mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waombolezaji watoa Heshima za Mwisho wa Mwigizaji Grace Mapunda (Tessa) bila kufunguliwa Jeneza

    Mwili wa msanii, Grace Mapunda maarufu 'Tesa' umeagwa bila jeneza lake kufunuliwa. Huo ulikuwa ni utaratibu wa familia ambao ulitangaza kutofunua jeneza lenye mwili wa muigizaji huyo. Taarifa hiyo imetolewa na mdogo wa marehemu, Moses Mapunda. Baada ya taarifa hiyo, baadhi ya waombolezaji...
  2. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga uingilie kati haraka na mapema kabla timu haijaharibiwa...Kipo kitu Manara anakitambua juu ya Kusuasua kwa Yanga

    Manara Ni kama vile amefurahia kilichoipata Yanga Siku ya jana. Nanusa harufu ya hujuma dhidi ya Yanga.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa kibamba mwisho tzs. 60m...Eneo 1044 sqm

    Nyumba Inauzwa milioni 60 maongezi yapo Location📍IPO KIBAMBA NJIAPANDA YA SHULE -Nyumba ina vyumba 3 vya kulala, Vyumba viwili ni master, dinning room, sitting room, kitchen na public Toilet Nyumba ipo 3Kms kutoka morogoro rd na ipo kwenye barabara ya mtaa (Hondogo) -Plot size Sqm 1044...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara inayohusika na Sayansi na teknolojia ije na Sera ya kuharakisha maendeleo ya teknolojia ya Anga za mbali

    Ni muda muafaka sasa wa kubadilisha muelekeo wa kutweka jahazi la mama Tanzania. Wenzetu duniani wanakimbia sana kwenye swala la teknolojia ...na wanachokifanya ni kimoja tu...kila wazo liwe la mzaha au lenye ambition kubwa wanalifanyia kazi. Turejee ideas na values za jamii ya kiasili iliyopo...
  5. JamiiForums Tanzania Je Wazungu wapo kwenye matayarisho ya Mwisho ya kuihama dunia?

    Nikiangazia trend za kisiasa ambapo watu wenye asili ya Afrika wanachukua hatamu za kimamlaka na maeneo mengine muhimu basi napata hisia hawa wenzetu wapo kwenye hatua za mwisho za kiuhama dunia na kwenda sayari nyingine. Watakuwa wanakuja duniani kama aliens wakiwa na sophisticated...
  6. JamiiForums Tanzania Shetani atakapochapisha Kitabu chake, utapeli wa dini utakoma, kila lawama kwake, yeye kimya tu!

    Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake. Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu. Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai. Kitabu...
  7. JamiiForums Tanzania Armageddon: Nuclear Winter - Matokeo ya vita vya nuclear na Mwisho wa mwanadamu kuishi duniani

    Utangulizi Za leo wana JF. Kama kawaida yangu katika kuelisha watanzania ili waweze kuijua kweli. Matishio haya na uvumbuzi wa hizi silaha za maangamizi hayana nia njema katika dunia yetu hii. Leo nitaongelea kuhusu Mabomu ya nuclear na matokeo ya Neclear Winter na mwisho wa binadamu kuishi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania inafumbia macho suala ushoga, mwisho wake hautokua mzuri

    Tanzania ushoga upo na kama hili swala halitadhibitiwa mapema yawezaka ikachukua kizazi kizima (wastan wa miaka 100) kutokomeza kulithibiti Siku hizi wana majina yao wanajiita watoto wa kimjinimjini wapo TikTok, telegram, Facebook na Instagram. Zamani kupata mtoto wa kiume ilikua furaha...
  9. JamiiForums Tanzania Nakukumbusha tena, "acha kubeti" mwisho wa betting sio mzuri

    Kijana acha kubeti, amua kuachana na utumwa huo bettingi haitakuacha salama Katika betting sio tu unapoteza pesa bali unapoteza na uwezo wa kufikiri, ubunifu nk Betting inaweza kuathiri sana akili ya mtu, na mara nyingi athari hizi hujikita taratibu, hivyo kuwa ngumu kugundulika mapema. Athari...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin aionya Iran kuwa ikithubutu kujibu shambulizi la Israeli huo ndiyo utakuwa mwisho wake!

    Wadau hamjamboni nyote? Wakati mvutano unaendelea huko Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi ya kisasi ya Israel dhidi ya Iran, Marekani imeionya Tehran dhidi ya mipango yoyote wa kulipiza kisasi. Pentagon imesema kuwa mashambulizi ya Israel ya Jumamosi yanakusudiwa kumaliza uhasama kati ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunawaambia kuwa Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) huwa hatuna Masihara katika kutoa Maamuzi ya Kiume na ya mwisho muwe Mnatuelewa sawa?

