nape

  1. J

    GE2020 Maajabu ya 2020: Pascal Mayalla kura 1 Kawe, January na Nape Bungeni bila uchaguzi!

    Wanasaikolojia husema binadamu tunaona vitu kwa namna tunavyopenda kuona lakini siyo katika uhalisia wake. Kiukweli kitendo cha mwanabodi Pascal Mayalla kupata kura moja kule Kawe pamoja na mikakati yote aliyotumia kuwashawishi wajumbe hakitasahaulika. Lakini kubwa zaidi ni hawa wabunge...
  2. J

    GE2020 Nape: Membe akimaliza kazi tuliyomtuma kuumaliza upinzani atarudi CCM

    Aliyekuwa Katibu wa uenezi wa CCM na baadae kuachiwa jimbo la Mtama na Membe ili awe mbunge na Membe awe Rais, ndugu Nape Nauye amesema upinzani umerudia kosa lile lile walilofanya mwaka 2015 kwa kuwakaribisha Lowassa na Sumaye. Nape amesema Membe akikamilisha jukumu lililompeleka upinzani...
  3. J

    Hii tabia ya Wanasiasa kujibishana na polisi isiachwe iote mizizi. Alianza Malima, Kigwangalla, Nape, Lissu na sasa Mbowe

    Ni vema wanasiasa wakapewa elimu ya kutii Sheria bila Shuruti kwa sababu mabishano kati ya Polisi na wanasiasa sasa yameanza kuzoeleka na hilo si jambo jema. Huko nyuma tumewahi kuwaona akina Adam Malima, Dkt. Kigwangalla, Nape, Sugu, Lissu, Mdee na Bulaya na sasa ni kiongozi mkuu wa upinzani...
  4. J

    GE2020 CCM itumie vijana kunadi Ilani na Sera zake. Hawa akina Mwigullu, Nape, January na Kigwangala wakati "umeshawatupa mkono"

    Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi. Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi...
  5. J

    GE2020 Dkt. Bashiru: UVCCM jibuni hoja za wapinzani bila kuchelewa, ni marufuku waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kupiga kampeni

    Dr Bashiru amesema ni marufuku wagombea waliopita bila kupingwa kwenda mikoa mingine kufanya kampeni bali wabakie kwenye mikoa yao. Dkt. Bashiru amemtaja mbunge mmoja aliyepitishwa bila kupingwa Lindi lakini sasa yuko Mwanza anafanya kampeni na kumtaka kurudi Lindi mara moja akawasaidie wenzie...
  6. J

    GE2020 Nape Nnauye: Msinilaumu mimi, Sheria ya kupita bila kupingwa ilikuwepo kabla sijawa Mbunge

    Mbunge mteule wa jimbo la mtama huko Lindi Nape Nnauye amesema asilaumiwe yeye kwa kupitishwa bila kupingwa kwani sheria hiyo imekuwepo kabla yeye hajawa Mbunge. Zaidi ya hapo ni kuoneana wivu tu, ametweet Nape. My take: Nape yuko sahihi yeye ni mnufaika wa sheria dhaifu. Maendeleo hayana vyama!
  7. Roving Journalist

    GE2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

    APITA BILA KUPINGWA UBUNGE MTAMA Lindi: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Samuel Warioba Gunza amemtangaza Nape Nnauye mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea pekee wa jimbo hilo. Pia soma => Uchaguzi 2020 - Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa...
  8. G Sam

    GE2020 Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa Jimbo la Mtama, mgombea CHADEMA alikamatwa jana huku ACT-Wazalendo wakiwa hawana mgombea

    Mgombea wa CHADEMA alikamatwa jana na watu wa TAKUKURU na kwa mujibu wa Nape Nnauye ni kuwa ACT-Wazalendo hawakuweka mgombea kwenye jimbo la Mtama. Ofisi ya Mkurugenzi imepigwa kofuli. Nimeshangaa kusikia kuwa Membe alishindwa kuweka mgombea ndani ya Jimbo analotoka.
  9. J

    Nape: Hata kama jina langu litakatwa sitakufa njaa kwa sababu nina elimu ya uhakika

    Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika. Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yeyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za Ubunge atamshughulikia hapo hapo...
  10. J

    Nape: Uchaguzi ukiisha wakubwa tunakaa na kumalizana ila wapambe ndio hutaka kutoana roho

    Aliyekuwa mbunge wa Mtama, Nape Nnauye ameandika katika akaunti yake ya twitter kuwa uchaguzi ukiisha wakubwa hukaa na kumalizana ila kazi inabaki kwa wapambe ambao hupiga mikelele kiasi cha kutaka kutoana roho. Nape anasema " Kuna maisha baada ya Siasa hivyo tupende na kuchukia kwa kiasi"...
  11. lee Vladimir cleef

