nauza

  1. MsLisa

    Nauza Smart TV Alitop inch 40

    Nauza TV Alitop smart nchi 40, imetumika miezi michache. bei laki mbili na sitini. Napatikana Bunju
  2. Dr Matola PhD

    Nauza Tv TCL 50" kioo kimekufa

    Mimi sitengenezi electronic yoyote ikiharibika, hivyo nina tv TCL 50" baada kufanya uchunguzi imebainika inahitaji kioo kingine. Kwa mafundi au mtu yeyote namkaribisha tumalize hili.
  3. C

    Nauza Wi-fi bado mpya kabisaaa

    BEI YA HARAKA: Inauzwa Airtel Internet Router (Mpya Kabisa) • Hali: Mpya kabisa (Brand New), imefunguliwa boksi tu lakini haijatumika kutokana na matatizo ya dharura. • Mtandao: Airtel (Inafaa sana kwa internet ya nyumbani au ofisini au wale wanaotaka kuuza internet mtaani). • Bei ya Dukan...
  4. Tech Max

    Nauza laptop fujistu i5 ram 8GB,hdd 500GB,ina windows 11 os, bei 300,000 nipo dar es salaam, nicheki 0756704145

    Nauza laptop fujistu i5 ram 8GB,hdd 500GB,ina windows 11 os, bei 300,000 nipo dar es salaam, nicheki 0756704145, free original keyboard na mouse
  5. P

    Nauza Jembe la trekta used disc tatu, Massey Ferguson. Bei 2.8 million Tshs

    Nauza Jembe la trekta la disc tatu limetumika. Used. Mahali : Wilaya ya Siha Moshi Kilimanjaro. Bei Million mbili na laki nane(2.8M). MAELEWANO YAPO! Mawasiliano: 0707138500. Picha za jembe naambatanisha hapa. Karibuni wakuu.
  6. Tech Max

    Nauza laptop fujistu i5 RAM 8GB,HDD 500GB ,windows 11 bei 300,000 dar es salaam, nicheki 0756704145

    Bei 300,000 Fujistu i5, RAM 8GB, HDD 500GB,ina windows 11 os, ina keyboard na mouse original ,chaji saa 1 nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi..nicheki 0756704145 sms,call,whatsappfujistu
  7. Tech Max

    Nauza laptop Fujistu i5 ram 8GB,windows 11, keyboard,mouse free original bei 300,000 nipo dar es salaam, mkoani natuma

    Nauza laptop Fujistu i5 ram 8GB,hdd 500GB, windows 11, keyboard,mouse free original bei 300,000 nipo dar es salaam, mkoani natuma. Nicheki 0756704145 whatsapp,call, sms
  8. G

    Nimehamishwa kikazi, nauza baadhi ya vitu vyangu

    Hisense smart tv nchi 32 Original Dream sound Bar Original King'amuzi cha Azam antenna Note: Vinapatikana Buza Mnarani. 0724330585
  9. J

    Nauza simu ya ofisini(IP Phone) mpya kabisa

    Hii simu nilimuagizia mtu ila anasema mteja wake ameahirisha ghafla, kwa kuwa ni ndugu yangu siwezi kumforce aichukue hivyo naiuza kwa bei ya hasara tu. Ni IP phone kwa anayezijua, mpya kabisa kwenye box lake. Nipe 100,000 tu. Sifa zake zipo hapo chini na picha nimeweka Display2.4-inch...
  10. JOHNGERVAS

    Nauguza muda Mrefu nauza friji nipate kodi

    Salama kaka. Ndugu yangu anauza friji lake ambalo ni jipya kabisa. Anaamua kuliuza kwa sababu kwa sasa anamhudumia baba yake ambaye anaumwa, hivyo gharama za matibabu zimekuwa kubwa na anahitaji fedha kwa ajili ya kodi Friji lipo Makabe, lita 177 lina warranty na liko katika hali nzuri sana...
  11. D

    Nauza kitanda 350k

    Habari za humu ndani nauza kitanda 350k
  12. T

    Plot4Sale Nauza kiwanja Manzese

    Kinaangalia barabara ya Morogoro road
  13. Tech Max

    Nauza vitabu softcopy baba tajiri,baba maskin,henoko,tajiri wa babeli

    WhatsApp 0756704145
  14. Tech Max

    Nauza vitabu softcopy henoko(biblia hakipo), baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli. Bei 10,000

    Nauza vitabu softcopy /nakala laini vimetafsiriwa kiswahili WhatsApp 0756704145
  15. dada_rose

    Nina mpunga aina ya sindano kutoka Songwe

    Nina mpunga aina ya sindano kutoka songwe Zipo gunia 200 Ujazo debe 7 Mpunga ni safi na tayari kwa biashara Karibuni ,kwa mawasiliano 0681823347
  16. G

    Boma linapatikana kwa mauzo – Kimanzichana, Mkuranga

    Wana-JF, boma linauzwa moja kwa moja kutoka kwa mmiliki. Limefikia kozi 11 na lina potential nzuri kwa mwekezaji anayehitaji kuendeleza ujenzi kulingana na matumizi yake. 🏠 Vyumba 5 – 4 Master 🛋️ Sitting Room | 🍽️ Dining | 🍳 Kitchen | 📦 Store 📐 Kiwanja: mita za mraba 19m × 17m na 18m × 14m 💧...
  17. Tech Max

    Nauza vitabu (baba tajiri, baba maskini, mtu tajiri zaidi babeli)softcopy pdf

    Nauza vitabu WhatsApp 0756704145
  18. Tech Max

    Nauza kitabu cha baba tajiri,baba maskini (swahili) bei 10,000 TZS softcopy PDF

    Nauza kitabu cha baba tajiri,baba maskini (swahili) bei 10,000 TZS softcopy PDF..na vitabu vifwatavyo WhatsApp: 0756704145
  19. Medecin

    Nauza mashudu ya Alizeti kiasi chochote unachohitaji, kilo sh 500

    Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza hapo juu. Nauza mashudu ya alizeti mazuri kutoka Morogoro, nina kiwanda cha kukamua mafuta sasa nina mashudu ya kutosha nimeona niyapunguze stock yangu imeshajaa. Kilo moja nauza sh 500. Hata ukihitaji tani 30 unapata. Natuma mkoa wowote ule Karibuni 0636642415
  20. stabilityman

    nauza tairi size 14 na rim zake

    linauzwa tairi size 14 kama ilivyo bei 80,000 nakupa na rim zake taili ni mpya nimebadili nimenunua sports rim 0718408733 ipo banana dsm
Back
Top Bottom