Baada ya mihangaiko, iliyoumuisha kiburi na jeuri blackberry imezikwa jana,
Blackberry aliweza kukataa mabadiliko, na hivyo kuchukua muda mrefu hadi kushtuka, wakati ambapo kaishapoteza mamilioni ya wateja, wasiopenda mambo ya old school.
katika maelezo yao blackberry wamewahi kusema iwapo...