nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Huyu Wenje mbona anazidi kumuharibia Mbowe, kama amechangia 250M Mkutano Mkuu wa Taifa nani amechangia mikutano mikuu 64,000 ya misingi nchi nzima?

    Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe, Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe. Naomba unijubu maswali haya, 1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
  2. T

    JamiiForums Lissu anasema ataweka ukomo wa uongoz. Mbowe anasema hawezi kuachia chama kwenye minyukano. Je, twende na nani?

    Habari wana mageuzi? Nilifuatilia hotuba za magwiji hao wawili wakati wanatangaza nia ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. Lissu alisema akiwa mwenyekiti Chadema ataweka ukomo wa uongozi Chadema ili kutoa fursa kwa vijana kuchukuwa nafasi ya uongozi. Mbowe yeye slisema hawezi kuachia chama...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Hii vita nani Angeshinda?

  4. sanalii

    JamiiForums Ni nani anahujumu IP Address za Tanzania?

    Nimelipia online service moja lakini cha ajabu malipo yamekataliwa na kuambiwa kua IP Address niliotumia kufanya malipo iko katika range ya IP ambazo ziko black listed, na Tanzania iko blacklisted kutokana na constant abusive behaviour mtandaoni. najiuliza, watanzania hawa hawa wanaokesha...
  5. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums UJASUSI - Nani ni authority halali (Kisheria)?

    UJASUSI - NANI NI AUTHORITY HALALI(KISHERIA)? Sakata la kumpata mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo limeibua mambo mengi miongoni mwa kambi pinzani ndani ya chama, ikiwa ni matokeo ya kurushiana makombora Katika jitihada za kila kambi kutaka kuidhoofisha kambi pinzani! Moja ya...
  6. B

    JamiiForums Akiwashangaa Mbowe na wafuasi wake, Anaandika Wakili Jebra Kambole: "Kwani nani Hayataki Haya?

    Ukweli mchungu: Labda tusaidiane kufahamu, hivi kweli ni nani hataki haya? Pia soma: Kuelekea 2025 - Tuzijue "Sera za Mbowe" dhidi ya "Sera za Lissu," uchaguzi mwenyekiti CHADEMA 2025
  7. The ice breaker

    JamiiForums Nani anatengeneza faida kubwa kati ya mzalishaji wa bidhaa na mtu wa kati?

    Wakuu habari zenu Naomba kuuliza kwenu watu wa biashara na uchumi Hivi kati ya producers/manufacturer Na Middleman nani yupo good position ya kutengeneza faida kuliko mwenzake. Mimi ni middle man kwenye biashara X nataka ku shift kuwa kama manufacturer
  8. Raia Fulani

    JamiiForums Waendesha uchumi ni kina nani?

    Merry xmass all jf members Niseme ukweli. Hili neno waendesha uchumi nimeanza kulisikia wiki hii. Hawa watu ni kina nani? Vigezo gani vinatumika kuwachagua? Mbona sikuwahi kuwasikia awali? Kwa mujibu wa mkurugenzi TRA ni kwamba wanachangia %70 ya mapato ya forodha. Ningeweza kwenda TRA kuuliza...
  9. O

    JamiiForums Hivi wanaofanya UCHAGUZI wa mwenyekiti wa Chadema yaani wapigakura ni nani?

    Uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema umekaribia. Makelele mengi kutoka mjukwaa mbalimbali,vyombo vya habari na wadau wa kisiasa na kidemokrasia wanatoa maoni, wengine hata wanalazimisha kupiga Kura Kwa kutaja jina la mgombea mmojawapo kati ya waliochukua fomu.Duh! Sasa wadau je Demokrasia ndiyo...
  10. Bueno

    JamiiForums Kwa ambae anafahamu Waziri wa Ajira kwa sasa ni nani Ndejembi, Ndalichako au Ridhiwani?

    Wakuu naomba kufahamu maana hizi pangua za hivi karibuni zimesababisha nivurugwe sielewi elewi naomba kwa anaefahamu anifahamishe vizuri. Hivi Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa sasa ni nani? Naombeni kumfahamu wakuu Waziri anaeshughulikia masuala ya...
  11. R

    JamiiForums Malaika mikaeli alifanikiwa kuchukua mwili wa Musa shetani alipougombea, ukifa mwili wako utachukuliwa na nani? Amua sasa!!

