nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    JamiiForums Music Producer ni nani, na kuna aina ngapi za Music Producers?

    Kwa uchache tu mfahamu Mtayarishaji wa mziki au kwa kimombo Music Producer Music Producer au Mtayarishaji wa muziki ni mtaalamu anayehusika na kusimamia na kuratibu mchakato mzima wa kutengeneza wimbo au albamu. Mchukue kama meneja wa mradi (kwa kimombo unaweza kumuita Project Manager) na pia...
  2. Loading failed

    JamiiForums Ukubwani kuna yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe huwezi kuja kumsahau kwenye maisha yako hata kama maisha yatawatenganisha. Ni nani huyo

    Ndugu zangu. Mpaka unakuja kuzeeka na kuingia kaburini kila mtu ana yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe hawezi kuja kumsahau kwenye maisha yake kama chachu ya mafanikio au kutokufanikiwa kwake. Kwenye maisha tunakutana na malaika na shetani walio vaa mwili wa mwanadamu na kamwe huwezi kuja...
  3. Inside10

    JamiiForums Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
  4. M

    JamiiForums Zamani tuliamini Albino hawazikwi wanapoteaga kumbe wanatekwa, ni nani aliendesha huo mtandao kwa usiri mkubwa kwa muda mrefu ?

    Hapo zamani kwa miaka mingi tuliaminishwa kwamba Albino hafi anapotea. Kumbe nyuma ya pazia wanatekwa wakihusoshwa zaidi na imani za kishirikina wakiwa kama sehemu za kafara. Ni kwa muda mrefu sana haya yaliendelea, ni nani au kina nani walikuwa waendeshaji wa huu mtandao ?
  5. 100 others

    JamiiForums Baada Ya Muda Kupita Nimeelewa Mo Alikuwa Anatoa Ujumbe Upi Na Kwa Nani , Na Alimaanisha nini...

    Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari. Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya kiasi kile 4.5 Million Euros nadhani tax excluded.. Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Nani kampeni meneja wa Samia?

    Naomba kujua kampeni meneja wa Mama ni nani?
  7. Pdidy

    JamiiForums Wakenya mmelogwa na nani CHAN?

    dah jana sikuamini mlivyoamua kushangiliq wamoroco hivi mmelogwa mmnwezqje kuandaa mashindano na mwishoo mnaishia kushangilia timu za wageni.........Wageningen.......... Nawaza.mmelogwa ama
  8. The Legacy

    JamiiForums Nani anajua matumizi ya hili tundu kwenye kisu au Visu

    Nimejaribu kuwaza sana matumizi ya hili tobo kwenye kisu ni nini nikapata machache tu,sasa naomba mnajuze wajuzi wa mambo
  9. R

    JamiiForums Mama yangu, why waste time and Money? Unashindana na nani?

    Just for curiosity! Kwa status yako kusikia kuwa unashindana na DP, Chaumma, TLP and the like ni kujishushia hadhi! Ilinganishe na Albert Einstein kushindana na mtoto wa form six katika kuifafanua E=MC2
  10. Pdidy

    JamiiForums Hizi baskeli za wajumbe zimenunuliwa na pesa ya nani n zanini??

    Nimeona wachaga wanalalamika kupewa basikeli mbovu Jana nikaenda kwa mjumbe rafiki yangu ananionyesha box la baiskeli nkamwonyesha hii picha walizogaiwa moshi nkamshauri wauzie wanyasa kabla ujaliaa now anakunywa pale Manville pub Swali hizi basikelii za nani nani amenunua na kwa pesa ya...
  11. M

    JamiiForums Ni nani alikuwa anahujumu serikali kuhamia Dodoma hadi Magufuli akazira?

    Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma. Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa...
  12. mirindimo

    JamiiForums Huyu Angela Kizigha ni nani hasa huko CCM au serikalini?

    Anaemfahamu kwa undani huyu mama tunaomba uzi wake hapa ! Katajwa san na inaonekana anamkaribia Rostam kwa Upigaji
  13. The Father of All

    JamiiForums Kunani kati ya rais Samia na Kikwete tusichojua na tunapaswa kukijua? Je, hii ni haki?

    Kuna ming'ono kuwa rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ndiye anaongoza Tanzania kwa kutumia remote kwa sasa. Je, kama ni kweli, inakuwaje tunayamaza? Inakuwaje anaendelea kulipwa haki za usataafu wakati hajastaafu na anashiriki siasa kila siku? Inakuwaje kila serikali inaposhambuliwa...
  14. fimboyaukwaju

    JamiiForums Nani ni Meneja wa kampeni ya Samia Suluhu Hassan

    Ni nani,bado sijamfahamu
  15. K

    JamiiForums GE2025 Maridhiano yaliyoahidiwa yanahusu nini?

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan amesikika kwenye hotuba ya ufunguzi wa kampeni zake akiahidi kuwepo kwa mazungumzo ya maridhiano katika siku 100 za utawala wake mpya. Nataka sasa awaeleze waTanzania maana ya maridhiano hayo ni nini, ikiwa wakati ahadi hiyo ikitolewa hatua za maovu ya...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM itashinda Kwa Kishindo Uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  17. M

    JamiiForums GE2025 Hivi CCM mnakwenda kushindana na nani?

    Wanajamvi Kama kichwa cha uzi kinavyosema Hivi kweli bila kupepesa macho wala unafiki CCM inayojinasibu kuwa ni wakubwa na wana wafuasi wengi wanakwenda kushindana na chama gani???? Ni kipi kitawafanya wajivunie ushindi? Binafsi naona aibu Nasoma comment.
  18. britanicca

    JamiiForums Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Richmond, Dowans na Symbion ni mali ya mtu mmoja yule yule The King Maker KM- RA. Tozo ya Simbion ilikuwa dola milioni 350 wakakubali kulipwa nusu dola milioni 175 . Blaza alipochomoka jamaa akamvaa Mama na kumuimbisha, Mama akaingizwa kingi, zikalipwa US 385 million!. Jamaa akainunua Petra...
  19. M

    JamiiForums Huyu ni nani?

  20. Mfilisti

    JamiiForums Tunangoja nani aje kutuokoa kama sisi wenyewe tumeamua kukaa kimya na kuishi na Majizi na Mafisadi?

    Je, Watanzania tumeridhia kudhalilishwa kila miaka mitano kwa kuwekewa viongozi bila kuchagua? Vyombo vya habari vipo, lakini kwa nini havina meno ya kuuliza maswali ya msingi kuhusu uhalali wa uchaguzi na wizi wa kura? Ni hofu au ni kununuliwa? Kama Raisi mwenyewe alikiri kura zinaibiwa na...
Back
Top Bottom