Nairobi () is the capital and the largest city of Kenya. The name comes from the Maasai phrase Enkare Nairobi, which translates to "cool water", a reference to the Nairobi River which flows through the city. The city proper had a population of 4,397,073 in the 2019 census, while the metropolitan area has a population of 9,354,580. The city is popularly referred to as the Green City in the Sun.Nairobi was founded in 1899 by the colonial authorities in British East Africa, as a rail depot on the Uganda Railway. The town quickly grew to replace Mombasa as the capital of Kenya in 1907. After independence in 1963, Nairobi became the capital of the Republic of Kenya. During Kenya's colonial period, the city became a centre for the colony's coffee, tea and sisal industry. The city lies on the River Athi in the southern part of the country, and has an elevation of 1,795 metres (5,889 ft) above sea level.According to the 2019 census, in the administrative area of Nairobi, 4,397,073 inhabitants lived within 696 km2 (269 sq mi).Home to thousands of Kenyan businesses and over 100 major international companies and organizations, including the United Nations Environment Programme (UN Environment) and the United Nations Office at Nairobi (UNON), Nairobi is an established hub for business and culture. The Nairobi Securities Exchange (NSE) is one of the largest in Africa and the second-oldest exchange on the continent. It is Africa's fourth-largest exchange in terms of trading volume, capable of making 10 million trades a day.
Taarifa mpya zimeibuka kuwa wakili wa Nairobi, Abshir Ahmedsadak Abdi, aliyekuwa ametoweka kwa siku 11 baada ya kudaiwa kutekwa nyara na watu wenye silaha, amepatikana akiwa hai katika Kaunti ya Isiolo.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kenyans.co.ke ya Alhamisi, Novemba 12, 2026, wakili huyo...
TUanze na miundo mbinu, si rafiki sana, mfano soko la kilombero njia muhimu kwenda kwenye vivutio panatoa harufu sana na ni kero ya miaka mingi. Soko kuu arusha bondeni tangu enzi za mrisho gambo liliwekwa tangazo la ujenzi wa soko la kisasa lakini kimya.
Changamoto za kibiashara kati ya arusha...
Gavana wa Nairobi, Johnson Sakaja, amehama rasmi kutoka chama cha United Democratic Alliance (UDA) cha Rais William Ruto na kujiunga na Orange Democratic Movement (ODM), akitangaza kuwa atatumia chama hicho kutetea kiti chake katika Uchaguzi Mkuu wa 2027.
Sakaja alikaribishwa rasmi katika chama...
Mtaa wa Mirema ulibadilika na kuwa uwanja wa taharuki na hasira kali baada ya tukio la kushtua ambapo afisa wa polisi wa trafiki alinaswa kwenye video akidaiwa kunyakua funguo za basi la abiria (PSV) wakati likiwa bado linaendelea na safari. Kitendo hiki cha hatari kilihatarisha maisha ya abiria...
Have you noticed vile water-refilling businesses zimeongezeka kwa estates mob za Nairobi? Unapata outlet kwa ground floor ya apartment, kwa shopping centre ya estate ama karibu na gate. Residents wanahitaji maji, na hapo ndio hustle inaanza.
Lakini kuna kitu interesting kuhusu hii business...
Polisi wamejaribu kuzuia baadhi ya waandamanaji kuingia katika eneo la biashara la katikati ya jiji la Nairobi (CBD) leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026, huku mvutano ukishuhudiwa barabarani.
Video iliyorekodiwa jijini inaonyesha baadhi ya waandamanaji wakikabiliana na maafisa wa polisi katika kile...
Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini.
Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania.
Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
Hawa watoto wadogo Omba-omba kutoka Tanzania si tu wanasumbua watumia barabara Nairobi lakini pia inatia aibu na kufikirisha. Umasikini + ujinga ni adui mkubwa sana 🙌🏾
Swali langu, hawa wanatokea mkoa gani? Arusha hapana, Moshi hapana, Tanga hapana. Mara, Mwanza na sehemu za karibu ya kanda ya...
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
UPDATE:
Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kipchumba Murkomen, ametoa taarifa mpya kuhusu watu waliokuwapo katika jengo lililoporomoka eneo la Eastleigh, Nairobi, huku juhudi za uokoaji zikiendelea.
