natamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Natamani kuona maisha ya Jaji Nduguru na Katuga kwa sasa hasa wanapokuwa mitaani na sehemu zingine kama maofisini, n.k

    Baada ya kukamilisha kazi waliyokuwa wamepewa, natamani sana kuona jinsi watu hawa wanavyoishi na kupokewa na jamii wakiwa maofisini, mitaani na sehemu nyinginez kama kwenye misiba, n.k
  2. Dr Adam Francis

    Natamani hili suala la Lissu lifike mwisho, Watanzania tuijenge nchi yetu

    Tulifunzwa, mafahali wawili wagombanapo, zinazoumia ni nyasi. Hiki ndicho kinachoendelea nchini kwetu sasa. Kwahali ilipofikia sasa, kutafuta nani anamakosa haitatusaidia. Maana lipo wazi hakuna upande, kati ya CCM na CHADEMA ambao upo tayari kukiri na kuwajibika. Hii mivutano na vita za...
  3. K

    Mliofanikiwa kilimo cha ngano mtupe ABC natamani kulima

    Salam wanajamii Forums! Nipo Nyanda za juu kusini natamani kuanzisha kilimo cha ngano kwenye msimu wa mvua ujao hata hivyo bado natafuta kupata uzoefu kwa wakulima mliobobea kwenye zao hili. Je nini hasa changamoto zake na namna ya kukabiliana nazo? Je kilimo chake kinafanyikaje? Changamoto...
  4. min -me

    Aisee kuna siku natamani nilewe na wadau😅

    Yani tule pombe nitoe pesa watu wale maji , niongee ujinga tu😅😅😅 Hakuna wadau nawakubali kama wa JF 🤣 Kuna wanangu kibao na wasio wasio, wote waulize maswali kuhusu mimi , nitajibu kila swali hapa 🤔
  5. mcTobby

    Natamani kujua historia ya hii kwaya ya Amkeni fukeni

    Maana ngoma za hii kwaya huwa zinanikumbusha Enzi hizo nikiwa mwema kabla Dunia haijaniambukiza madhambi🤣🤣. In serious note nataka kujua historia ya hii kwaya wadau nitashukuru sana
  6. M

    Natamani huu ujasiri wa huyu mwamba ningekua nao mimi

    Juzi wakati nimesimama mbele ya ofsi za kata maeneo flani Kuna askari polisi wa kike akawa anakuja anaongea na simu basi nayeye katika kuongea kwake na simu inaonekana yalikua maongezi marefu akawa amesimama hayo hayo maeneo. Mwana mmoja kavaa zake simple tu kaputula jinz ya mtumba,t-shirt ya...
  7. Poppy Hatonn

    Natamani ningekuwa na uwezo wa kumuombea dua mtu anipe hela ya chai

    Halafu na mimi ningeweza kuishi vizuri . Alikuwepo yule Kiboko ya Wachawi ambaye ukitaka tu kufanya appointment naye ilikuwa lazima umpe sh laki chache.
  8. Uhovyoni

    Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Punyeto itanimaliza wakuu Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu
  9. Eli Cohen

    Natamani kuwepo na makongamano ya self awareness ya kusaidia vijana kujua sababu kuu ya ukapuku na fujo zetu ni sisi wenyewe watu weusi.

    Ishu sio kujilaumu kwa mtiririko huu Ila kujua kweli, ili tujiondoe katika utumwa wa victim mentallity wa kufundishwa kulaumu wazungu huku anaekufundisha kulaumu anatumia mwanya huo kukuminya wenye wewe mwafrika mwenzake. Truth prevails, truth heals, right? Tukijua ukweli kuwa kuna jamii...
  10. Burn the bridge _Tz

    Maisha yamenichapa natamani kwenda jera nikakae miezi mitatu akili ikae sawa.

    Natamani niende jera miezi mitatu nikatulize akili na kubadilisha mazingira huenda nikawa sawa Maisha ni magumu sio mchezo
  11. kalisheshe

    Mambo machache bora ya kuirudisha CCM katika misingi yake

    Hakuna haja ya kuunda tume wala kamati Hizi ni action zinazotakiwa kuchukuliwa 1. Zuia machawa katika chama 2. Rudisha mamlaka kwa wanachama wa chini ( wananchi), mambo ya watu wachache kukata majina na kuamua nani akagombee yasiwepo tena. 3. Zuia rushwa katika chama, hiyo ndio inaleta...
  12. Red black

    Natamani kila raia angepata lenacapavir injection maana ni muhimu sana a weapon against HIV-1

  13. Kisesetusese

    Natamani wananchi wote turudishe kadi za vyama vya siasa. Kusiwe na chama

    Wakuu Sina uwezo mkubwa kujenga hoja Bali hapa nitajaribu. Ni suala la vyama vya siasa, hapa nikiweke pembeni CCM na chadema. Kuna zaidi ya vyama 10 na nakumbuka vilishiriki uchaguzi wa 2025 oct. Vyama hivi zaidi ya Kumi ukitoa CCM na chadema ni vikundi vya wahuni. Ni afadhari hawa wawili...
  14. Kizibo

    Natamani sana kumiliki dhahabu

    Wakuu, salamu. Katika mali ambazo natamani sana kumiliki basi ni Dhahabu. Tayari nina viwanja, sasa nataka kumiliki Dhahabu. Naombeni mwongozo.
  15. mr pipa

    Natamani kuoa, lakini hela sina

    Uwezo wa kumlisha ugali masaa 24 upo Na kumvesha nguo za bukubuku upo Nitampata wapi wakuridhia hali yangu ya umaskini
  16. H r n

    Natamani hata ningekufa leo !

    Hivi ulishawahi kufikia hatua ya kumkufuru mungu akuchukue yaani ufe! Why ulifikia uamizi huo !
  17. Burn the bridge _Tz

    Mimi ni kijana natamani mtu anipe muongozo wa maisha kwa kifupi ili nifanikiwe..ntamshukuru sana.

    Iwe kazi Biashara Ajira Mahusiano na ndoa Yani naomba ushauri wowote ili niweze kufanikiwa Ahsante
  18. Traxtion

    Natamani Tanzania ingeanza program ya kubomoa slums na kuanza kujenga maeneo kama haya

    Zikianza project kama hizi specifically maeneo ya uswazi pekee ndani ya miaka 10 slums zote zitakuwa zimeisha maana Tanzania slums zinahesabika sana. Halafu zile informal settlements ambazo nyumba zina shape nzuri tatizo zimechoka, zimechakaa, mabati ya kutu na miundombinu mibovu. Serikali...
  19. Mshana Jr

    Natamani kusingepambazuka

    Taa ndogo ya chumbani ilikuwa ikitoa mwanga hafifu wa rangi ya machungwa, ikimulika nyuso zetu tukiwa tumetazamana kwa ukaribu ambao ulifanya hata pumzi zetu zigongane. Nje, upepo mwanana wa usiku ulikuwa ukicheza na mapazia, lakini ndani ya kuta hizi nne, ulimwengu mwingine ulikuwa umesimama...
  20. A

    KERO Uchumi wa "Mr" umeyumba, nalea familia mwenyewe, maisha ni magumu sana, natamani kujiua

    Nina matatizo makubwa sana, umri wangu ni miaka 30, nimeolewa lakini sijabahatika kupata mtoto, kwani nikiwa Kidato cha 4 nilifanyiwa oparesheni ya uvimbe, niliporeje home mama akaniambia huku akilia kuwa daktari kasema siwezi kupata ujauzito kwa njia ya kawaida kwani ule mrija wa kupitisha...
Back
Top Bottom