Mimi ni kijana wakiume mwenye Degree ya sheria,
Naamini hapa Jamii forums
Kuna watu wengi na wenye michongo, hivyo Naomba nitumie nafasi hii kuomba yeyote mwenye nafasi ya kazi either inayofanana na Sheria au tofauti basi anisaidie
Nipo Dar es salaam
Simu: 0779724159
Wakuu habar naitwa Alex Peter nipo Dar es Salam, umri wangu miaka 29.
Natafuta kazi yoyote, nina fani ya udereva kipindi cha nyuma nilikuwa naendesha bolt na uber.
Naomba mwenye kazi yoyote anisaidie
Elimu yangu ni diploma ya public administration and management
Mawasiliano yangu ni...
Habari, natumaini mpo salama
Naishi Moshi Mjini,
Mimi ni kijana mchapa kazi na mahiri, hivyo kwa unyenyekevu mkubwa natafuta nafasi ya kazi ya Kibarua, popote Moshi mwenye anafaham naomba anisaidie.
Habari za muda huu wakuu
Kwa changamoto za ajira apa nchini inabidi mdaa mengine ku risk kitu upate unachokihitaji
Kila mtu ana ndoto ya kupata nafasi bora ya kazi… na mimi niko tayari kufanya kufanya kazi yoyote kwenye upande wa Quality | oil and Gas |weighbridge| field yoyote ya vipimo na...
Habari zenu wanajamii.
Penye wengi pana mengi, Naombeni mnisaidie mawazo au ushauri, nina degree (I graduated last year).
Nimepambana kwenye ajira ila naona wakati wangu bado japo sija give up sichoki kuapply.
Kwa hiyo nkaona its better kuendelea na Plan B, Sasa hapa kuna biashara nmeifanyia...
Habarini wana jf mm ni quality control katika kampuni fulani nina miezi 10 nina bsc chemistry. nina maiaka 24 nipo dar- es- salaam....natafuta nafasi ya qc au mkemia katika kampuni au taasisi yoyote lengo ni kupata new experience and exposure kwa wenye connection viwandani au popote msaada...
Habari za wakati huu wapendwa,
Mimi ni binti wa miaka 27 Ninapenda kuwataarifu kuwa natafuta nafasi ya ajira kama mwalimu wa watoto wa awali (daycare) hapa Bukoba Nimekuwa na uzoefu wa zaidi ya miaka miwili kufundisha kwenye shule ya English Medium, ambapo nilifanya kazi kwa upendo, uvumilivu...
Habari zenu wakuu,
Natafuta kazi ya usafi katika maeneo ya dar es salaam.
IKiwa unafahamu taasisi, kampuni au mtu binafsi anayehitaji mtu binafsi anayehitaji mtu wa kuhakikisha mazingira yanakuwa safi na ya kuvutia kila wakati, naomba unifikishie taarifa au unijulishe.
Nina uzoefu na uwezo wa...
Samahani wakuu Mimi ni registed medical doctor nipo mtwara natafuta hospital, polyclinic au dispensary au kijiwe chochote Cha afya...pia naweza kufundisha Clinical officer.
0620696357
Naitwa Rich JM nipo dar, Yakaribia mwaka sasa natafuta ajira humu JF bado sijapata, ni bachelor degree holder of Accounting with IT.
Nina experience na accounting na auditing kwani nimekua nikifanya kama intern kwa mwaka mmoja sasa kwenye kampuni za engineering na real estates kubwa tu hapa...
Mimi ni kijana niliesomea uhasibu kwa ngazi ya Diploma, na pia nimesomea ICT kwa ngazi ya certificate.
Nina changamoto ya usikivu hafifu.
Hali hii ya kutosikia vizuri imekuwa inaninyima fursa za ajira sana hadi ikafikia kipindi napata msongo wa mawazo.
Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia...
Habari
Mimi ni Tech wa mambo ya Maji na nina Experience ya maswala ya maji safi na maji taka kwa miaka 4, kama Kuna Kampny Ina hitaji mwenye sifa hyo nipo tiyari kushikiri kutimiza majukumu kwa maendeleo na faida ya Kampny
Habari za majukumu wanaJF naomba kwa yeyote atakayewiwa anisaidie nipate kazi yoyote halali njaa na majukumu vimenizingira
Elimu yangu ni Diploma in General Agriculture nipo Kahama 0717697787
Mimi ni kijana wa miaka 22 ,natokea wilayani kahama , natafuta kazi yoyote ile ya kufanya kwa anaye hitaji mfanyakazi au connection ya kazi mimi nipo tayari kufanya , namba zangu ni 0715308721
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.