nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Elon Musk anafifisha dhana ya matajiri kuwa juu ya wanasiasa na taswira ya umwamba juu ya masuala ya dunia?

    Kuna baadhi ya matajiri duniani mfano George Soros na Bill Gates huwa wanatuhumiwa sana kuwa puppet masters wakiwaendesha wanasiasa kama vikaragosi vyao na kuwafanya watimize zinazodaiwa kuwa na ajenda zao ovu kama depopulation, mass control, ushoga n.k Sasa inakuaje Elon Musk tajiri namba...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wanajadili nani mchezaji bora wa muda wote kati ya Samata na Msuva

    Ktk kipindi hiki muhimu kuelekea mchezo wa kufa na kupona kuelekea kufuzu AFCON. Badala ya kuhamasisha umoja wa timu, wao wanajadili nani bora kati ya Msuva na Samata. Nadhan tuna safari ndefu kufikia Uchambuzii wa Michezo wenye tija kwa taifa
  3. JamiiForums Tanzania Nani ataibuka mshindi Jake Paul vs Mike Tyson?

    Leo ni mpambano mkali kati Jake paul na Mkongwe Mike Tyson nani unadhani ataibuka mshindi? Kwa huku kwetu ni saa 10 Alfajiri kesho
  4. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Amos Nyanda ni nani?

    Wakuu kuna jamaa anaitwa amos nyanda ni nani hasa? Jamaa ana madini sana aisee na kati vijana ambao miaka kadhaa watafika mbali sana. Mshikaji yupo vizuri sana kule X anatoa madini sana ya sales na copywriting inshort mshikaji ni noma na hatari sana
  5. JamiiForums Tanzania Kama viongozi wa CCM na Mwenyekiti wao hawawezi kuisikiliza sauti ya Demokrasia ya WanaCCM wenzao unadhani watamsikiliza nani?

    Mtu anayeamini kuwa CCM bado ni chama halisi anajidanganya. Kwa sasa, ni genge la watu wanaoendekeza udhalimu, kusifia na kutetea uovu. Chama kimeshikiliwa na watu wanaotenda uovu bila kujali mateso ya wengine; hawataki kusikia sauti za watu wema waliopo ndani ya CCM. Leo hii, Mr. Nchimbi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sarakasi za Chaguzi za Serikali za Mitaa: Je, Nani Alaumiwe?

    Inasikitisha sana kuona nchi inayofuata utawala wa kidemokrasia inakumbwa na mambo yasiyofuata sheria, taratibu, na kanuni kila inapofika wakati wa uchaguzi. Wagombea wengi kutoka vyama vya upinzani wameenguliwa kwa sababu zisizo za msingi, kama vile herufi moja kwenye jina kukosekana, fomu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwapongeza Tabora United kuwafunga Yanga kwenye mechi ya ndani inaonesha upendeleo

    Pale Ikulu kuna watu wanalipwa mishahara ya bure. Tabora United na Yanga ni timu za nchini inakuwaje moja ipongezwe moja inangwe? Je, ni mara ya kwanza Yanga kufungwa? Kama mtu ni mgeni anaweza kudhani labda ilikuwa mechi ya kimataifa kati ya Tabora united na Yanga ya Burundi, kumbe zote ni...
  8. JamiiForums Tanzania Swali: Nani alimsaliti Mwenzake; Mwanaume au mwanamke?

    Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20. Wakati wamefika juu ya jengo hilo refu, pamoja wakakubaliana kuhesabu 1 hadi 3 na waruke. Walipofika...
  9. JamiiForums Tanzania Hapa nani kaandika broken Kati ya Madam na CR?

  10. JamiiForums Tanzania Hivi Arusha OCCID wa Miaka 2010-2012 Alikuwa Nani Mbona Wizi wa Panya Road. Ulizagaa

    Nakumbuka miaka hio maeneo ya mianzini Panya Road kama 20 hivi wanavamia nyumba kadhaa Kila mtu anakuwa mdogo wanachukua wanachotaka kwenye compound nzima let's say apartment 5 basi wanavuruga kote na mnavhezea panga yente yente kama zote kama kawaida. Enzi hizo makao mapya yote haikuwa na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni nani anapanda mbegu ya uongo, wizi, uhuni katika Uongozi na Utawala wa Tanzania?

    Tumsikilize Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam
  12. R

    JamiiForums Tanzania Bwana akasema, ni nani atakayemdanganya Ahabu, ili akwee Ramoth-Gileadi akaanguke?

    Salaam, Shalom!! To start with, Kila kiongozi na Kila mwanasiasa na ajue ya kuwa uchaguzi ni vita, na kiongozi yeyote ashindaye, anabeba sura ya Mungu au miungu iliyompa uwezo kukaa katika KITI chochote Cha mamlaka. (1 Wafalme 22: 19-20)Says: 19: Mikaya akasema, sikia basi neno la BWANA...
  13. JamiiForums Tanzania Nani atakuwa Rais kama Trump akienda jela?

    Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani. Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela? Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi? Wataalam msaada hapo. Natanguliza shukrani
  14. JamiiForums Tanzania Najiuliza huu ujumbe nimeletewa na nani; kuna sauti imeniambia ndotoni ulime, ukizingatia mimi ni fresh graduate sina mtaji wala shamba

    Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina mtaji wa kwenda nao farm kwa sasa, Nawasilishaa.
  15. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Muhenga, huyu janja anaitwa nani?

    KAMA WEWE NI MUHENGA,HUYU JANJA ANAITWA NANI?
  16. JamiiForums Tanzania Umemtambua nani kwenye hii picha? watoto wa 2000 tulieni kwanza

    Taja mmoja pita ukae... watoto wa 2000 hawaelewi kitu hapa
  17. M

    JamiiForums Tanzania Masudi: Haki ya nani Nimekoma Mimi!?

    Story kutoka mtandaoni Facebook 👇👇 Masudi anaelezea "Siku moja mida ya usiku nipo maskani tumepaki bodaboda zetu na washkaji zangu ikaja gari ikapaki pembeni ya bodaboda zetu. Ndani kulikuwa na jamaa. Sisi tuliendelea na story zetu. Ghafla akaja binti mmoja wa pale kitaani kwetu akaingia...
  18. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kweli : Nani alistahili?🎵🥱 (Kisa cha mapenzi chenye kusisimua)

    NANI ALISTAHILI 🎵🥱 Sehemu ya Kwanza MTUNZI: Madodi ✍🏼 WHATSAPP: 0655 969 973 Mambo?? Habari?? Hi?? Zilikuwa jumbe tatu nilizozikuta upande WA messenger katika account Yangu ya Facebook Kutoka Kwa Rick. Nilijiuliza 'nani huyu?? Mbona jina jipya simfahamu?' Niliamua kujibu Kwa sms moja "Safi nani"...
  19. JamiiForums Tanzania Mike Tee ft. Juma Nature - Nampenda Nani

  20. R

    JamiiForums Tanzania Wajuzi nielimishe: Kuna tofauti gani kati ya Youtube na TikTok katika technology wanazozitumia, nani alimuigilizia mwenzake

    Mfano magari yote yanatumi carnot cycle invention! Mengine yote baada ya carnot cycle invention, I can call it Industrial designs tu ndizo tofauti! Sasa hawa Youtube na Tiktok wanatofaunian namna gani technologywise!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…