natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Elimu yangu ni kidato cha sita, natafuta ajira

    Habari za majukumu ndugu zangu, kwa mwenye connection ya ajira au kibarua naomba msaada, nipo MBEYA elimu kidato Cha sita naitaji nipambane ata kibarua kidgo ili nipate sehemu ya kujikeep bize nkisubr Mambo ya vyuo. Kwa mwenye msaada wowote namba yangu ni 0782284770
  2. B

    Msaada natafuta mashine ya kutengenezea pipi

    Kwa anae uza mashine ya kutengenezea pipi au anae jua wapi nitapata mashine ya kutengenezea pipi. Funguka please. With much thanks in advance
  3. Natafuta ajira wizara ya fedha

    Habari wadau..! Leo nimeona nisikae kinyonge niombe kazi hapa JF,maana nimesikia watu wanalipana 100milion kwa siku nchi hii. Sasa na mm naomba mwenye koneksheni ya wizara ya fedha tupeane natafuta kazi hata ya kufagia, tukale wote keki,Cv yangu ipo poa tu nina PhD ya wanyamapoli😂😂😂
  4. Natafuta mtu anayeweza kuwekeza kwa mtaji wa milioni 50 na kupata faida ya hadi milioni 70

    Ndugu wadau habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nipo Geita najishughulisha na biashara ya madini ya dhahabu offisi ni ya watu so Mimi ni msimamizi na wakati mwingine natoa ushauri pale inapobidi, ili kazi iwe yenye tija zaidi. Kwa upande wangu huwa tu nalipwa...
  5. N

    Natafuta kazi yoyote ndani ya Dar es Salaam

    Habari naitwa John Niko Dar natafuta kazi yoyote. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu Kenya, ila kwasasa Niko likizo. Natafuta kazi yoyote. Kazi ya halali. Mawasilano yangu: +254781847643( WhatsApp) +255755938804 +255714540040
  6. F

    Natafuta kazi yoyote halali kwa Arusha

    Mimi ni Civil technician kutokana na uhaba wa contract za ujenzi kwa sasa niko mtaani naombeni kwa yoyote anayeweza kunisaidia kazi yoyote halali. Note sichagui kazi hata kama unataka kazi ya kibarua sehemu niko tayari kufanya.
  7. D

    Natafuta Afisa Tarafa wa kubadilishana naye. Nije Morogoro aje Mwanza

    Wakuu hbarin za jion. Naomba afisa tarafa anayeweza kubadilishana kituo Cha kazi. Ajë mwanza me nishuke morogoro. Ahsanten
  8. M

    Natafuta Tajiri wa Gari ndogo

    Habarini humu ndani, Mimi ni dereva natafuta tajiri mwenye gari ndogo, nifanye nae kazi mkataba ama hesabu ya siku. Asanteni
  9. H

    Msaada: Natafuta kibarua au kazi yeyote ile halali

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana wa kiume Elimu: Bachelor of science in mathematics and statistics. Ninatafuta kazi au kibarua chochote kile halali, hata kuwa msaidizi kwenye shughuli yeyote ile halali. Hata kazi za kuanzia jioni mpaka usiku sana nafanya. Ninaweza kufanya masuala yahusiyo...
  10. Natafuta supplier wa kuku wa kisasa

    Natafuta mfugaji wa kuku wa kisasa ambaye tutafanya biashara. Nahitaji kuku kwa wingi! Mwenye nao tafadhali tuwasiliane. Location awe Dar es Salaam! Capacity: 500 pcs per week Uzito: 1+KG Bei elekezi: 5,500-5,800
  11. Y

    Natafuta kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa , Ipagala au Nzuguni

    Salaam wadau. Natafuta Kiwanja Dodoma maeneo ya Kisasa, Ipagala au Nzuguni. Kiwe kimepimwa na kiwe na hati kwa Matumizi ya makazi. aksanteni.
  12. B

    Natafuta Mke

    SIFA ZANGU Umri 36 Dini: Mkristo Elimu: Shahada ya Uzamili. Ajira: Mwajiliwa wa serikali. Urefu : 172cm SIFA ZA MWANAMKE Umri 30-36 Dini: Yoyote Kabila: Lolote. Elimu: Diploma na kuendelea. Kazi: Yoyote halali. NB: Mimi sina mtoto lakini yeye hata akiwa naye sawa tu.
  13. Natafuta gari, fixed budget ya 5.5m

    Habari za muda huu wakuu, anayeuza moja ya magari yafuatayo. Run x, Spacio, Rav 4, Ist haijalishi number ya gari as long as ni zima. Tukutane PM. Napendelea awe mmliki na sio dalali. Asanteni
  14. Nina Diploma in Film Production, natafuta kazi

    Inasikitisha sana wakuu
  15. E

    Natafuta kazi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Nimesomea Diploma ya Ualimu

    Wakuu habari za saizi! Mimi ni kijana wa kiume, mhitimu wa diploma ya ualimu lakini bado sijafanikiwa kupata kazi. Hivyo naomba kazi yoyote ya halali ya kuniwezesha kuendesha maisha yangu. Iwe niliyosomea au yoyote nitakayoweza kuifanya. Mimi naishi Dodoma. Kama kazi ikipatikana mikoa ya...
  16. Natafuta vijana wa kazi za shambani

    Vijana wa kazi za shambani wanahitajika, wawe waaminifu. Eneo la kazi ni Iringa, nikipata vijana watatu wanatosha. Kazi kubwa ni kuhudumia mashamba ya maharage, kuanzia hatua ya kupanda, umwagiliaji, kuweka mbolea pamoja na kupiga dawa. Kazi ni ya msimu wa miezi miwili. Malazi, chakula na Afya...
  17. House4Rent Natafuta chumba cha kupanga (double) maeneo ya Paloti, Arusha mjini

    Hello! Habari wandugu kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza. Bajeti yangu 60,000 to 70,000. Asante.
  18. Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na Serikali yetu

    Natafuta kazi yoyote iliyo halalishwa na serikali yetu Kwa majina naitwa JOHN E BENDERA Ni kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa. Ni mchezaji wa mpira pia, ligi daraja la pili Tanzania. Ndoto zangu kubwa niliziwekeza katika mpira, lakini naamini mnajua mpira wetu apa nchini, si lazima...
  19. C

    Natafuta mke

    Nipo kanda ya kati dodoma Umr 27 yrs ☆kazi: mganga njaa, dei waka kiraka a.k.a multipurpose ☆sina nyumba ☆ sina gari ☆elimu la saba Natafta msichana wa kuoa kuanzia miaka 18 up to 30 Ajue anakuja kupambana wote mpka tutoboe If you're interested, karibu inbox tuyajenge
  20. Natafuta mtaalamu wa kutengeneza App na website

    Habari wakuu? Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina wazo zuri sana, ambalo nimeshaliandalia PROPOSAL tayari. Wazo hili utekelezwaji wake unahitaji APP na WEBSITE vyote kwa pamoja. Ila kwa bahati mbaya mimi sio mtaalamu sana wa mambo ya CODING na PROGRAMMING LANGUAGES, hivo nilikua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…