natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NATAFUTA KAZI-NINA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 8.

    Habarini Wana jukwaa. Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi. Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics. Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye Mashirika na pia kwenye sekta binafsi. Nipo tahari kufanya kazi mahali popote. Kwa Maelezo zaidi pamoja na...
  2. Natafuta kazi

    Habarini za muda huu, nina umri wa miaka 26, jinsia me, napatikana mwanza, nipa hapa kutafuta kazi, mimi ni clinical assistant (CA) Nina kila kitu, leseni hai na vyeti vya taaluma, nina experience ya kazi kwa muda wa miezi 8 nikiwa dispensary, natanguliza shukurani
  3. 3

    Natafuta madini ya graphite

    Natafuta anayeuza madini ya graphite hapa TZ. Nataka anayeuza kwa kilo na sio kwa tani Ani pm namba yake. Mi nipo dar
  4. M

    Natafuta Mke

    Natafuta mke , Naitwa jose nina miaka 27 natafuta mke mweny miaka kuanzia 20-25
  5. 3

    Natafuta mchumba asiye na uwezo wa kupata watoto

    Habari ya kwenu. Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo hivi. Mwenye umri miaka 40 kwenda juu Jinsia mwanamke Mkristo Asiye na uwezo wa kuwa na watoto Mwenye tabia nzuri. Ukiwa na tabia mbaya hatutadumu kwenye mahusiano. Anayejaza vigezo hivyo Ani PM namba yake
  6. Natafuta suruali zenye Mtindo huu

    Habarini wakuu! Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara.
  7. Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

    Nina uhitaji wa mwanamke umri usiozidi miaka 30. Awe na uwezo wa kusimamia biashara, asiwe single Maza, nipo serious. Karibuni
  8. Natafuta coster 17 za kukodi kwa ajili ya shule mkataba mwaka mmoja

    Habari. Tunatafuta gari aina ya coaster ziwe gari 17 pamoja na hiace moja kwa ajili ya kuwachukua wanafunzi shuleni na kuwarudisha nyumbani. Hivyo basi tunahitaji kampuni moja yenye kuweza kumanage huu mkataba ambayo itakuwa na uwezo wa kuwa na gari zote hizo 17 na hiace 1. Mkataba ni mwaka...
  9. Jamani natafuta kazi ya UPISHI Nimechoka kukaa nyumbani

    Jamani hali ngumu, Mwenye uhitaji wa Mpishi wa kupika vyakula mbalimbali hebu tupeane connection. Nimesoma Hotel Management pale DDC Kariakoo na kufanya kazi sehemu mbalimbali. Nyumbani kunachosha sana. Mnataka tufe na njaa au? Niko Dodoma mjini. Hata kama wataka kupikiwa nyumbani kwako...
  10. F

    Natafuta gari 3 za kubeba kontena kwenda Zambia

    Habari Natafuta gari 3, trucks za kubeba 20ft container toka hapa dar es salaam mpaka Lusaka, Zambia. Kontena zipo ICD Nyerere Road. Payment : 50% advance payment after loading Mawasiliano 0692595127
  11. Nina shahada ya sheria, natafuta kazi.

    Habari wana JF Nimesugua benchi kwa muda sasa. Natafuta ajira. Elimu yangu ni shahada ya sheria. Kazi sio lazima iwe ya kisheria. Tafadhali mwenye kuguswa naomba tuwasiliane kwa email moderncentury5@gmail.com kwaajili ya CV yangu. Asanteni sana!
  12. Natafuta dereva Uber/Bolt

    Natafuta dereva mzoefu wa bolt/ uber Awe Dar es salaam Mzoefu na awe na account ya bolt/uber Nicheck inbox
  13. D

    Natafuta sehemu yenye free WiFi Dar es Salaam, nayoweza kufanya online meeting

    Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting. Naomba suggestions.
  14. Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

    Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam. Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu. Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati...
  15. Natafuta Mchumba

    Namtafuta mchumba 1 Hodi naleta maombi, ya uchumba Hapa niiweke kambi, na kulimba Nile za maziwa tambi, nina sumba Namtafuta mchumba, ajilani 2 Barua hii iwazi ,isomeni Na awe yangu saizi, mleteni Wajulisheni wazazi, dalihini Namtafuta mchumba, ajilani 3 Rangi sitazichagua, auswadi Na...
  16. M

    Natafuta mshirika wa kuanzisha biashara Mwanza pekee

    Husika na kichwa hapo juu Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 40 ni mfanyanya biashara hapa mwanza, nahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanziasha biashara ya pamoja. Mimi tayar nachumba cha duka natafuta mtu mwenye Nia ya pamoja, kutokana na chumba kilipo kinafaa sana kama Kuprint tishet mabango...
  17. Natafuta mwenza wa maisha

    Nimekuwa nikilitafakari jambo hili kwa muda sasa kuhusu ni nini maana ya kweli linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha. Sio kuhusu uzuri, umri, au mambo ya muda mfupi. Ni kuhusu kujenga kitu cha kudumu na chenye maana. Ninachotafuta ni mtu mwenye maadili thabiti, moyo wa upendo, ukomavu wa...
  18. Natafuta chumba single self,moshono arusha

    Habari zenu wadau,hasa wakazi was Arusha. Naomba msaada mwenye kujua,natafuta single self budget 80k isizidi 100k maeneo ya moshono,nikipata nyumba ikiwa mpya,ina geti itakuwa POA zaidi
  19. E

    Natafuta kazi ya kufundisha majumbani

    Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
  20. Natafuta crate za Soda Pepsi na Coke

    Natafuta crate tupu za Soda kampuni ya Pepsi na Koka
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…