mzazi

Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini pale unapomuambia mzazi wako mchumba wako wa kike ni mjita, mkerewe, mmachame, mnyantuzu au mswahili wa pwani lazima sura imshuke

    Nini iko mbaya.
  2. JamiiForums Tanzania Serikali; mzazi anayetaka na kudai matunzo ya mtoto asikae na Mtoto. Full stop!

    SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama. Huruma sio malezi. Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa. Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
  3. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mzazi amzawadia mwanae Sungura kwenye Mahafali ya Kidato cha Nne

    Mzazi Daniel Kapangala amemzawadia mwanae sungura wawili ambao ni jike na dume katika mahafali ya kuhitimu Kidato cha Nne yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari Tembela iliyopo Kata ya Itewe, Halmashauri ya Mbeya, Shule hiyo inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  4. 1

    JamiiForums Tanzania “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo

    “TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓 Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo. UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽 Tunaiomba UDSM: • Itoe...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu kukamatwa kwa mama yangu Buza, bila uthibitisho wa makosa aliyoyafanya

    Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wako anasoma CBC? Fahamu madarasa, mitihani, gharama na nafasi yako kama mzazi.

    Mfumo wa elimu unaotumiwa na watoto wengi nchini Kenya umebadilika kutoka mfumo wa 8-4-4 hadi mfumo wa elimu unaozingatia uwezo, vipaji na ujuzi wa mwanafunzi, unaojulikana kama Competency-Based Curriculum (CBC). Mabadiliko haya yamezua maswali miongoni mwa wazazi na walezi. CBC inamaanisha...
  7. JamiiForums Tanzania Ewe Mzazi somesha ila andaa mpango mbadala kwa ajili ya mwanao, akikosa ajira mpango mbadala utamuokoa

    Ewe Mzazi Somesha mtoto kwa gharama Nursery lipa ada (mwaka 1) Primary lipa ada (miaka 6) Secondary lipa ada (miaka 4) A-level lipa ada ( miaka 2) Chuo lipa Ada (miaka 3) Wastani wa ada na gharama zingine kwa mwaka ni 1.5m hadi 2.5m Jumla ya miaka ni 16 Ukizidisha range ya ada ni 24m hadi 40m...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mzazi umefunga wifi nyumbani na unaruhusu watoto waitumie bila mipaka, unasubiri kuvuna ulichopanda ?

    Hongera kwa kufunga wifi lakini umewahi kuwaza matumizi yake kwa hao watoto wako wanaoitumia ?
  9. JamiiForums Tanzania Sio kila baba ni mzazi hii pia imepelekea malezi ya single parenting kuongezeka kasi ila lawama zote anatupiwa mama na mama mkwe

  10. JamiiForums Tanzania Hakuna siku ngumu kwa mzazi kama ya kumpeleka shule mtoto kwa mara ya kwanza

    Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hospitali nzuri ya private ambayo mzazi anaweza kujifungulia chanika Dar

    Nauliza kwa wenyeji wa Chanika, kuacha hospital ya Nguvukazi, hospital Gani Bora ambayo mama mjamzito anaweza akajifungua, sehemu ambayo wanatoa huduma hizo za uhakika na clinic ya wajawazito.
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke nimezaa nae lakini anakata na kuyaunga mawasiliano anavyotaka yeye je hii sawa kwa mzazi wa kiumbe?

    Mimi nimezaa na mwanamke mtoto mmoja nikawa nahudumia bila shida yoyote aidha kwa kuambiwa au kwa kujiongeza mwenyewe mara kadha wa kadha alikuwa anakata mawasiliano yaani huambiwi chochote kuhusu mtoto yaani iwe mahitaji au afya ya mtoto baada ya muda kadhaa(miezi) anakutafuta ndo unapata...
  13. JamiiForums Tanzania Karma ingekuwa ipo na inafanya kazi ingewapata wanasiasa ila hakuna kitu kinatokea

    Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
  14. JamiiForums Tanzania Hakuna kitu kinaitwa baraka za wazazi au laana ya mzazi na hakuna kitu kinaitwa karma zote hizi ni nadharia za kutiana moyo

    Hakuna kitu kinaitwa baraka za wazazi au laana ya mzazi na hakuna kitu kinaitwa karma zote hizi ni nadharia za kutiana moyo
  15. JamiiForums Tanzania Iganzo sekondari wamegoma kupokea maagizo ya wizara ya elimu, waendeleza unyanyasaji kwa mwanafunzi na mzazi wake

    Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi. UZI: MAMA ALAZIMISHWA KUSAINI BARUA YA MTOTO WAKE KUACHA SHULE Jumatatu tulifanikiwa kuwapigia simu...
  16. JamiiForums Tanzania Iganzo sekondari: Mtoto alazimishwa kuandika barua ya kuacha shule, mzazi atolewa nje

    Habari wanajamii? Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule. Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule Baada ya kuongea na mama, tulikubaliana kuwa leo aende tena shuleni kuongea na walimu kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Usikute Wema na Whozu walinunua mtoto kwa mkataba wa mzazi kutojihusisha na chochote kuhusu mtoto.

    Nitakuwa wa mwisho kuamini hapa duniani kama huyu Olie ni mtoto wa Wema na Whozu . Ninadhani kuna uwezekano mkubwa huyu mtoto amenunuliwa kwa pesa ndefu sana huku siri ikibaki baina ya wazazi, medical personnels na wazazi wa kambo yani Wema na Whozu. Huenda kuna kiapo cha maandishi cha...
  18. JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa tunu shekhome amefariki dunia usiku huu hospital ya kairuki

    Pole sana tunu wewe na dada mwajabu shekhome poleni sana . Mungu ni mja wa.wote I niliahidi... Nipo pamoja nanyi
  19. JamiiForums Tanzania Kama mzazi na kama kuna wazazi hapa JF tuungane kurekebisha elimu ya tanzania naona kama ni vichekesho.

    Wengine tujasomea lugha ila tumesomea mambo mengine ila mtoto anakwenda form six na muuliza unachokwenda kusomea unakijua,wala haelewei nacho kwenda kusoma na yeye kutaka kuwa nani. Huyu mwengine yupo chuo kikuu ili mradi yupo chuo kikuu hata kutengeneza code zinamshinda wakati sisi tulisoma...
  20. JamiiForums Tanzania Mauaji ya mzazi huko mwananyamala

    Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli. Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini akijishuhurisha na biashara,akiwa huko kila alichokuwa akipata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…