    Ally Zedi Rajabu mtia nia wa nafasi ya uenyekiti wa mtaa wa Kitaji, Manispaa ya Musoma mkoani Mara amehamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kushindwa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa madai ya mgombea mwenza kutumia rushwa na majina ya watu wanaodaiwa...
  12. JamiiForums Tanzania ‘Tuma kwa namba hii’ wapatiwa muarubaini, mwisho wao umefika

    Napendekeza kanuni mpya! Kanuni mpya ni kwamba, NIDA moja hairuhusiwi kusajili zaidi ya namba moja kwa mwezi. Sasa mtu NIDA yake ikitumika kufsnys utapeli kwa laini iliyosajiliwa baada ya kuanza kanuni hii mpya atatueleza, wakala alimsajilisha vipi namba ya ziada? Maana yake mwenye NIDA ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Safari ya Mwisho Kuliendea Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith Pangani

    https://youtu.be/-SGlpOTy4pA?si=Mxbk6h2zHWYZpzLh
  14. JamiiForums Tanzania Kuhonga mwisho Shilingi ngapi?

    Bei elekezi ya kuhonga mwisho Tsh ngapi? Maisha yamebana Sana aisee
  15. JamiiForums Tanzania Tuliokataa kukeshout mikeka yetu wakati tunasoma miaka kuanzia 2010 tukasema tuvumilie mwisho tumechaniwa.

    Huu ndiyo ukweli mchungu, wale waliojiongeza kwenda kusomea ualimu daraja la 111A, unesi na ukunga pamoja na fani zingine zikiwemo upolisi kimtindo mikeka yao imetiki means walichukua kidogo ila Cha kuwafaa. Wanangu wengine waligoma kukeshout mikeka yao wakala shule mpaka chuo kikuu mwisho wa...
  16. JamiiForums Tanzania 98% ya wanawake wanaweza kuwa makahaba kama option ya mwisho kujipatia kipato. Kwahiyo hakuna mwanamke aliyetulia. Dhiki hazijampata huyo

    2% tu ya wanaume wakipigwa na maisha huwaza kuuza sehemu zao za siri kujipatia kipato huku wanawake zaidi ya 98% wakipigwa na maisha ipasavyo wako tayari kuuza sehemu zao za siri ili kupata kipato na kutatua shida zao . Mwanaume jitahidi umpe mke wako mahitaji yake muhimu na tuhela kidogo ili...
  17. U

    JamiiForums Tanzania KERO Hewa ya Mabibo Mwisho ni mbaya na chafu sana eneo la Stendi

    Kwema. Jamani kama Kuna watu wanavuta HEWA CHAFU hapa Dsm basi ni hawa watu wa mabibo mwisho hasa karbu na stendi Kwa ambao ambao hawajafika hili eneo Lina bwawa la maji taka Kuna mabwawa makubwa mawili aisee yanaleta harufu Kali sana sasa ukitembea maneno karbu na hata mabwawa stendi...
  18. JamiiForums Tanzania Tabiri mechi ya Simba Vs Yanga itaishaje baada ya filimbi ya mwisho

    Kama uzi unavyojieleza; Simba 2-1 Yanga Twende kazi,tuone utabiri wako…
  19. JamiiForums Tanzania Siku ya mwisho CCM nisipowakuta Jehanamu, nitaweka pingamizi huko kwa Mungu

    Nitakuwa na maswali haya kwenye pingamizi langu huko akhera Mwizi wa kura hastahili jehanamu? Je mwizi wa kodi za wanachi, hasitahili Jehanamu? Mdanganyaifu wa wananchi kuwa ataletea maendeleo badala yake anawaletea shubiri, hasitahili jehanam? Mwizi wa rasilimali za Tanzania kupitia...
  20. JamiiForums Tanzania Huu ndo mtiririko wa Maisha yangu ulivyo na utakavyokuwa kuanzia sasa

    Baada mchakato mzima wa utafutaji, utafanikiwa kupata riziki na maisha mazuri na kuinuliwa. Baada ya hapo atapatikana mwanamke ambaye utaamua ufanye engagement na yeye (kumtabulisha na kumvisha pete) Siku zitaenda itakuwa Asubuhi na itakuwa mchana na hatimaye ndani ya uchumba wenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…