Mke wa Lissu yupo ubelgiji, tangu mumewe akamatwe hajasogea kumwona mumewe, watoto wake ni raia wa marekani, tangu baba Yao ashikiliwe ni zaidi ya mwaka hawajaonana hii imekaaje wakuu.
Nyumbani singida Kuna msiba wa kaka wa Lissu watoto hawajaja kumzika baba Yao mkubwa na mke hajaja kumzika...