Mwita Mwikwabe Waitara (born 17 July 1976) is a Tanzanian politician and a member of the CCM political party. He was elected MP representing Ukonga in 2015.He left his political party CHADEMA and join CCM from 28 July 2018. On 10 November 2018 he was appointed as Deputy Minister of State by President John Magufuli. On 13 November 2018 he was officially sworn in as Deputy Minister of State in the President's Office, Regional Administration and Local Government.
Baada ya kampeni ya Dudu baya ya kuwasihi vijana wa Kitanzania kulinda migongo yao kwani hali ya usagaji ni mbaya kwa sasa nchini Tanzania kushika kasi na kusikika kila kona aliitwa kwenye kikao Dodoma na baada ya kutoka huko amekuwa kimya kabisa!, ikumbukwe Dudubaya baada ya kutoka kwenye hicho...
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema amepokea vitisho baada ya kutoa maoni yake Bungeni akipinga vitendo vya ushoga na usagaji.
Akizungumza leo, Novemba 6, 2026 nje ya viunga vya Bunge jijini Dodoma, Waitara amesema mmoja wa wabunge alimfuata na kumuuliza kwa nini anawashinikiza...
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amesema Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, pamoja na wengine waliohusika katika mchakato wa ujenzi wa Uwanja wa Arusha, walipaswa kuchukuliwa hatua za kisheria, ikiwemo kufungwa jela.
Akichangia mjadala wa Bunge...
Mbunge Mwita Waitara amesema suala la Katiba Mpya ni jambo muhimu kwa Tanzania, akieleza kuwa kuna mambo matatu ambayo wananchi wanayataka, likiwamo kuwepo kwa Tume Huru ya Uchaguzi ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki kwa vyama vyote bila kujali upande wa kisiasa.
Waitara amesema...
Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema rushwa ni tatizo kubwa katika mchakato wa uchaguzi, akidai kuwa katika uchaguzi uliopita baadhi ya watu waliteuliwa kwa sababu ya kuwa na fedha na uwezo wa kugawa...
Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema Ripoti nyingi zinaonyesha tatizo kubwa la nchi hii ni rushwa ambayo inakwamisha maendeleo mengi, akisitiza kuwa rushwa imekithiri hasa siku za hivi karibuni...
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameweka wazi kuwa uamuzi wake wa kuhama kutoka chama cha upinzani (CHADEMA) na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2018 haukusukumwa na fedha au ushawishi wa kupewa nafasi, bali ulitokana na maridhiano ya kifikra na maono ya maendeleo...
Akizungumza katika mahojiano na M & S Podcast yaliyorushwa Agosti 12, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, amefunguka kuhusu mambo yaliyokuwa yakiendelea ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akidai mambo yalibadilika chama kikajaa fitina, figisu, usaliti na...
Kama mnavyofahamu, kumekuwa na mvutano mkubwa wa kisheria kati ya Bw. Eliakim Chacha Maswi na Mbunge Mwita Waitara, ukihusisha fidia ya mabilioni ya shilingi.
Leo nimepitia hukumu mpya ya Mahakama ya Rufaa kupitia hukumu iliyotolewa leo tarehe 29 Julai 2026, na nimeona ni vyema niwaletee...
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara ameitaka Serikali kuweka sheria kali kwa wabadhirifu wa fedha za umma ikiwemo kuwanyonga mpaka kufa ili kudumisha nidhamu.
Ametoa ushauri huo Bungeni, wakati wa mjadala wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha...
Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mbunge anayemaliza muda wake wa Jimbo la Tarime Vijijini, mkoani Mara, Mwita Waitara leo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea ubunge kwa mara nyingine katika jimbo hilo.
Amesema anaamini ataungwa mkono na wananchi wa jimbo lake kutokana na namna alivyowatumikia
Siku ya leo Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mheshimiwa Mwita Mwikwabe Waitara ameitwa kwenye kamati ya madili ya Chama wilaya kuhojiwa juu ya tuhuma zinazomkabili.
Miongoni mwa tuhuma hizo ni;
1. Kuandaa na kulipa genge la vijana kumzomea Mwenyekiti wa CCM Wilaya akiwa katika majukumu ya...
Mwita Waitara(kushoto) akiwa na Eliakim Maswi
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Ndugu Eliakim Chacha Maswi alifungua kesi dhidi ya Waitara baada ya Waitara kumdharirisha kuwa wakati alikuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Manunuzi PPRA alikuwa pale kwa ajili ya kuiba.
Ndugu Maswi alimpa...
"Ukitaka kufanya siasa safi hapa Mkoa wa Mara lazima tuambiane ukweli na kama ni jipu tulitoboe, tulikamue, tutoe kiini na mimi ningekuwa na uwezo ningefuta Kamati ya siasa ya Musoma Mjini, ningefuta Kamati ya siasa ya Tarime. Haki ya Mungu ningefuta. Its very Unfair. Hata kama hawamtaki Mbunge...
Mbunge Mwita Waitara wa jimbo la Tarime Vijijini mkoani Mara, amehoji endapo Serikali itakuwa tayari kufunga mashine ya kupima ushoga na usagaji bungeni kama sehemu ya wawakilishi hao wa wananchi kuonesha uwajibikaji kwa vitendo.
Waitara amehoji suala hilo leo Mei 20, 2025 kwa Waziri wa Katiba...
Mbunge wa Tarime vijijini ameibuka na Vijana wanao Beti na kusema somo hilo watu wanasoma kutoka shuleni. Amesema hata yeye amesoma darasani kuhusu mambo ya kubeti huku akitolea mfano na karatasi kubwa bungeni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.