mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo na Kagera Sukari

    Kanda ya ziwa sukari imeisha, msambazaji mkuu anyimwa mzigo Hali ya upatikanaji wa sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa ni tete, baada ya kiwanda cha Kagera kukataa kumuuzia Sukari msambazi mkuu kampuni ya V.H SHAH. Inaelezwa Msambazi wa sukari kanda ya ziwa amenyimwa sukari na kiwanda hicho...
  2. G

    Nilidhani mabinti wa dukani wanafanana, najuta kumpoteza binti aliekuwa ananifanya niagize mzigo kila wiki, nimebadili wawili ila biashara inasua

    muda mwingi nipo kazini hivyo dukani naacha msaidizi. Kwa miaka miwili mfululizo duka lilikuwa na wateja wengi na nilidhani mimi ndie mjanja nilieumiza kichwa kuchagua eneo zuri, kuweka bei, kuweka bidhaa original, n.k. yani niliona mimi ndio genius, kila baada ya wiki 2 mzigo ulikuwa unakata...
  3. Namna ya kupunguza msongamano wa Maroli yanayokuja ndani ya mji kushusha mzigo kwenye ICD

    Changamoto ya foleni ya Malori yanayoingia katikati ya mji wa Dar kwenye Bandari kavu (ICDs-Inland Container Depots) na yards za kushushia mizigo inabidi itatuliwe kwa wamiliki wa Bandari kavu na Yard kuwa na mfumo wa Tehama. Huu mfumo itabidi kila Bandari kavu wanapopata order ya magari ya...
  4. Mwanamke mwenye faida na mwanamke mzigo katika mahusiano au ndoa

    Mahusiano mazuri au ndoa imara inategemea na aina ya mtu uliyenae katika mahusiano au ndoa husika. Naomba niwape siri moja ambayo pengine dada yangu umekuwa ukiichukulia kawaida na kuendelea kuwaita wanaume wote mbwa kumbe kosa ni lako mwenyewe. Na kaka yangu pengine na wewe umeendelea...
  5. Gaza ni mzigo uliojitwisha Israel na haiwezi kuutua, kilichobaki ni kuhangaika nao

    Ipo mikasa mingi ya wezi ambao baada ya kuiba hujikuta wametegeshewa na hawawezi kuutua tena mzigo wao mpaka makubaliano na mwenye mali yafanyike. Iko mikasa mingine ya wazinifu na wachawi inayofanana na mikasa ya wizi. Gaza ni mfano wa mzigo Israel iliyojitwisha ikitaraji kuufikisha ilipotaka...
  6. Mademu wa kishua ni mzigo

    Demu kupika anasema anachoka, yani kuna muda anapika chakula cha usiku mchana ili usiku asipike tena. Kufanya usafi ndani ni shida eti anasema mgongo unamuuma akiinama sana. Vyombo akishakula usiku ni kazi kuvitoa, yani anaweza kuviacha kwenye meza mpka kesho yake. Kiporo hawezi kula, na...
  7. Mzigo wa vita waielemea Israel na huku wakisindikizwa na mawe wakati wakirejea nyuma.

    Hali ya vita inazidi kuwa mbaya kwa Israel kiasi kwamba wamelazimika kuondoa vikosi vyake kadhaa kutoka uwanja wa vita. Sababu kuu inayotajwa ni kuporomoka kwa uchumi wa nchi hiyo kiasi kwamba hakuna tena mafungu ya kuwahudumia askari walio mstari wa mbele.Sababu nyengine isiyowekwa wazi na nchi...
  8. R

    RC Chalamila amechoka kukaa DSM, changamoto zimezidi anatamani kutua mzigo. Kila la kheri kwenye majukumu mapya

    Watu wanaoishi Dar it's an asset to the Government. Lakini kwa RC Chalamila yeye hao ni liability nakwamba anatamani kuongoza watu wasiomtamkia changamoto. Ameelekeza wanaolerwa na jiji la DSM warejee kijijini. Anatamka maneno hayo kipindi ambacho wanaomiliki mwendokasi wamedharau na kuendelea...
  9. K

    Sijwahi kuona waziri fix na mzigo kama huyu mchengerwa na tamisemi yake,maneno meeeeengi vitendo zero

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema mtumishi wa umma kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa atakayefanya kazi kwa bidii na uadilifu atamlinda lakini yule mzembe katika kazi hatasita kumuondoa kwenye nafasi yake. Mchengerwa ameyasema...
  10. Ni kampuni gani kwa Moshi au Arusha naweza safirisha nayo mzigo kwenda Marekani?

