Nape Moses Nnauye is a Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament and for Mtama constituency since November 2015.
He was elected as a Member of Parliament for Mtama constituency in the October 2015 general election and was thereafter appointed by President John Magufuli as the Minister of Information, Culture, Artists and Sports in December 2015. He was relieved of his duty in a mini cabinet reshuffle by the president on 23 March 2017 and was replaced by Harrison Mwakyembe.
"Hapa Tanzania tuna tume bora na huru ndio maana matokeo yake watu wanakwenda kwenye Uchaguzi wanapiga kura na washindi wanatangazwa. Lakini ninachosema kunaweza kuwa na mapungufu madogo madogo, hapa na pale yale mapungufu hayafanyi mfumo mzima haufanyi hauna maana.
Na hii haimanishi kwamba CCM...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye akizungumza leo Novemba 7, 2026 kupitia Clouds TV amesema
"Walioharibu siasa ni wanaharakati sio wanasiasa. Na wengi wao hata vyama hawana lakini wanaiendesha siasa. Kwa sababu ndio wame dominate mitandao. Wanatukana na hii ni kwa pande zote na wala sio...
Ndugu zangu Watanzania,
Tunaposema CCM itaendelea kuongoza Taifa letu hadi Mwisho wa Dunia tunakuwa tunamaanisha na wala hatutanii wala kukufuru . Hii ni kutokana na kuwa na Rasilimali watu wa kutosha na wenye Elimu za Viwango vya juu sana . Ndani ya CCM kila mmoja anajibidisha kutafuta Elimu...
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.
Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.
" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini"...
Akiwa kwenye mahojiano na Podcast ya MS, Nape Nauye Mbunge wa Mtama anaelez kuwa yeye ni muumini wa CCM imara inahitaji upinzani imara na kama upinzani utakuwa dhaifu basi italeta shida kwa CCM.
Nape anaeleza pia kuwa anamkumbuka sana na kutamani uwepo wa Zitto bungeni.
Mbunge Nape Nnauye amesema; "Tulikodi uwanja wiki nzima ili Chadema wasifanye kampeni, Kikwete akatuzuia" kupitia mahojiano yake na M&SPodcast inayongozwa na Omar Kashera pamoja na Salma Dacotha
“Nakumbuka siku moja tumezindua Kampeni pale jangwani, Tumeanza sisi kuzindua tumejaza uwanja vizuri...
Ndugu zangu Watanzania,
Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Nape Moses Nnauye Katibu Mwenezi wa CCM Mstaafu aliyeongoza Kampeni maarufu ya kujivua Gamba Ndani ya CCM ili Wale walioitwa Mafisadi na waliokichafua chama na kujipunguzia imani na kuaminika kwa watanzania hususan vijana waweze kuwajibishwa...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amejibu kauli ya Nape Nnauye kuhusu chama hicho kuondoka madarakani akisema "Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini Chama hakitaondoka madarakani hata baada ya Samia"
Soma > Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU...
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, Septemba 24, 2025 aliwasimulia wananchi wa Mtama, mkoani Lindi, namna alivyoingia Kamati Kuu ya chama hicho baada ya kukutana na baba yake Nape Nnauye.
“Lakini mama huyu ana mwanawe anaitwa Nape Nnauye… ngoja niwapeni...
Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtama na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amesema suala la Katiba mpya limeingizwa katika Ilani ya CCM 2025/30 kama sehemu ya dhamira ya chama hicho kuhakikisha mchakato huo unasimamiwa kwa mujibu wa taratibu.
Akizungumza Alhamisi...
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mtama Mkoani Lindi Mhe. Nape Nnauye amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi(CCM)waliangalia rekodi ya Mgombea wa Urais CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ya uadilifu, uzalendo,Maadili na utu wake katika kusimamia rasilimali za Taifa
Nape ameyasema hayo Leo Oct 1,2025 wakati...
Mgombea Ubunge katika Jimbo la Mtama mkoani Lindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema wanaohoji utu wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan anatakiwa kupingwa kwani amefanya mengi makubwa ikiwemo kumimina...
Mgombe Ubunge wa jimbo la Mtama kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Moses Nnauye amewasisitiza wananchi wa jimbo la Kilwa Kaskazini kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura ili kumchagua mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan sambamba na Mbunge na Madiwani wake kutokana na kile...
Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye kupitia ukurasa wake Instagram amechapisha picha zinazomuonesha akizungumza na mwananchi aliyekaa kwenye kiti huku Mbunge huyo akikaa kwenye vumbi.
Kipindi hiki cha Uchaguzi wananchi wananyenyekewa sana kama wafalme kwa sababu ya thamani ya kura zenye kuamua...
Msikilize Nape Nnauye anavyoelezea jinsi wanavyoweza kubadili matoke ya Kura yako uliyopiga bila kujali matokeo halisi ya kura.
Nape Nnaye amewahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM. Wakati akitoa kauli hii alikuwa Waziri wa Mawasiliano.
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Moses Nnauye, amewataka wananchi wa jimbo hilo kuelekeza kura zao zote kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika Uchaguzi Mkuu ujao mwezi Oktoba, akisisitiza kuwa Rais Samia amedhihirisha uwezo mkubwa wa kiuongozi katika...
Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki kuandika mengi bali soma Mwenyewe halafu utoe majibu yako.
Huu hapa ujumbe wenyewe
👉
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.