    Salaam, shalom!! MADA hii ni fundisho Kwa wale wasioamini kwamba mtu afapo, mwili wake hupelekwa either Kuzimu au Mbinguni. Na mwili unaopelekwa kuzimu ni mwili upi? Ni huu wa Damu na nyama? Jibu ni Rahisi tu, Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, anaishi ndani ya MWILI. Na ikiwa mtu ni ROHO, uwe na...
  12. M

    JamiiForums Nani wa kuisimamisha Israeli kwa huu ubabe anao onesha Mashariki ya kati?

    Tangu October 7 2023 tumeshuhudia vurugu za kijeshi za Israeli kujibu unyama waliofanyiwa na Hamasi,idadi kubwa ya raia wakiuwawa na kuteseka kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas Lebanoni pia mapigano kati ya Hezbollah na Israel yameleta maafa makumbwa Serikali ya mapinduzibua Irani...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Media za Wenzetu Zinafanya Endorsment, Je Ni Wakati Muafaka Sasa Media za Tanzania Tuanze Kufanya Endorsment kwa Vyama na Wagombea?

    Wanabodi, Mada kama hii niliileta 2015 Kuelekea Octoba 2015: Je, Sasa ni Wakati wa Media Zetu Kufanya Endorsement ya Wagombea? Mfano mzuri wa endorsment ni huu...
  14. The Father of All

    JamiiForums Kati ya CCM Serikali na Watanzania nani mwenye roho mbaya zaidi hasa kuhusiana na uraia pacha?

    Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania waishio ughaibuni nchini. Kuna dalili kuwa serikali ina uchu na pesa ya watu hawa lakini haiwataki...
  15. Bijou

    JamiiForums Mwandishi Candid Scope kiuhalisia ni nani

    Kuna hiki kitabu Honest to My Country by Candid Scope Jina ambalo ni pen-name, je kiuhalisia ni Nani? Alikuwa mwanasheria kwa mujibu wa maelezo kwenye kitabu
  16. D

    JamiiForums Huyu dada ni nani aliyeimba huu wimbo?

    Kuna anayefahamu huu wimbo umeimbwa na nani?
  17. B

    JamiiForums Tathmini ya ndani ya aliyosema Mbowe: Mbivu na mbichi, nani malaika, nani kizingiti!

    Huu ndiyo ukweli mchungu na ndiyo maana labda hata TBC taifa ikawepo kuuhabarisha umma: Mbowe anaashiria maridhiano yalikwama kwa sababu ya negative energy kutoka Chadema “team Lissu.” Kwa sehemu kubwa ya hotuba ya Mbowe, Samia is just a pure soul. Anasema wamenunua ofisi 1.6b kutokana na...
  18. Red shadow

    JamiiForums Joan ni nani kwa Martha Mwaipaja? Nini chanzo cha utata? Ni kweli au kiki?

    Wambea wa Jf Nimeisikilza hii habar mara 10 na sjjapata jibu. Nilivoelewa n kama Joan apendi martha kuwa au kuwasiliana na mama ake. Mlioelewa Joan n rafiki wa martha Joan n mtoto wa martha? Joan n mganga wa martha? joan ni mwenza wa martha? Joan n meneja wa martha? Kifupi huyu joan anazuia nn...
  19. B

    JamiiForums Latra na Polisi wanapodhibiti ajali kwa ukaguzi usiokuwa na tija stendi barabarani kukiwa hivi, wana mchuuza nani?

    Hii ndiyo hali ilivyo barabarani: Tuko kama tuliopagawa!
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums PreGE2025 Baada ya uchaguzi, Lissu tunaomba umpeleke Mbowe Takukuru kuhusu fuko la Abdul?

    Fuko la Abdul kila lilikopita mitaa ya Chadema lilipokelewa kwa mikono miwili isipokuwa kwa gwiji la upinzani Afrika. Lissu ndio mtanzania pekee hapo Chadema aliletewa mfuko umejaa mamilioni kama sio mabilioni sebuleni kwake na akaamua kuyakataa. Na ushahidi wa cctv upo. Baada ya uchaguzi...
Back
Top Bottom