nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kupigana vita Iran niwasaidie kijeshi.

    Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...! Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua mashine ya kufulia nguo, ni mambo yapi niyazingatie ?

    Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
  3. JamiiForums Tanzania Nina milion 5 nataka eneo goba wakuu

    Kama kichwa h'cha habari kinavyojieleza natafuta eneo goba Nina hicho kiasi Ili niweze kujenga Kwa mwenye eneo naomba tufanye biashara MODS: msihamishe huu Uzi tafadhali uacheni jukwaa hili hili
  4. JamiiForums Tanzania Nifanyeje nipo KATAA NDOA lakini nataka mtoto nianzie wapi?

    Za ijumaa wakuu, Mimi ni mwanaume mtu mzima wa 35 namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uwezo na hekima ya kuyakimbia mahusiano na mapenzi kwa ujumla toka nizaliwe Kwanza, Changamoto yangu kuu ni kwamba nimefika umri wa kuwa na mtoto lakini bado sina na hii inatokana na kwamba sina circle au...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wadau nataka kujiua

    Wadau naona huyo Mungu wenu ameshindwa kunikill. Sasa Mimi nataka nijiue mnaonaje?
  6. JamiiForums Tanzania Nataka kuanza kunywa pombe, naanzaje?

    Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana. Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye furaha na uhuru mwingi sana rohoni lakini kikubwa wanavyopendwa na kuzungukwa wengi. Kwa sasa nmeshatia...
  7. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda ujerumani, Canada au Australia katika hizo nchi moja wapo

    Habari wakuu ... Elimu yang diploma ya afya ..... Mpango ni kujiendeleza kielimu au kufanya kazi Uzi tayari
  8. JamiiForums Tanzania Nataka kufanya Top up ya Simu

    Salam wana Jf. Nina Simu yangu Samsung Galaxy Note9, Storage yake 128gb, Ram 6gb. Changamoto yake: Flickering kiswahili sijajua vzuri ila Kioo ni kama kinaonesha kufifia hivi. Kazi inafanya vizuri tu hai haina Kipengele kingine. Nataka nifanye Top up nichukue Google Pixel au Samsung series...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kununua samsung A42 5G mwenye uzoefu kidogo wakuu Je iko poa au vip

    Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au nifanye chaguzi zingine budget yangu ni 300k
  10. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke...sitaki nataka.....ni mtihani.....

    Hata vitoto vya Alfu mbili havi 'behave'..namna hiyo.... we bi.mkubwa ni vipi? wewe ni mtu mzima mwenzangu na wote kwa sasa tuna wajukuu..... Tunayapanga fresh mambo ya ki utu uzima then unauza gazeti zima kwa shoga yako,,,,,daah! nishai sana...... mimi sina hili wala lile...shoga yako...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka kuoa nahisi nimeruka mkojo na kukanyaga ding'o.

    Baada ya kudumu na mwanamke miaka 10 tokea shuleni, licha ya migogoro mingi kuwepo kati yangu na yeye, nilishawapa story ndani humu, nirejee kwa ufupi, ni kwamba nilimpatia mimba (kwa mujibu wake) tunaishi mikoa tofauti na after hapo nikawa nahudumia mpaka kujifungua, baada ya kujifungua akawa...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wajuzi wa Sheria

    Salaam tutasalimiana siku nyingine Leo tuingie kwa topic chap chap, hakuna kupoteza muda harufu ya damu imenipanda. Nianze kwa yaliyonitokea miaka 6 iliyopata. Mwaka 2019 nikiwa mkoa Y nilipata tukio lililonoachia kovu kubwa sana. Nilikua na biashara mbili Moja ya pharmacy na dukani kuuza vifaa...
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kila siku niwe nalaza laki mbili -200k

    Wakuu nimeona hii ishu inawezekana nikikaza…. Nataka kila siku niwe nalaza laki 2 nifanye ishu ipi? Au niwe natabia zipi zinazoendana na kiwango hicho cha return
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nataka kiwanja cha hati lakini gharama za kufanya transfer naskia ni kubwa naomba ushauri

    Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
  15. JamiiForums Tanzania Nataka Profesa Janabi ashindwe kiti cha Ukurugenzi wa WHO

    Huyu Prof. Janabi nataka ashindwe hicho kiti cha Ukurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika. Nataka ashindwe maana anawakilisha nchi isiyoheshimu utawala kwa kufuata haki zilizo kwenye katiba. Pamoja na katiba yetu hii mbovu lakini bado utawala wa CCM umeshindwa kuifuata na kuzidi kudidimiza haki. Hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Nataka nilipize kisasi kwa dada ambae sasa ni mke wa mtu

    Huyu dada tumesoma nae shule ya msingi. Nikiwa msingi, waliniita mtoto wa mama, kwakua nilikua naogopa wanawake. Siku moja alimwambia rafiki yangu kua, ajifanye tunaenda chooni kisha tukifika, yeye atanivuta kwenye choo cha wanawake, rafiki yangu kwakua alishakua mzoefu wa wanawake, yeye alikua...
  17. JamiiForums Tanzania Nataka kuwapiga Tariff Mangi (Dukani) na Dada Poa; Nimegundua Nanunua sana kwao kuliko wao Kwangu

    Ni kama utani ila ukiangalia ndicho kinachotokea sasa; dunia imeanza ku-equate International Trade kama ni Zero Sum Game yaani Pesa nilizotumia kununua bidhaa zako dhidi ya pesa ulizotumia kununua bidhaa zangu na sio faida gani nimepata kwenye uhusiano wetu... Ni kweli dada poa hajawahi kunipa...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kujua Viwanda vya nyama ya mbuzi vinavyopatikana kanda ya ziwa

    Wenye uelewa na hili swala Nina mbuzi wangu 80
  19. JamiiForums Tanzania Tekken Adventure 250, nataka kukichukua hiki chuma, zipi Weakness na Strengths zake

    Nimeweka picha
  20. JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni mbili nataka kuanzisha kampuni ya production

    Fremu ninayo tayari. Ninacho hitaji ni Video Camera, Still pictures Camera na video camera. Kwa kiasi hicho cha pesa naweza kupata hivyo vifaa? Wajuvi nipeni muongozo na ushauri
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…