nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kina nani walitumwa Kwa Lissu kwenda gerezani kumshawishi atoke, je Lissu ni tishio Kwa Serikali?

    Kwenye hii nchi machawa walikuwa wanamchukulia poa Lissu, lakini muda ume prove kuwa the man has influence. Serikali sio wajinga kuumiza kichwa na kutafuta exit plan ya kumwachia Lissu. Tuliambiwa na Heche kuwa Kuna team ilitumwa gerezani na Samia ya kumshawishi Lissu akubali kuachiliwa lakini...
  2. JamiiForums Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini?

    Nani Wanufaika Wakuu wa Foleni Jijini Dar es Salaam na Maeneo mengine Nchini? Na nani waathirika wakuu wafoleni hizi? Nini kifanyike kuwanusuru waathirika wakuu wa foleni hizi? Uzi tayari. Karibuni kwa majibu.
  3. JamiiForums GE2025 Kama wananchi ndio hawa wanaimba hawamtaki,anagombea ili amuongoze nani?

    Hii kitu imetokea huko kimara leo Abiria wa mwendokasi walikua wanaimba kuwa hawamtaki Samia. Cha ajabu police wamewakamata.
  4. JamiiForums TRA mnafunga 'Comments' kwa nini, Mnampostia nani?

    TRA wamekuwa wakifunga maoni kwenye posti zao. Sasa najiuliza kwani wao wanafanya kazi na wananchi au wanafanyia maelekezo kutoka juu. Kama TRA inafanya haki kwa nini hawaweki maoni wazi ili watu watoe madukuduku yao.
  5. JamiiForums Je nani kamuua Dickraka Mwamakula?

    Kamanda wa Polisi katika Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga ametoa taarifa ya kifo cha Dickraka Mwamakula (24) aliyekuwa askari wa Jeshi la Magereza katika Mkoa wa Njombe. Na kwamba, kijana Mwamakula alipotea tarehe 7 Septemba 2025. Lakini baadaye mwili wake umepatikana ukiwa amefukiwa shambani...
  6. JamiiForums Mapepo yaliyotolewa na Makonda yalimwingia nani? Sasa we Gambo unabisha, ulikuwepo?

    Sasa wewe Gambo unabisha Makonda hakutoa mapepo, unabisha ulikuwepooooo? Je yalienda wapi mapepo hayoo? Ila siasa ni konyo wasemavya wapemba
  7. JamiiForums Nani Hatari Zaidi?

    Yupi mtu hatari zaidi kati ya yule anayepigana na wewe hapo hapo au kugombana au yule anayehifadhi maumivu yake?
  8. H

    JamiiForums Kati ya Yesu na Muhamad nani ni msaada kwa Waafrika?

    Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao? Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu? Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu...
  9. JamiiForums Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?

    Nani Angeamini Huyu Jamaa Alivyo Mpole Angefanya Maamuzi Kama Yale?
  10. JamiiForums GE2025 Kama Rais ndio anaamua nani awe mbunge, msinisumbue kupiga kura

    Mbunge ni muwakilishi wa wananchi hivyo inabidi achaguliwe na wananchi. Wananchi wanamchagua mtu ambaye wanajua anafanana na wao na anaweza kwenda kupeleka hoja zao bungeni. Lakini kwa jinsi siasa zilivyo ni kama mtu anakuwa mbunge kwa huruma ya rais na sio kwa kura za wananchi. Kwa sababu hii...
  11. JamiiForums Mo Dewj na GSM nani tajiri zaidi?

    Hivi hawa watabe wawili GSM na Mo Dewj ninani tajiri zaidi?
  12. JamiiForums GE2025 Baada ya Uchaguzi Samia Suluhu anataka kuridhiana na nani?

    Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano. Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi ambacho pande zote mbili zimeumia. Sasa Samia na CCM wameumia Nini Hadi watangaze maridhiano? Na je...
  13. K

    JamiiForums Nani ni mfugwa kati ya hawa?

    Mmoja ni mfugwa wa rohoni na mwingine mfugwa wa kibinadamu. Ingawa kibinadamu Lissu ni mfugwa lakini roho yake ipo huru. Wakati mwenzake kufanya kazi ya kulazimishwa moyoni hayuko huru
  14. JamiiForums Nani ana utaalamu na hii gimbal ya Hohem isteady M6

    Wakuu naomba mwenye utaalamu na hii smartphone gimbal ya hohem isteady m6 jinsi ya kuitumia yenyewe pamoja na app yake anisaidie maana imekuwa inanipa shida sana namna ya kuset na kubalance simu yangu
  15. JamiiForums Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii. Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
  16. B

    JamiiForums Je, ulishawahi kumtukana mkubwa wako kimoyomoyo? Je, alikuwa nani na alisema au alifanya kitu gani?

    Habari wanabodi Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika pengine ulionesha hadharani ama hukuonesha. Hapa nazungumzia ile hali ya kutokuonyesha lakin moyoni...
  17. J

    JamiiForums Rostamu hakuwa Live, Polepole huongea akiwa Live, kati yao nani kajificha?

    Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV. Hatuwezi kumchagulia jinsi ya kufikisha kwa jamii ujumbe aliokusudia. Wapo makasuku humu wanamwandama Polepole kuwa anazungumza akiwa mafichoni utadhani hiyo ni hoja ya msingi. Sasa mimi nauliza kati ya...
  18. JamiiForums Kati ya Profesa Kabudi na Daktari Samia nani msomi?

    Profesa Kabudi anasiika kwa kusifia marais. Alianza na Magufuli. Alipokufa amehamia kwa Samia. Ajabu Samia hamsifii kama alivyowahi kufanya Magufuli. Je kati ya wawili nani msomibkuliko mwenzake?
  19. JamiiForums Robby one Pharmacy/ Fashion zinamilikiwa na nani?

    Toka nakua namsikia huyu jamaa matangazo yake EATV, miaka ya karibuni kaingia kwenye madawa(Pharmacy) ila sijawahi jua inamilikiwa na nani? Ni mbongo ? Jamaa kadumu kwenye game la nguo toka kitambo sana, toka 2007 huko namsikia hadi leo bado yupo strong, Nani anamjua huyu jamaa? Na napenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…