naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna kundi kubwa la Watanzania hawajielewi, naona wameanza kuwashobokea wasanii tena

    Yani kuna watu kukaza hawawezi yani yapo yapo tu kama mafala. Ndio maana wasanii wanajiona miungu watu maana mmezidi kuwashobokea . Kuna kampeni ilipita tena ilienda vizuri na ikaanza kuonesha muitikio chanya , kampeni hiyo ilihusu kwanza kuwa unfollow wasanii na machawa wote wa CCM , kuto...
  2. Nilikuwa naona china ila kwa serilikari inwaweza kuwa watumizi wakubwa sijajua jina lake ila mikusanyiko ya siku kuwa wanakubari serikali sio kupinga.

    Kuna kikundi unaweza kusema kina watu wengi ila kinawatu wachache sana ambao ukitaka kujua wanshindwa kurudisha majibu pale ukiwajibu hakuna respond kukuonesha huyu account ni mtumiaji . Hii inafanywa kwenye mitandao ya kijamii pale watawalawa wachafu utashangaa wakikanusha unaona like nyingi...
  3. Mzee Mwanakijiji alitarajia makubwa yasiyowezekana naona amepaniki

    Kwa uzoefu wangu wa humu jamvini na namna nilivyoshuhudia comments za wengi wetu humu jamvini ni kama vile Mzee Mwanakijiji aliaminishwa kuwa this time vurugu za uchaguzi zingepelekea kufutwa kwa uchaguzi au kuangushwa kwa Serikali. Hili limenishangaza sana kwa mkongwe huyu anayejali hoja na...
  4. Murilo anakaa wapi tukamsalimie? Tukivuka hapa akatafute nchi ye kwenda

    Murilo anakaa wapi tukasalimie tukivuka hapa akatafute nchi ye kwenda
  5. GE2025 Naona dalili ya watu wengi kutojitokeza kesho. Je, Mgombea asipopata 50% itakuwaje?

    Sheria mama ya taifa letu inasemaje? Sheria ya uchaguzi inasemaje? Maana kuna dalili ya 30% ya wapiga kura kujitokeza.
  6. Naona aibu kuwaambia ndugu zangu kuwa nimepata mchumba kutoka kabila la warangi

    Habari zenu? Nina mchumba tuko nae kwenye mahusiano huu ni mwaka wa nne. Sasa imefikia wakti wa kwenda kumtambulisha kwa wazee home ila naona aibu kumtambulisha kwa ndugu na jamaa zangu sababu ya historia ya hilo kabila kuwa mbaya kwenye mahusiano. Je wakuu nitumie mbinu gani kumtambulisha ili...
  7. R

    Baada ya Wenje, naona wameisha, Bado Mbowe sasa. Au mnasemaje kuna " vigogo" bado Chadema watahama?

    Bado Mbowewe. Namshauri Mbowewe asifanye hivyo. Bado akitubu na kumrudia Mungu anaweza akawa na mawazo chanya. Najua haitajiki na walio wengi, but time heals! Akienda CCM ni uchuro! Ya Chauma yameisha....DEAD ALREADY
  8. Tarehe 17 kunani kwani, naona Giza siku hiyo

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Giza kubwa sana siku hiyo SAYUNI BOY
  9. TFF naona mmesahau kumchunguza mchezaji huyu dume linalojifanya jike kwanini??

    Nawasilisha
  10. GE2025 Kwenye kampeni za sasa naona sura siyo sera

    Ukiwasikiliza wagombea wetu hasa wa urais ambao ni wa chama kimoja japo wanajionyesha kama wanapingana wakati lao moja, huoni sera zaidi ya sura. Wakiahidi, unashindwa kuelewa kama ni nani kati ya mataahira kati yao na wapiga kura. Mgombea wa urais anakwambia nitafanya hili au lile bila...
  11. Kuna walimu naona wanapiga vyombo sana hapa bar,vipi mambo tayari?

    Samahani naomba kuwauliza,hivi mshahara wa watumishi wa umma umetoka? Maana kuna walimu nawaona hapa bar ya jirani na kwangu wanapombeka sio poa
  12. D

    Naona Trump anaigeuza Marekani kuwa kama Ujerumani enzi za Hitler

    Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao Zamani...
  13. S

    Binafsi naona CRDB ndio inaanza kufa kidogo kidogo

    Huu ni mtazamo wangu: Kama ambavyo kiongozi wa nchi akifariki, wahusika huhitaji kujipanga kabla ya kutoa tamko kwa umma sababu ikiwa ni kuweka mambo sawa kabla ya kutangaza kifo cha Rais. Kwa msingi huo, hata taasisi Kama benki ambayo watu wengi wametunza fedha zao, inapokumbwa na tishio...
  14. GE2025 Kampeni Halisi za Uchaguzi 2025 zitaanza lini? Maana naona kama bado vyama vinatest Mitambo

    Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao. Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama. ACT Zitto Kabwela...
  15. Naona Masheikh wamehitilafiana huku, sisi tunataka wali wao wanakichafua.

  16. GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

    ( hotuba nnazozisikia ni za for 4 leaver and not a Dr. As they say).. hazina uhalisia wala relevance ...ila mtu kamezeshwa tu ili apige Brabra muda usogee Salaam wana jamvi. Mara trekta milioni 10. Mara kusikiliza kero kidigitali. Mara nishati Safi ya kupikia. Tena mitaa ya viwanda sijui...
  17. O

    Nida na Vyeti vya kuzaliwa naona ni kama kero

    Tuendelee kuchapa kazi kulijenga Taifa..... MImi naona Kuna shida kwenye system ya vyeti vya kuzaliwa na Nida mfano taarifa zote zinazopatikana kwenye NIDA Zipo kwenye vyeti tena nida iko na Tarifa nyingi na za muhimu kuliko NIDA ss kwa nini kila ofisi ya serikali utakayoenda wanatak cheti cha...
  18. Kuna jambo ni kiiunganisha dot to dot naona kama vinafanana

    Unajua binadamu tuna roho ya kutamani zaidi hata kumuangusha yule unayemtamani ili ushikilie wewe.Hapa kuna mada nyingi ambazo kama mapenzi,biashara,ajira,vyeo na n.k katika maisha kuna mtu anatamani hawe yeye sio wewe. Sasa tuliyeaye alishamaliza hilo na sasa anatamani hata vyote tulivyo navyo...
  19. Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwa:Muendelezo

    Mda mzuri wa kuwachanganya watawala weusi nguvu za giza ni zile mada unaleta usiku.Wazungu na waarabu na wa asia ukifatilia walivyokuja afrika waliingia usiku au kuna pambazuka na ili ndio watu weusi kushtuliwa usiku. DMZ ni code ya kijasusi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…