mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Nanunua Vanilla kuanzia kilo 200 grade one, mzigo uwe DSM

    Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, kama unauza vanilla grade one (kuanzia sentimita 13 na kuendelea) njoo PM kwa mazungumzo zaidi. Iwe Dar es Salaam..... Call/Whatsapp: 0710535327
  2. Dini imeleta neema au ni mzigo kwa nchi za Afrika?

    Je, dini imekuja kuikomboa Afrika au kuiangusha?
  3. Neno mzigo Lina maana nyingi sana

    Neno mzigo Lina maana nyingi sana.... Mzigo - pesa ....Utasikia jamaa ana mzigo.. Mzigo - mchepuko...Utasikia Yule dada mzigo wa jamaa... Mzigo- makalio makubwa ...Utasikia Yule dada ana mzigo.... Mzigo ..-kifurushi... Mzigo - mtu asiekuwa na faida.. Utasikia jamaa keshakuwa mzigo Kwa familia...
  4. Hawa mashabiki wangeweka mzigo (betting) wangevuna hela

    Hao watatu walisema Simba itashida 3-0. Huyo mmoja naye akasema Jenerali Moses Phiri atafunga goli. Yote hayo yametokea
  5. Masanja amsamehe mke wake, kakubali yaishe maisha ya ndoa yaendelee

    Kayaandika haya KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!! Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa. NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU. Hili nalo litapita🙏🏿 TUOMBEENI NASI TUNAOMBA. MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
  6. J

    Uholanzi itatoa baiskeli 2,000 kwa Ukraine kusaidia utoaji bora wa huduma za afya

    Nertherland: Manispaa ya Amsterdam imepanga kujitolea msaada wa baiskeli 2000 kwa nchi ya Ukraine katika mpango mkakati wa kusaidia utoaji bora wa huduma za afya. Mpango huu una lengo la kuongeza ufanisi miongoni mwa madaktari mbalimbali nchini Ukraine. ========== Dutch Stichting Zeilen Van...
  7. Kwa wenye maduka ya jumla na reja reja nina mzigo

    Kwema wakuu, Nafanya sole distribution ya bidhaa zifuatazo kwenu wenye maduka ya bidhaa muhimu ama FMCG na hata Pharmacy. 1.Sabuni za Ariel size zote (35gm, 500gm,1kg, 1.5kg. 3.5kg) 2.Always sanitary pads aina zote. (Long, Extra long) Cottony Soft, Maxi Soft, Ultra. 3.Gillete Razors(Silver...
  8. Feminism imewaongezea Wanawake mzigo mzito zaidi kuliko walivyotarajia

    Anaandika, Robert Heriel Angalizo; lugha itakayotumika inaweza isiwe nzuri. Hivyo Kama ni mwepesi WA mihemko basi unashauriwa kuishia hapahapa. Endapo utaendelea kusoma, na ukapata madhara yoyote ya kihisia au kisaikolojia basi sitakuwa sehemu ya lawama. Nafahamu ili familia ianguke basi Mama...
  9. Hili ndo jukumu kubwa la Mwanaume Kiasili. Mengine ni kuzidishiwa tu na kupewa Mzigo. Tujitambue

    Binadamu tuna asili ya wanyama kiasi flani. Na tabia nyingi za Wanyama zinahusiana na Binadamu. Kiasili suala la kulea watoto ni la Wanawake. Ndiyo. Wanaume kazi yao ni kutia mimba halafu wanapaswa waendelee na safari zao. Yaani kama umetoka Dar kwa miguu unaenda Tanga. Basi wewe kila kijiji...
  10. Ujerumani: Euro bilioni 65 kutolewa kwa wananchi kukabiliana na gharama za maisha

    Huwa tunawaambiaga watu waache fikra za kimaskini kuhusu mataifa ya magharibi ,jamaa wameshusha zigo la trillion zaid ya mia,kibongobongo tunaila miaka 3. Huwa nashindwa kuwaelewa baadhi ya watu wanawachukulia poa sana haya mataifa ya west,kiufupi hawa jamaa walishaendelea sana kimaisha...
  11. Serikali ingefanya haya kama mbadala kuwatua wananchi mzigo wa tozo

