The National Aeronautics and Space Administration (NASA; ) is an independent agency of the U.S. federal government responsible for the civilian space program, as well as aeronautics and space research.NASA was established in 1958, succeeding the National Advisory Committee for Aeronautics (NACA). The new agency was to have a distinctly civilian orientation, encouraging peaceful applications in space science. Since its establishment, most US space exploration efforts have been led by NASA, including the Apollo Moon landing missions, the Skylab space station, and later the Space Shuttle. NASA is supporting the International Space Station and is overseeing the development of the Orion spacecraft, the Space Launch System, and Commercial Crew vehicles. The agency is also responsible for the Launch Services Program, which provides oversight of launch operations and countdown management for uncrewed NASA launches.
NASA science is focused on better understanding Earth through the Earth Observing System; advancing heliophysics through the efforts of the Science Mission Directorate's Heliophysics Research Program; exploring bodies throughout the Solar System with advanced robotic spacecraft such as New Horizons; and researching astrophysics topics, such as the Big Bang, through the Great Observatories and associated programs.
Inawezekana umeshangaa lakini ndo ukweli kwamba NASA Taasisi kubwa ya Marekani inayohusika na Masuala ya Anga iliwahi kuwepo Zanzibar 👋.
Hii ni historia ambayo Watanzania wengi huenda hawaifahamu! 🇹🇿
Miaka ya 1960, NASA ya Marekani ilikuwa na kituo cha kufuatilia vyombo vya anga kilichopo...
John Glenn alikataa kuruka hadi mwanamke mmoja alipohakiki kwa mkono hesabu za kompyuta.
Jina lake lilikuwa Katherine Johnson. NASA ilikuwa tayari na mashine za kielektroniki kufikia mwaka 1962, lakini hakuna aliyekuwa akiziamini kikamilifu. Glenn alitoa maagizo ya moja kwa moja: “Mtafuteni...
Ukianza kuelewa teknolojia hata kidogo lazima ujiulize maswali kadhaa kuhusiana na habari zao NASA...
Mara ya kwanza 'wametua' mwezini miaka ya 1960... mawasiliano ya simu yalikuwa duni na hata picha zile za black n white watu walingoja filamu isafishwe mara nyingi ndani ya siku kadhaa... ILA...
Chombo cha anga cha Voyager 1 ni moja ya mafanikio makubwa zaidi ya binadamu katika historia ya sayansi. Hiki ndicho chombo kilicho mbali zaidi na Dunia kuliko chochote ambacho binadamu amewahi kutuma angani. Kilirushwa mwaka 1977 na NASA, kikiwa na lengo la kuchunguza sayari kubwa kama Jupiter...
A viral post has been circulating on social media, especially on Facebook, claiming that astronauts have successfully grown rice on the Moon. However, an investigation using keyword searches determined that the image was generated using artificial intelligence (AI) and is therefore not genuine...
Hivi karibuni, wanasayansi kutoka NASA wamedaiwa kwenda mwezini kutalii na kupiga picha kupitia misheni ya Artemis II, na hatimaye kurudi Duniani. Jambo hili, kama mwanasayansi, nalipongeza sana. Asiyefurahi kwa kidogo hata kikubwa hawezi kupewa; nimefurahi kupata picha kuanzia tukio linaanza...
Juzi tarehe 1 tumeona team ya Artemis II kutoka NASA imefanya tena ziara ya kuelekea mwezini ambayo itachukua siku 10 na leo tayari picha za awali zimeanza kusambazwa.
Hii siyo simulizi ya karne ya 20 tena, bali ni ushahidi wa karne ya 21 unaoonekana kwa macho. Lakini ni kama umekuja wakati...
Hawa jamaa tuwape maua yao kwenye R&D!
Mwaka 2018 NASA waliituma hii satelite kwenda kwenye space kufanya uchunguzi wa Solar corona (tuseme kama atmosphere kulizunguka jua, wataalamu wa Heliophysics hapa watasaidia)!
Kwahiyo hadi leo imekaa huko kwa zaidi ya miaka 7 ipo huko space, ikiwa...
Elon Musk amewatolea povu waziri wa uchukuzi wa Marekani Sean Duffy na serikali ya Trump kufuatia mpango kutaka kuiweka NASA chini ya waziri wa uchukuzi au kama mojawapo ya wizara tofauti na ilivyo sasa kama shirika huru linalojitegemea. Waziri huyo wa uchukuzi amesema pia SpaceX inafanya kazi...
Ni ukweli usiopingika NASA wamefanya mambo mengi sana mazuri ila hili la kutaka kutengeneza mazingira ya MARS hapa duniani na kuwaweka astronauts ili wazoee mazingira yake kwa lengo la kuja-kuwapeleka MARS naamini ni moja ya jambo la kijinga sana na kutaka kutumia shortcut kwenye mambo ambayo...
My Take
Kwamba Utawala ulioshika Dola baada ya Mapinduzi uliomba kufunga Kituo Cha kiteknolojia na muhimu kama hicho ila wakaona wajenge misikiti.
================
Chini ya majengo ya bati yaliyotutumka katika eneo la Tunguu na mashamba ya sasa ya Chwaka, kunazikwa sura iliyosahaulika lakini...
NASA says Magnetic Storm has reached level G-5 and at this level there can be power grid collapse
MAY 10, 2024
NASA says Earth is presently being impacted by the first two, of SIX coronal mass ejections from the sun and the energy is causing a massive Geo-Magnetic storm around our planet...
Washington, May 6
Indian-origin astronaut Captain Sunita Williams and her fellow veteran NASA astronaut Butch Wilmore are set to fly into the International Space Station (ISS) on a brand new spacecraft, the Boeing Starliner on Monday.
The duo will launch into space from the Cape Canaveral...
Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze).
Inadaiwa alifanya jaribio la kujeruhi na kushindwa kuchukuliwa hatua yoyote ya kinidhamu ndani ya chama kutokana...
Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde.
Ndege hiyo mpya hiyo hapo pichani inaitwa x-59 inauwezo wa kusafiri kutoka Jiji la New York mpaka Jiji la London...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.