mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe mbele ya kiti cha hukumu

    Chukua mzigo wako mwenyewe
  2. O

    Mzigo wa Shilingi 200,000: Kilio cha Mama Aliyefikishwa Kikomo na Bili ya Kenya Power

    Maisha ya kawaida ya mama mmoja yaliyokuwa yakisonga kwa utulivu yaligeuka kuwa lindi la huzuni na mfadhaiko baada ya kujikuta akitwikwa mzigo wa bili ya umeme ya Shilingi 200,000 kutoka kwa kampuni ya kusambaza umeme ya Kenya Power, licha ya yeye kuwa na matumizi ya kawaida ya Shilingi 300...
  3. D

    mzigo upo wa kutosha

    nauza charger za type C kwa bei ya jumla 1pcs kwa elf8 .. Dodoma call 0693 166802
  4. R

    Uongozi wa CUHAS waelezeni wazazi mabadiliko ya fedha ya usafiri na si kuwatwisha mzigo watoto bila wazazi kuwa na tarifa na ufafanuzi wa mabadiliko

    Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK! Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
  5. youngkato

    Unataka kuanza biashara ya vifaa vya simu? Usikimbilie kununua mzigo kabla ya kujua haya!

    Watu wengi wanaingia kwenye biashara ya vifaa vya simu wakiamini kuwa kununua chaja, earphones, cover na screen protector kwa bei ya jumla kisha kuuza kwa faida kunatosha. Lakini ukweli ni kwamba biashara hii inahitaji zaidi ya kuwa na bidhaa dukani! Fikiria umefungua duka la vifaa vya simu...
  6. BigTall

    Ongezeko la gharama za 'direct cost' UDSM kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa kwa wanafunzi

    Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo 👇🏻 Mmh, hili ni ongezeko kubwa sana la gharama kutoka 97,400/= hadi 255,400/=, sawa na ongezeko la zaidi ya 100%. Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani Magufuli & CoICT 800-1,300/= na Mabibo 500-1,000/=. Ongezeko hili kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa...
  7. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Nini cha kufanya begi lako/ mzigo unapokuwa haujafika kwenye mkanda wa kupokelea mabegi?

    Chini ya Mkataba wa Montreal (Montreal Convention), mashirika ya ndege yana wajibu wa kisheria kuwajibika kwa mizigo iliyopotea, kuharibika au kuchelewa. Begi kutofika kwenye mkanda wa kusafirisha mizigo 'baggage carousel' katika uwanja wa ndege si lazima imaanishe limepotea kabisa. Mara nyingi...
  8. Mad Max

    Tesla Semi zinaanza delivery Week ijayo! Zina uwezo wa kusafiri Kilometa 800+ kwa umeme wa Laki 3, zikiwa na mzigo full (Tani 20+)

    Imeshapita zaidi ya miaka Tisa tokea Tesla watuahidi wanatuletea Tesla Semi. Sasa the wait is over. Juzi (Sept 24) kwenye event ya Tesla Nevada Gigafactory, Tesla wamesema delivery ya semi unaanza week hii, na watatengeneza Semi 50,000 kwa mwaka. Makampuni makubwa kama DHL na PepsiCo...
  9. A

    KERO TBS ni mzigo Bandarini, inazalisha vilio vikubwa sana kwa Waingizaji wa Shehena au Bidhaa

    Mfumo wa utendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) umekuwa mbovu sana na kila siku katika ofisi zao zilizopo TPA ONE STOP [BANDARINI] utakuta foleni kubwa ya MAWAKALA WA FORODHA wakipambana ku-clear mizigo ya wateja wao. TBS wamekuwa ni jipu sidhani kama Hayati MAGUFULI angekuwepo utendaji...
  10. O

    Eric Omondi Akamatwa Nairobi CBD Akiendesha Kampeni ya “Punguza Mzigo”

    Mchekeshaji na mwanaharakati Eric Omondi amekamatwa na polisi katika eneo la Nairobi CBD alipokuwa akikusanya saini kuunga mkono mpango wake wa “Punguza Mzigo” wa kutaka mabadiliko ya mfumo wa utawala nchini. Omondi alikamatwa Jumatatu asubuhi na maafisa wa polisi waliokuwa wamevalia kiraia...
  11. Website Tanzania