    Kuweka usimamizi mzuri wa fedha za umma, kuhakikisha fedha zote zitokanazo na ushuru, madini, utalii na kodi mbalimbali zinaingia mahali stahiki. Kupunguza matumizi na gharama zisizo za lazima kama kununua magari ya gharama kubwa, safari zisizo za lazima kwa viongozi, na kupunguza misururu ya...
  12. L

    Nchi za Magharibi ndio wahusika wakuu wa mzigo wa madeni wa Afrika

    Katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na changamoto mbalimbali, mzigo wa madeni wa nchi za Afrika umeongezeka. Baadhi ya nchi za magharibi zinadai kuwa China ndio inaibebesha Afrika “mtego wa madeni”. Lakini ukweli ni kwamba, nchi hizo ndio wahusika wakuu wa mzigo wa madeni wa Afrika. Katika...
  13. Azzan Zungu, umetubebesha mzigo wa tozo watanzania

    Wewe ndo ulipeleka bungeni kwa mara ya kwanza pendekezo hili la tozo. Umesababisha watanzania tuwe tunalipa kodi mara mbili mbili. Umefungua mlango ambao kila mtu mwenye roho mbaya na roho ya wizi waanze kupita kwenye mlango huo. Nisiongee Sana niende tu moja kwa moja kwenye lengo. Binafsi...
  14. M

    Aliachana na mumewe baada ya kupima HIV yeye akaonekana hana maambukizi. Anataka anipe mzigo. Je nipige?

    Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15. Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive. Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
  15. Mzigo wa HIMARs nne zaidi kutua Ukraine kwa ajili ya kuendeleza mateso kwa Urusi

    Haya madude yamesababisha Warusi wapoteane, wanayasaka usiku na mchana, bado hawajatulia kuna mzigo mwingine unafaulishwa wa HIMARS nne... U.S. Defense Secretary Lloyd Austin on Wednesday announced the United States will provide Ukraine with four more M142 High Mobility Artillery Rocket Systems...
  16. Uzi kwa wanao nunua spare za magari mzigo chimbo bei chee , CV joint za magari yote

    Obs Company tupo kwenye wiki ya CV JOINT Karibuni wote wana JF wanaopenda kununa spare za magari kwe bei ya Jumla , Mzigo wa CV joints umeishaingia Dukani karibuni dukani kwetu mjipatie Spare za Magari kwa bei ya jumla sawa kama bure Spare zetu za magari ni Mpya kabisa na imara kwa matumizi...
  17. Malori manne ya mafuta yakamatwa yakiingiza vipodozi vilivyopigwa marufuku Nchini, mzigo umetokea DRC

    Malori manne ya mafuta ya Kampuni ya Lake Oil yamekamatwa Mkoani Songwe yakiwa yamebeba shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku Nchini ambayo yalikuwa yakitokea DRC huku madereva wa magari hayo wakiyatelekeza. Meneja Ukaguzi wa Kampuni ya Lake Oil, Ali Sharif amesema magari yao yana mfumo wa...
  18. Ulifanya nini mwanamke alipotishia kupiga kelele kuwa unambaka baada ya kukataa kufanya mapenzi?

    Nimewaza tu hapa, Dem ni kama tayari unaona mmeshapatana upande wa pwani kinchosubiriwa ni kwenda baharini kuvua, Ila cha ajabu anakuja mpaka chumba unacholala au mnaenda lodge ila anakataa kutoa mbususu ..... ile umeanza kama kulazimisha hivi analeta ubishi hataki na anatishia kupiga kelele...
  19. Sasa ni rasmi Mzigo Umekata, Aziza Kazimaliza zote Boss hakutoa Hela, ila Wabunge ndiyo walichangishana Kuokoa Jahazi

    Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
  20. Sekta binafsi isije kuwa mzigo kwa umma kutokana na mtazamo wa Rais Samia

    Kila nikimsikiliza rais Samia kuhusu mtazamo wake kushirikisha sekta binsfsi kutoa huduma kwa umma nakua na mashaka. Sekta binafsi ni watafutaji wa faida. Dhana ya kusema serikali ishirikiane na sekta binafsi kutoa huduma kama afya elimu etc lazima itafsiriwe vyema isiweze kutumika vibaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…