naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naona ACT Wazalendo leo wana furaha sana, inaonekana kuna mtu watampokea, je ni nani?

    Ukiinhia kule X naona wote kuanzia Dalali wao Zitto Kabwe ni full shangwe kwamba leo wana mpokea Kigoho, je ni nani huyo? 1. Sugu? 2. Gwajima? 3.Mbowe? 4.Yeriko Nyerere? 5. Wenje? 6. Wale Covid 19? mmoja wao? Nazani hapo kuna mmoja wao na kwa Gwajima nitaeleza baadae.
  2. Ni Mimi mwenyewe naona au?

    Jamani dunia ya sasa mambo yanaenda kwa kasi ya ajabu kwa kila sekta, pia na maarifa ya naongezea kwa kasi na ni rahisi kupatikana, na watu wanazidi sana kuwa na akili kupita kawaida. Je nawe umeona hili, mwisho wa haya itakuaje?
  3. Naona mapema nitashindwana na huyu Single Mother

    Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga. Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka...
  4. Hivi MBUSUSU ni kitu gani? Maana naona inatajwa kila kona humu ndani🤔

    Kila nikisoma maandiko humu naona neno "MBUSUSU" halikosekani🙄 Mfano: kuchakata mbususu, kula mbususu nk.. Ni kinini hicho, maana Tanzania kwa Rejesta/ maneno yasiyo rasmi mnajiweza... Naomba nijue isije siku nikalitumia sehemu isiyofaa.. NB: kuna mtu inbox aliniambia sijui kuchakata mbususu...
  5. B

    Alini block ila now naona kwenye whatsapp yake " Hi there am using WhatsApp " Hii ina maanisha nii wataalamu? Kwamba ame ni unblock? Au?

    Huwaga ana ni block kisha ana ni un block mwenyewe. This time around naingia WhatsApp kuna jina nilikuwa na search herufi ya mwanzo ya jina lake inafanana na ya huyu mtu, so likaja jina lake na tazama naona " Hi there am using WhatsApp". But kwenye profile still bado hakuna picha yake...
  6. Pamoja na kuwa na VPN naona masaa 2 sasa Twitter (X) haipatikani.

    Natumia Norton VPN toka last week, ila kufika saa 7.30 leo naona Twitter haifunguki. Je na nyinyi mnapata shida kama ya kwangu?
  7. Kuna ndenge ambayo private jate hipo kwa mtu fulani 2025 naona hii ndege sio makusudi kutumia pesa zetu

    Kuna ndege kama inatumiwa na watu wengine kwa kusingizia kuwa wanaotoa pesa ni watu furani. Ila hii ndege ni kama hipo kusikilizia 2025 someni code
  8. Baada ya janabi kushinda naona taasisi za kiislamu zinampongeza tofauti na alivyoshinda ndungulile

    Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo...
  9. Nilionya hapa hapa kuwa asipende na asikubali kabisa kutumia Helikopta naona hamjasikia na sasa mmeshamuandalia tayari kuitumia

    Kaingia mule mule katika Mtego wa Mafia ambao wanaona hatoshei japo wanatumia nguvu Kubwa ili atoshee. Kama kuna ZAWADI KUBWA ambayo GENTAMYCINE nimezawadiwa na Mwenyezi Mungu basi ni ya kuwa na MAONO MAKALI ya kuweza hata KUTABIRI JAMBO, MACHALE ya HALI YA JUU na KUUSOMA VIZURI SANA MCHEZO na...
  10. Wapendwa dawa ya fungus kwenye mapaja naona na scrotum INAANZA kuwa nzito loh

    Shalom wapendwa Ma dk wenzangu Matibabu wote Naomba kuuliza dawa ya fungus kwenye mapaja na pia nahisi scrotum inawasha Nilikuwa.mkoa.mmoja nahisi maji yake hayakuwa salama kwangu na mwezi sasa nimekunywa grysofulvin wiki ikatulia kuwasha naona imerudi tena Mbaya zaidi naona na scrotum...
  11. N

    Naona kama mke ananikwamisha

    Miaka 15 iliyopita nilinunua kiwanja kwa shilingi milioni 4 nikaanza ujenzi wa nyumba kwa kuunga unga na nikahamia na familia nyumba ikiwa haijakamilika. Namalizia kidogo kidogo huku nikiwa humo humo ndani. Miaka ya kati hapo nikapoteza channel kabisa, na sijaweza kumalizia hiyo nyumba, lengo...
  12. Viongozi wa dini na upinzani kuhamasisha haki sio uchochezi wala vurugu ni mwanzo wa ukombozi

    Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki. Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la...
  13. Naona muda wa kula viporo vyetu sasa umewadia. Karibuni ndugu zangu.

    Ndugu zangu wapendwa; naomba kuchukua nafasi hii muhimu kabisa, kuwakaribisha kwenye viporo vyetu. Hakika vitaanza kuliwa kuanzia keshokutwa tarehe 02/05/2025. Na kila baada ya siku 3, kiporo kingine kitaliwa hadharani. Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakaribisha kushiriki kwenye hayo matukio...
  14. Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?

    Ulishawahi tuma message ndefu yenye maumivu makali ukajibiwa " SAWA ". Ulichukuwa uamuzi gani?
  15. Kwenye jeshi letu upande wa JKT naona dalili za uchawa umeshafika na mambo mnayofanya

    Leo nimeona JKT wamezindua ZOO kwa ajili ya utalii na kuanza kusifia royal tour raisi kwa kufikiria haraka tu unaona kabisa watu wanafanya kufurahisha muhisika. Mimi nilitegemea kuona jeshi likizindua viwanda vya teknolojia,vilimo vipya pamoja na zana kubwa. Yani leo mfano irani jeshi lao...
  16. Kama Mkristo Naona Uislamu Hautatoboa Hii Karne Kuelekea Karne Ifuatayo: Simu na Wi-Fi Vinachangia Kudidimiza Uislamu Zaidi ya Vita Dhidi ya Makafiri

    Kama ningekuambia miaka 15 iliyopita kwamba simu janja na Wi-Fi vitachangia kudhoofisha Uislamu kuliko hata mashambulizi yote ya historia kutoka kwa Wakristo waliowahi kuitwa "makafiri," ungeweza kudhani ni mzaha. Lakini leo, kama Mkristo ninayeangalia mwenendo wa ulimwengu, siwezi kupuuza...
  17. Picha: Naona Mjadala umekua mkubwa, sasa tumalize ubishi..

  18. Mimi ni mpenzi wa nyimbo za taarab, kwasasa naona kama imekufa

    Mara ya mwisho ku peak ilikua 2011, taarab ilikua juu sana. Ila baada ya pale naona imepotea, nina miaka mingi sijasikia hit song ya taarab. Whyyyy, hizi amapuano sijui singeli sijawai zielewa hata. Bring back taarab.👌👌
  19. Naona kama ni fedheha kwa msomi kukaa bungeni muhula mzima bila kuteuliwa waziri japo sio lazima wala muhimu na jimboni pakiwa pakavu tu hakuna kitu

    Yaani watu wa kawaida tu bungeni wanafanya kazi nzuri kwenye majimbo yao, wanafanya kazi nzuri wanapopewa dhamani serikali kuu, wanahamishwa kutoka wizara moja kwenda nyingine, huku wasomi na ubobevu wao wakishindwa hata kua na ushawishi wa kua wenyevikiti wa kamati za bunge, na jimboni pake...
  20. Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…