Kwa mujibu wa Murkomen, wafanyakazi 67 walikuwa katika eneo la ujenzi wakati tukio hilo lilipotokea. Mmoja...
Tukio la kuporomoka kwa jengo lililokuwa likijengwa katika mtaa wa Eastleigh, Nairobi, limeibua mjadala mwingine baada ya aliyekuwa Afisa Mkuu wa Ushirikishwaji wa Umma, Ushirikishwaji wa Wananchi na Huduma kwa Wateja katika Kaunti ya Nairobi, Geoffrey Mosiria kufika eneo la mkasa na kupokelewa...
Watu kadhaa wanahofiwa kufunikwa na vifusi wa jengo la ghorofa 13 ambalo limeporomoka katika eneo la Eastleigh Kaunti ya Nairobi nchini Kenya.
Maafisa wa uokoaji wako eneo la tukio wakiendelea na zoezi la kupekua vifusi vya jengo hilo ambalo limeanguka na mpaka sasa majeruhi mmoja amekimbizwa...
Wakazi wa Nairobi wamebaki na maswali baada ya vumbi na upepo kuonekana katika maeneo mbalimbali ya jiji Alhamisi jioni, huku video zinazosambaa mitandaoni zikionyesha hali iliyowashangaza wengi.
Baadhi ya video hizo zinaonyesha vumbi likipeperushwa na upepo, hali iliyowafanya watumiaji wa...
Tamasha la Mwanamuziki wa Marekani Ne-Yo lililofanyika Nairobi Siku ya Mashujaa, Oktoba 20, 2026, limeibua mjadala kuhusu bei ya tiketi, muda wa msanii kutumbuiza na kile mashabiki wanapaswa kupata wanapolipia burudani ya gharama kubwa.
Ne-Yo, ambaye alirejea Kenya baada ya takribani miaka 11...
Mwanahabari wa Citizen TV, Francis Odee, alikamatwa na maafisa wa polisi Jumanne, Oktoba 20, 2026, alipokuwa akiripoti maandamano ya wananchi waliokuwa wakipinga ongezeko la bei za mafuta katikati mwa jiji la Nairobi.
Odee, ambaye huripoti masuala ya uhalifu na usalama, alikuwa akitekeleza...
Kenya imeirejesha taji la kuwa na uchumi mkubwa zaidi Afrika Mashariki baada ya kuipiku Ethiopia, ambayo ilikuwa imeshikilia nafasi hiyo kwa takriban miaka 5 kulingana na takwimu za Shirika la Fedha Duniani (IMF).
Kwa mujibu wa ripoti ya IMF ya Oktoba 2026, takwimu za mwaka 2025 zinaonyesha...
Video inayosambaa mitandaoni ikionyesha wanaume watatu wakimvamia na kumpora mwanaume katika eneo la 6th Avenue, Parklands, Nairobi, imezua wasiwasi kuhusu usalama wa wananchi katika maeneo ya umma.
Tukio hilo linalodaiwa kunaswa mchana kweupe linaibua maswali kuhusu hatua zinazochukuliwa na...
Mamlaka ya kudhibiti kawi(EPRA) imetangaza kuongeza bei ya mafuta kama ifuatavyo:
1)Super petroli: +KSh 12.93 kwa lita.
2)Diseli: +KSh 9.90 kwa lita.
3)Mafuta taa,Kerosene: +KSh 28.49 kwa lita.
Elewa kuwa Jiji la Nairobi, bei za juu zinazokubalika kwa lita ni KSh 226.96 kwa petroli, KSh 227.76...
Habari za muda huu Wana JamiiForums!
Leo katika jukwaa letu, nawaletea kumbukumbu safi kabisa ya Zilipendwa, ikiwa ni muendelezo wa makala zetu za kiweledi zinazoangazia nyimbo za zamani zilizoacha alama kubwa barani Afrika. Kwa vijana wa sasa na wahenga wenzangu waliobahatika kuishi zama za...
The growing presence of street-connected children and 'parking boys' outside Sarit Centre in Westlands, Nairobi and the surrounding Westlands area is raising concerns about public spaces, safety and the welfare of vulnerable children. For people who work, shop or operate businesses in the area...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.