mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
  2. M

    Uzeeni ni heri uwe na mzigo wako wa kutosha unaukata taratibu au uwekeze kwenye biashara usubiri faida ?

    walengwa wakiwa ni waajiriwa zaidi. Uzeeni ni bora uwe na mzigo wa kutosha unaukata taratibu (Unaweza kuwa na vibiashara vidogo ili usikae sana ndani) Au ufungue biashara uwe unasubiria faida
  3. Ushauri kwa IGP: Sio Sawa Jeshi la Polisi Kuwabebesha Wazazi Wa Polepole Mzigo wa Kuthibitisha Kwamba Kuna Uhalifu umefanyika Dhidi ya Mtoto Wao

    Utangulizi Mheshimiwa IGP Camilius Wambura, Huwa nafuatilia utendaji kazi wa Jeshi la Polisi siku hadi siku. Matamko yako yote huwa nayasikiliza na kuyachambua pia. Barua nyingi zinazoandikwa na Msemaji wa Polisi, David Misime, ziko vizuri na hubeba weledi wa hali ya juu. Hata hivyo...
  4. Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
  5. A

    KERO ATCL wamepoteza mzigo wangu, na ukienda ofisini kwao hawatoi ushirikiano

    Niliagiza mzigo kutoka dar kuja kigoma jana tar 15/08/2025 kupitia ATCL kutokana na uharaka niliokuwa nao, ambapo mzigo huo ulifikishwa saa 4 asubuhi na ratiba ya ndege ilikuwa inaonyesha inaondoka saa 7 mchana ilikuwa inafika kigoma saa 10. Jioni nimeenda kufuatia mzigo huo nikaambiwa...
  6. Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

    Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo? Wewe vipi mdau ulishawahi
  7. K

    Rais Samia anadanganywa, kutawala nchi kuanzia 2026 ni mzigo

    Hii nchi ya mitandao na Watanzania pamoja na kwamba wapo slow wamesha anza kugawanyika hasa vijana. Haitakuwa rahisi kama mnavyofikiria na tatizo sio chadema bali watanzania wamenadilika. Askari pekee hawatatosha
  8. Kutatengenezwa Multiplanetary rockets hapa Tanzania inayoweza kubeba mzigo kati ya tone laki 5 na tone million 10

    Moja ya njia ya kuweza kufaidika na space economy ni kutengeneza Multiplanetary rockets itakayokuwa na uwezo wa kubeba tone million 1 na zaidi it sound awkward ila lazima iwezekane Hizo rockets zitakuwa za aina nyingi na tofauti na kwa ùchache zitakuwa na sifa zifuatazo Kiwango cha chini cha...
  9. Mzigo Mkubwa wa Madaftari kwa Wanafunzi Je, Hii Haileti Madhara ya Kiafya Kwenye matatizo ya mgongo

    Wadau wote wa Wajamvini habari za muda huu Mara nyingi nikiwa kwenye daladala, hukutana na wanafunzi wadogo wa shule za msingi na sekondari wakiwa wamebeba mabegi mazito sana yenye madaftari na vitabu vingi. Hali hii hunisikitisha hasa nikifikiria umri wao mdogo na namna wanavyobeba mizigo...
  10. J

    Nataka kuanzisha biashara ya vinywaji vikali

    Habari jamani Naomba muongozo wa kuuza vinywaji vikali kwa bei ya jumla mtaji wangu ni 20m wapi wanatoa mzigo na muongozo wa biashara kwa ujumla nami nianze biashara ningependa kupata mawazo yenu kwa wenye ufahamu
  11. Katika Dunia ya Kidijitali, kwanini Mwananchi abebeshwe mzigo wa vitambulisho?

    Ni jambo la kusikitisha kuona mwananchi wa kawaida analazimika kubeba kadi takribani 10 kila siku ili kupata huduma mbalimbali. Kuanzia Kitambulisho cha Taifa (NIDA), kadi ya mpiga kura, kadi ya benki, ya ajira, ya bima ya afya, hadi kadi za usafiri au zile za klabu zaa michezo, mzigo huu wa...
  12. Wadada mnaotoa tangazo humu kutafuta wapenzi muwe mnasema kama mna mzigo wa kutosha ama laa

    Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la.. Nani kakwambia anashida na hiyo...
  13. Nasikia Tajiri Kakasirika na kaachia Mzigo wa maana wa Usajili hivyo kuanzia Wiki hii ni Vyuma tu Vinashuka Lawama Kugombana Sports Club

    Wadanganyeni wengine ila siyo Mimi oky?
  14. Walinzi wa uwanja wa Mkapa ni mzigo

  15. Kenya ni demokrasia inayoharibiwa na mzigo wa madeni uliokithiri.

    Kwa miaka mingi Tangu nyakati za Uhuru Kenyatta na sasa Ruto serikali ya Kenya ilikuwa katika bonanza la kukopa pesa ndani na nje ya nchi kwa pupa huku ikiwaaminisha raia wake deni lao ni himilivu na kwa ajili ya maendeleo yao. Umefika wakati sasa madeni yameiva, theluthi mbili(60%) ya mapato...
  16. Umaarufu Usio na Maadili ni Mzigo wa Maisha

    "Wachana na kiherehere cha kutafuta umaarufu wa kijinga unaoweza kuyagharimu mapambano yako ya maisha. Hukuzaliwa ili kuwadhalilisha wengine kwenye majukwaa au mitandao ya kijamii, uliletwa duniani kutimiza kusudi, si kuigiza maisha." — Alloyce, P.R.
  17. Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea!Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo

    Wanaume, Acha Kutembelea Wapenzi Wanaokulemea! Kama unataka uhusiano wenye mafanikio na amani, ni muhimu kuepuka wanawake ambao wanakuleta mzigo wa ziada badala ya kukuinua. Hapa kuna alama za mwanamke anayeweza kuwa mzigo (liability) kwako: 1. Mwanamke Asiyekuwa na Pesa za Usafiri Anadai...
  18. Alikataa kila kitu kwa hiari yake… miaka 4 baadaye anarudi Mahakamani kuidai alichokataa.. Nautua mzigo

    Baada ya Miaka 4 ya purukushani na aliyewahi kuwa Mke wangu Leo nimeamua kwa hiari yangu kuweka silaha chini na focus yangu iwe kwenye kuboresha maisha yangu na kizazi changu, nimeamua kumtumia ujumbe hapo chini. "Ulinambia wazi kwa kinywa chako kuwa nimeshindwa kulea watoto, hata ukasema ‘kila...
  19. Baraka Zinazoumiza, na Laana Zinazojenga: Umezaliwa na Kipi Kinachokuletea Faraja? Na Kipi Kinakubebesha Huzuni?

    Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza: “Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?” Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini huacha mdundo fulani moyoni—wa tafakuri, wa uchungu, wa kukiri kimya kuwa maisha hayakuwahi kuwa meza...
  20. Mikopo na Mzigo Mkubwa wa Madeni Nchini Kwetu Tanzania: Wakati wa Uwajibikaji, Uwazi na Mpango Madhubuti wa Kulipa-100 Trillion

    Katika kipindi cha miaka ya karibuni mpaka budget ya jana ikisomwa na Mh. Nchemba, mzigo wa madeni kwa taifa letu la Tanzania umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na cha kutisha. Takwimu za zilizotolewa hata jana zinaonyesha kuwa deni la taifa limevuka zaidi ya shilingi trilioni 100...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…