    Natafuta lori la mzigo tani 32 kutoka kiteto kupeleka Arusha

    Mzigo : mahindi gunia 300 kila gunia kilo 108 (Tani 32.4) Mahali ulipo : kiteto Unapoelekea : Arusha kwa mworombo. Mawasiliano : 0797870940
  12. Dr. Zaganza

    Tiba za kihindi (ayurvedic) na za asili za Tanzania malipo ni baada ya kupokea mzigo

    Hernia powder;shs 40,000 dozi Siku 7 ni dawa ya Asili inatibu tatizo la ngiri na uvimbe, Korodani kushuka na kuingia ndani,maumivu ya Korodani, ume kulegea au korodani kuvimba, homoni msawazo shs 40,000 dozi siku 28 ni dawa bora ya kutibu magonjwa yote ya uzazi -Ugumba, Pid, chango la...
  13. Top Gun

    Umasikini ni mzigo

    Kama mtu anaweza kupata nafasi hadimu ya kutoa maoni ila jambo analo sema ni hilo, na yuko serious kabisa. === Kero ya ghorofa la jirani imeibua mjadala na vicheko katika mkutano wa hadhara wilayani Monduli, baada ya mwananchi mmoja kudai ujenzi huo unavuruga faragha ya familia yake. Mwananchi...
  14. Gunner11

    Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

    Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu. Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba...
  15. Lyetu

    Wabunge viti maalumu ni mzigo kwa Taifa

    Bunge la Tanzania lina zaidi ya wabunge 100 wa viti maalumu. Hawa watu mchango wao ni upi kwa Taifa? Nikweli nchi yenye uchumi wa chini kama Tanzania tunahitaji kurundika watu wote hao bungeni? Ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, idadi hiyo ipunguzwe hadi idadi ya wabunge wa viti maalumu...
  16. baz kaiza

    Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  17. baz kaiza

    Awamu ya sita ndo inaongoza kua na viongozi mzigo kwa wananchi kuzidi awamu zote. Tangia nchi imepata uhuru

    Awamu zote hiii awamu kiboko Ina viongozi mzigo kuanzia kitongoji mpka huko juu kwenye mihimili wana uwezo mdogo sana IQ na EQ zao kwakweli zinatia mashaka makubwa sana. Jamani hata kama mlijichagua bila kuchanguliwa na wananchi ndo...
  18. A

    KERO Alsaedy High Class Bus: Begi langu limepotea, Msaada Hakuna

    Uongozi Alsaedy High Class tatueni kero za abiria wenu, mtapoteza wateja. Mimi ni abiria ambaye napenda kutumia usafiri wa bus la Alsaedy high class kwa safari zangu za Dar-Iringa, Iringa-Dar. Mnamo tarehe 9/6/2026 nilisafiri na familia yangu kutoka Dar es salaam na bus la Alsaedy linalotoka...
  19. ChoiceVariable

    Prof.Mbarawa: Bandari ya Dar yavunja rekodi Kwa Kuhudumia mzigo wa Tani Milioni 30.Atoa kongole nyingi Kwa DP World.

    Bila uwekezaji wa DP World hii volume ingekuwa ndoto maana target ilikuwa kuhudumia Tani mil.30 by 2030 lakini target imefikiwa miaka 4 kabla . Kwa sasa Bandari ya Dar ni Kimbilio sio njia mbadala Mombasa ikifeli. Haya Sasa ndio maamuzi ya Tija Kwa Nchi, Serikali ingesikiliza zile kelele za...
  20. A

    KERO Shabiby Buses: Mzigo Wangu Umeharibika/Potea!

    Bus za shabiby zimepoteza na zimeharibu mzigo wangu nimefuatilia kwenye uongozi nimeambiwa ni shida ya Kondakta na ni mwezi umepita sasa tangu mzigo wangu kuharibika na mwingine kupotea hamna anayewajibika hata kidogo. Kwa wakati huu ambao usafirishaji wa mizigo kati ya Dom na Dar umeongezeka...
Back
Top Bottom