Ulipojielewa, uligundua kuwa jina ulilopewa na wazazi wako ni KITUNGUU, na jina la baba yako ni KIMEIVA MAGANGA. Kwa hiyo, majina yako kamili ni KITUNGUU KIMEIVA MAGANGA.
Ikiwa huyapendi hayo majina, hasa KITUNGUU KIMEIVA, inaweza ikawa ni sababu halali inayotambulika kisheria ya kuamua...