    Habari wanajukwaa mko salama? Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake. Natanguliza shukuran.👏
  11. Pandisha HISIA, Shusha MZIGO Tembea. Ni kama ushauri tu

    Ushauri wangu wa leo ni kwa wanamume tu. Ndugu yangu mwanamke wa kileo Ukifika au akija getoni kwako chakufanya ni KUPANDISHA HISIA, Shusha MZIGO tembea Hio ndio iwe kauli mbiu yako. Sio unaanza kuzuia hisia huku ukiisi kuna kunasehemu utamfikisha huko ni kujichelewesha tu, Mara sijui...
  12. M

    Hii ni kwa mtu yoyote anaetegemea kuanza biashara kwa kufunga mzigo Kariakoo

    Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako. Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo. Vitabu hivi...
  13. Hawa vijana wanaovimba mtandaoni kwa maburungutu ya milioni 40 ni washamba wa pesa, Ili uvimbe kama don walau uringishie milioni 200

    Dar es salaam unakuta kijana ana coaster 10 na bado ukaonekana wa kawaida kabisa, ni tofauti na huko vijijini ama mikoani tayari umefika kipimo cha kuitwa tajiri. Shida inakuja kwa hawa vijana wageni wa jiji wanatokea vijijini ama mikoani walikokuwa wanapata attention ya kuonekana ni matajiri...
  14. Waziri Mwigulu: Tunatazamia kuwakopesha Wafanyakazi wenye sifa Magari ili kupunguza Matumizi ya Serikali

    Serikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka. -- Akijibu swali la Mbunge Asia Abdulkarim Halamga aliyehoji sababu za Serikali kutumia Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) ambaye ananunua Magari kwa gharama kubwa kuliko bei...
  15. R

    Esther Bulaya: Sirro arudishwe aje kupambana na hali yake!

    Akichangia kuhusu ripoti ya CAG Esther Bulaya asema Sirro arudishe ambako anahumu kama Balozi aje kuwajibika kwa ubadhirifu aliofanya. Bulaya amesema mwaka 2018-21 Inspekta Jenerali wa Polisi alikuwa Simon Sirro, ambako kwenye mfuko wa Tuzo na Tozo na kufa na kuzikana katika jeshi la polisi...
  16. Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  17. Uliwahi kukamwatwa kwenu unavusha?

    Katika harakati za ujana nimevusha round mbili nakuvushwa round moja. 1: Siku ya kwanza na vusha mother alikua kasepa kikazi na dingi akaona acha akazurure zake kijijini kumdekea mama yake, msela nimeachwa zangu home kama sungu sungu nalala gheto la nje machalii ndani. Zoezi lilikua hivi...
  18. N

    Makato ya 2% Chama cha Walimu Tanzania ni mzigo kwa walimu

    Kitendo cha mwalimu kukatwa 2% ya mshahara kabla ya makato kwa ajili ya chama 'kisicho na msaada' ni mzigo mkubwa sana kwa mtumishi. Kumkata mtu zaidi ya laki mbili kwa mwaka, ni kuongeza sonona tu kwa mwalimu huyu wa kijijini ambaye hatokuja kusaidiwa chochote na chama zaidi ya "t-shirt ya mei...
  19. B

    CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

    Huu ni ushauri wa bure kwenu kama mdau. Niliwahi kuandika uzi huu pia: Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya yaliwekwa wazi: Kulikoni kuwaendekeza watu hawa ambao kwa sasa wanapigania utengano, badala ya...
  20. A

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu. Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders. Tunaomba Mahakama immulike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…