua zile passport za zamani. Nimechoma 2016 hivyo kimsingi haijaisha mwilini kinga yake itaisha 2026. Sasa nauliza kuna haja ya kuchoma tena au kutoa pesa nipewe kadi mpya ambayo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kipindi unafurahia kulipwa mshahara mkubwa wakuanzia mil 3-5, basi tambua kuna watu nchi hii wanalipwa mpaka mil 13-27 private sector

    Hakika kuna watu wanalipwa aisee, sisi tuendelee kupambana. Nimeona salary slip ya Jamaa yangu nimejiona mie bado kabisa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…