mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfumo wa Ubia Kati ya Serikali na Sekta Binafsi: Suluhisho la Kupunguza Mzigo wa Kodi kwa Wananchi

    Nilipata bahati ya kufanya mafunzo ya vitendo (field) Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012, ambapo nilikutana na Muisraeli aliyekuwa sehemu ya exchange program kati ya halmashauri yake na Jiji la Mwanza. Alionyesha mshangao mkubwa jinsi halmashauri zetu zinavyoshindwa kupanua vyanzo vya...
  2. B

    Mzigo mpya wa Azam.

    Hapa Azam wameupiga mwingi. Sio kwa gari hizo. Aisee......!
  3. Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo. Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo unatenganishwa na kifo na uzinzi tu. Mambo mengine yoote nihayawezi kuvunja ndoa. Ukiwa mume mkeo...
  4. Dkt. Biteko: Kutumia umeme bila ufanisi kunaongeza mzigo kwenye uzalishaji wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumia umeme kwa ufanisi na hivyo...
  5. Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  6. Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  7. Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii. Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo. Haya maisha yetu yanafikirisha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
  8. A

    Je TIN(tax identication number) iliyosajiliwa kawaid inaweza kutumika kutoa mzigo bandarini?

    Habari wakuu, husika na kichwa Cha habari tajwa. Mfano nimesajili TIN kwa ajili ya duka la kawaida na inaonekana Ina mtaji mdogo mfano 1M lakini itumike bandarini kuto mzigo unaozidi hio 1m mfano 5-10M , je hii haitaleta shida?
  9. Utaratibu wa kodi baada ya kupokea mzigo Posta ukoje?

    Wakuu, wiki kadhaa zilizopita nilinunua kifaa kutoka nje ya nchi, nimetumiwa mzigo wangu kwa njia ya POSTA. jana nimetumiwa sms kuwa kifaa changu kimefika, nimenunua kifaa kwa bei ya shilingi, aaah dola 100. Sasa kabla sijaenda kuchukua kifaa changu nimefanya mawasiliano na mtoa huduma wa POSTA...
  10. Tangu juzi nipo mitaa ya Barcelona kashinda derby 4-0 lakini sijaona mabango ushamba mzigo

    Nazurura hapa jijini barcelona katika mitaa sijaona bango la ushindi wa 4-0 wala sijaona afsa habari akikata kiuno wala joah larpota akiimbisha nyimbo za kebehi wala kualika watu supu maisha yameendelea ile ni game imekuaje huku kwetu kweli ushamba ni mzigo!
  11. Ushamba mzigo!

    Kuna mji nilikaa sasa sikumoja kuna kitu nilikuwa natafuta,ktk harakati za kutafuta hicho kitu nikakikosa badala yake nikakutana na hiki kidonge size hiyohiyo ila chenyewe kilikuwa cha kijani,hicho kidonge nilivyokiona nikasahau hata nilichokuwa natafuta maana ukubwa ndio ulinitatanisha...
  12. S

    Njia ya zipi sahihi kutuma mzigo Marekani

    Hello ndugu, ninahitaji kutuma mzigo marekani ni kilo 5 TU za karafuu je ni kampuni gani ya ndege au yoyote ya usafirishaji naweza kuitumia kutuma mzigo wangu kwa haraka na unafuu? Wenye uzoefu naombeni msaada wenu na pia naomba kujua gharama exactly za kutuma huo mzigo.
  13. Mzigo uko tayari! Ground invasion ndani ya Lebanon soo. Tunaenda kuona version two of Gaza

    Isarael any time soon anafanya ground invasion ndani ya Lebanon. Hapo Hezbollah ndo watajua hadithi za 2006 zilikuwa mtego ili wajisahau Photos: Israel deploys tanks near Lebanon border [Menahem Kahana/AFP][Menahem Kahana/AFP][Menahem Kahana/AFP]
  14. Update update kutoka America percel. Nimepigiwa simu eti mzigo upo mwalimu nyerere airport. Kutoka kalifonia.

    Eti nitume laki na 95 elf, dereva aanze safari kuuleta nilipo hahah..nikichelewa mzigo utawekwa store kwa kila siku 20k inaongezeka.. Namwambia namtumia ndugu yangu aje abebe eti hapana tuma ela kwa namba tulikupa hutaki tunaweka mzigo store. Hahaa kumeanza kuchangamka. Kupitia uzi wangu watu...
  15. Naweza kupokea mzigo kutoka Marekani? Je, kwa njia gani?

    Kuna ndugu mmoja yupo Marekani California amepark mzigo wenye device mbali mbali wenye thamani dola 26000. Kwa wazoefu naomba kujua namna ya kuupata huu mzigo Asante. Your package contains 26000/USD money 4 coverage cameras 2HP computer set 6toshiba laptops 5 iPads 5 Iphone 25 samsung tabs...
  16. TAKUKURU KILIMANJARO: Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji, LATRA NI MZIGO!

    Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka. Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
  17. G

    Is the risk worth it ? kununua pikipiki mpya, uitoe kwa mkataba wa faida ya “elf 3 kwa siku”,kisha uigawe bure baada ya miezi 13 ikiwa bado mpya

    Gharama za ununuzi na usajili - 2,800,000 Mkataba – miezi 13 (siku 365 za mwaka + 30 za mwezi moja) Hesabu ya siku – elf 10 Hesabu ya miezi 13 – elf 10 x siku 395 = 3,950,000 Faida miezi 13 = 3,950,000 – 2,800,000 = 1,150,000 Faida ya kila siku = 1,150,000 / siku 395 = 2,911.. (elf 3...
  18. Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?

    Unashiriki maandamano una bima ya afya? Au unataka kuwapa mzigo wa matibabu ndugu zako?
  19. Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao

    Wafanyabiashara Ngara Watakiwa Kurasmisha Biashara Zao Ili Kupunguza Mzigo wa Kodi Kwao Naibu Waziri wa Wizara ya Viwanda na Biashara Mhe.Exaud Kigahe (Mb) amewataka Wafanya biashara wilayani Ngara Mkoani Kagera Kurasmisha Biashara zao ili kupunguza mzingo wa kodi kwao Mhe. Kigahe ameyasema...
  20. Serikali yetu haioni ni hekima kuwatumia wafungwa kama vibarua wa Wakandarasi katika kuwapunguzia mzigo?

    Katika kandarasi nyingi wafanyakazi wasio rasmi /temporary worker aka vibarua, huigarimu kampuni almost 7-10, ya fedha za mradi although bajeti hii huwa imeainishwa ndani ya mkataba, tunashuhudia mataifa kama China hufanya haya, huwa kama ni sehemu ya wafungwa katika kufundishwa kazi mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…