mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaja nyumbani kwangu halafu kakaza kutoa mzigo

    Demu tulikutana kwenye mishemishe za kutafuta Door, longtime ago , japo hatukutongozana ila tulikuwa na intimacy , jana namchek kama masikhara njoo ntembelee na akaja kwel tena usiku, demu nimelala nae kitanda kimoja godoro moja ila kakaza kabisa kutoa mzigo. Anasema kila muhuni akimchakata...
  2. Ulipowalundikia Watanzania na ''Mitozo' yako hukuona kuwa unawapa Mzigo? Unafiki wako na Tamaa zako zitakugharimu pakubwa mno?

    "Napendekeza yeyote aliyeko kwenye nafasi ya kuteuliwa, akitolewa lakini akabaki kwenye utumishi wa umma, arejee pia kwenye mshahara aliokuwa analipwa kabla ya kuteuliwa, hii itawapunguzia mzigo watanzania".Waziri Nchemba. Chanzo: ITV Tanzania Yaani kuna muda huwa hata navidharau na hivi Vyuo...
  3. K

    Nchi ya Poland yajitwika mzigo wa madeni ili kujiimarisha kijeshi

    Kwa kile kinachoonekana kama kupaniki,kujishtukia & kupatwa na uoga nchi maskini ya Ulaya,Poland imeamua kufanya maamuzi ya ajabu ya kutumia mbinu zozote zile ikiwemo kukopa hovyo ili kuliimarisha jeshi lake na kujiweka tayari kwa uvamizi wa super power Russia Kwa sasa nchi ya Poland imeamua...
  4. Ujinga na Ushamba ni mzigo sana kwa Watanzania

    Bado nasema na nitasema daima , kati ya jambo ambalo bado serikali imefeli kupambana nalo ni ujinga na ushamba na ukitaka kuona nchi hii wajinga ni wengi sana basi fuatilia mijadala ya humu JF Leo Mama Samia kafanya kikao na wafanyabiashara wa Oman na ameelezea fursa ya kusafirisha wanyama hai...
  5. L

    Usafiri wa boda: Abiria just mzigo chini

    Abiria hana woga wa ajali.
  6. Nataka kuagiza mzigo Alibaba

    Wadau habari za leo naomba kupata majibu. Nina mpango wa KUAGIZA MZIGO wa mashine ya kusaga karanga. Je, nitaibiwa au ni salama mizigo itafika?
  7. Kwa wasioweza kuchuja ukweli na utapeli, mzigo mwingine huu hapa:CDC wame-prove kisa cha kwanza cha Monkey Pox US

    The Centers for Disease Control and Prevention (CDC) and the Texas Department of State Health Services says it has confirmed the first case of Monkey Pox in the US on July 15. This was detected in a U.S. resident who recently traveled from Nigeria to the United States. The person is currently...
  8. Serikali punguzeni utitiri huu wa Taasisi ni mzigo kwa walipa kodi

    Nawasalimu kwa jina la JMT..na Kazi iendelee. Ifike wakati serikali ichukue maamuzi magumu na yenye tija kwa Taifa kwa kupunguza utitiri wa Taasisi zake zilizo chini ya Wizara mbalimbali. Ukiacha kwamba hazina tija kwa Nchi bali ni mzigo mkubwa sana wa walipakodi wa Tanzania kwani zinaongeza...
  9. D

    Kumiliki bastola ni mzigo; ni salama zaidi ukiwa huna

    Kuna watu wengi sana huomba ushauri wa kumiliki bastola. Wakiamini usalama wao utaongezeka wakiwa na bastola. Kama kuna huo ulazima wa kumiliki silaha unaothibitika, nashauri mamlaka irahisishe mchakato wa kuwapatia silaha wale watu wanaothibitisha wako mazingira hatarishi ya uvamizi...
  10. Namfananisha January Makamba na Harry Maguire!

    Pale Manchester United kuna mchezaji ambaye amekua akishutumiwa na kupewa lawama nyingi kutokana na ufanisi wake uwanjani Harry Maguire hivyo hivyo kwa Waziri January Makamba ambaye wizara yake iimepoa mithili ya mchuzi wa juzi usiokua na nyama.
  11. Kariakoo kuna stendi ya karibu ya mabasi ya kwenda Mbeya ili kumtumia mtu mzigo?

    Habari zenu wakuu, Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya. Mizigo ni kava za simu
  12. Nahitaji msaada wa transporter wa kunisafirishia mzigo wangu kwenda Nakonde

    Habari wadau! Nina mzigo wangu mkubwa kidogo unataka kwenda Nakonde, Zambia. Je kuna transport er Kwa nisafirishia kutoka Dar mpaka Nakonde? Msaada jamani
  13. Niliagiza mzigo Kikuu, wanasema umefika Dar muda mrefu. Lakini bado hawajanitumia kuja mkoani, nifanyeje?

    Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
  14. Unamhonga pesa mzigo hakupi, halafu kuna boya mmoja anamtafuna bure

    Hellow wakuu, Hawa wanawake hawa wanatuchezea sana akili, unamtongoza anaanza kula pesa zako mzigo hakupi, au anaweza kukupa mara moja kisha akakupiga parefu kymbe wakati huo kuna boya mmoja anamkamua bure kabisa bila kumpa chochote, Basi ALLAN ROGER CURRIE anakuletea suluhisho ktk kitabu...
  15. Niliagiza mzigo Aliexpress lakini nilikuwa sijafungua sanduku la posta. Je, naweza kuupata?

    Habari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je naweza kuupata kweli mzigo au ndo imesha kula kwangu? Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili wajuzi
  16. Rais Samia: Wanawake wengi waliambukizwa Uviko-19, walibeba mzigo mkubwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia katika maadhimisho ya 'Siku ya Wanawake Duniani', Zanzibar, hivi ni baadhi ya kauli zake: "Tunajua kwamba wanawake wengi wanajishughulisha na biashara ndogondogo ambazo hazipo kisheria na hazina kanuni, na sasa tunataka...
  17. Nitajie aina ya Simu, laptop, camera, iPad nikuagizie kwa gharama zangu. Utalipia mzigo baada ya kufika

    Habari wana mzengo! Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe ordar nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo wako
  18. Mchimbo Dubai: Tujuzane namna ya kufika, maisha yalivyo, machimbo ya bidhaa na kuufikisha mzigo Bongo.

    Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo. Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano. Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua...
  19. 5

    Mzigo wa tatu hadi jana umetua rasmi kule Ukraine toka Marekani, wale wanaosema NATO wanatania

    Nimesoma na kuona hizi habari kupitia vyombo vya Habari kama CNN TV, Al-Jazeera, BBC kwamba mzigo wa tatu rasmi umetua KIEV ukitoa ule wa tani 80 wa mara ya pili. Nilisoma humu kuna watu wanadai NATO na Marekani wanatania tania lakini pia Troops zinamiminika Ukraine kwa upande wa Nato pia...
  20. Waziri Ummy Mwalimu azitaka Hospitali za Rufaa kuboresha huduma ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Waziri Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali za Rufaa kuboresha huduma ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa Muhimbili, Amesema hospitali za kanda, rufani, mikoa na wilaya huwa wanawahamisha wagonjwa wenye matatizo wanayoweza kuyatibu kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Agizo hilo alilitoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…