    Maisha ya Nape CCM Ni sawa na maisha ya digidigi porini

    Nape inabidi aishi kwa kujipeneekeza tu ndani ya CCM. Akina Nape na vijana wengine hawawezi maisha nje ya CCM. Ni watu dhaifu sana.kwa kifupi sana,maisha ya Nape yako hivi. Hajiamini,hajui anatakaga kufanya Nini CCM. Alijaribu kumbugudhi fisadi Lowassa,Katibu Mkuu wa CCM wakati huo Makamba...
  12. MAHANJU

    GE2020 Nape Nnauye, Uropokaji wako unakuponza sana. Aahidi kupiga watu Mabuti

    Unapomwambia PM kwamba Usalama wa taifa ubaki huko huko DSM kwamba ninyi mna vikosi vyenu una maana gani? Hivi sheria ya vyama vya si inazuia kua na vikosi vya ulinzi? Huu sasa ni sawa na ujangili ikiwa hivi mikosi haitakiwi halafu wewe unavyo. Acha kuropoka, kila mtu akisema ana kikosi chake...
  13. funaku

    Hii tweet ya Nape inamlenga nani?

    Wakubwa hii tweet ya Nape inamlenga nani? Anasema "Kwenye Siasa ukiona unapiga kelele halafu hujibiwi fikiri mara mbili"
  14. M-mbabe

    Aliyoyatamka Nape Nnauye baada ya jaribio la kuuawa Tundu Lissu

    Video clip hii inawakilisha silent sympathisers wa Tundu Lissu tuliomo ndani ya CCM. Tupo wengi tu. Kwenye clip hii Nape Nnauye anaonyesha kuguswa, kusikitishwa na kuwa na hofu kubwa sana baada ya Tundu Lissu kumiminiwa risasi kadhaa. Ni wana CCM wengi tuliguswa na tukio lile ambalo lilituachia...
  15. Replica

    Nape: Mkapa aliniambia nisithubutu kutoka CCM pamoja na kukata tamaa

    Nape Nnauye yuko msibani na anaongelea uhusiano wake na Mkapa, amesema alianzia U-DC wilaya ya Masasi, nyumbani kwa Mkapa na alimpika vizuri sana kisiasa na utendaji. Aliingia kamati kuu 2002 Mkapa akiwa mwenyekiti na kusema alikuwa na misimamo katika kuongoza vikao vya chama. Mwisho anasema...
  16. Nakadi

    GE2020 Mliopo Lindi na mtwara tujuzeni sie tulio mbali, Majimbo Lindi mjini,Mtwara mjini ni akina nani wametia nia na vipi pale Mtama kwa Nape

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba mtumie fursa hii kutufahamisha makada waliotia nia haya majimbo 1. LINDI MJINI 2.MTWARA MJINI. Hili jimbo nasikia ndo linagombaniwa sana na makada weng kutoka chama tawala, nasikia hadi DED wa Newala kaomba kuachia ngazi...
  17. L

    Tanzania ya Viwanda: Zaidi ya wafanyakazi 90% wafutwa kazi kwenye kiwanda cha Mihogo kwa Nape

    Wassalam wana-JF, Mwezi Machi mwaka 2019, waziri Mkuu wa JMT Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa alizindua kikubwa na inawezekana cha pekee Mkoani Lindi maeneo ya Mbalala jimboni Mtama kinachojulikana kwa jina la CASSAVA STARCH OF TANZANIA CORPORATION. Kiwanda ambacho kinajishughulisha na uzalishaji...
  18. G

    Nape amsaliti rasmi Benard Membe

    Salam Salam!. Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi...
  19. J

    Wamesahaulika kwenye Siasa: Sadifa, Nape, January, Mwigulu, Kafulila na Mtatiro

    Hawa nyakati kama hizi mnamo mwaka 2015 walikuwa watu mashuhuri sana kwenye siasa za kuelekea uchaguzi hapa nchini. Lakini kwa sasa wamekuwa kimya mno kama vile wameshastaafu siasa na huyu Sadifa aka pushapu ya mkono mmoja ndio kabisa hajulikani yuko wapi maana hata jimbo lake pale Unguja ni...
  20. Yericko Nyerere

    Naunga mkono hoja ya Nape, Msigwa na Zitto kuhusu "mabadiliko ya TISS"

    Leo nataka nishereheshe moja ya hoja ya Mh. Nape Nnauye Bungeni aliyoitoa tarehe 10 February 2018 ikiungwa mkono na wabunge Mh Msigwa na Mh Zitto Kabwe ya kupendekeza mabadiliko ya mfumo wa Usalama wa Taifa nchini Tanzania. Nape alitoa hoja hii wiki moja baada ya mimi na yeye kukutana pale...
Back
Top Bottom