mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Ubadilishaji wa Noti za Zamani Mwisho Kesho

    Zoezi la ubadilishwaji wa noti za zamani lililoanza tarehe 06 Januari 2025 linatarajiwa kumalizika tarehe 05 Aprili 2025 ambapo matumizi ya noti hizo yatafikia ukomo wa kuwa fedha halali za Tanzania. Baada ya tarehe hiyo, mtu yeyote au taasisi yoyote inayomiliki fedha hizo haitaruhusiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba za mwisho wa mwezi za Rais Mkapa

    1. Mheshimiwa Rais Mkapa aliweka utaratibu wa kuhutubia/kugombeza Taifa kila mwisho wa mwezi. 2. JK akajaribu hakufanikiwa. 3 (a) Shujaa ndo vile tena!. (b) Ni utaratibu mzuri kuelezea masuala ya Kitaifa kuliko kusubiria matukio ya msimu.
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  4. JamiiForums Tanzania Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

  5. JamiiForums Tanzania Nimegundua nipo kwenye level ya mwisho kabisa ya Maumivu

    Champion popote ulipo Amani iwe nawe. Level ya mwisho ya Maumivu kwa mwanadamu ni pale unapo achilia kicheko ili kuziba mwanya wa maumivu(demage) na si kuhuzunika. Kupitia maumivu nimeyatambua haya: 1: Ukiwa hapa Duniani, Ukiwa umepigika jua hiyo ndo jehanamu yako, achana na story za kuna...
  6. JamiiForums Tanzania Picha ya ndege kufanya kazi mwisho saa sita usiku

    Nadhani Sisi sote tupo salama wakuu, bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 18.03.2025 majira ya Saa nne usiku wakati narudi Kutoka mihangaikoni nikashuka kituoni kwangu Kibaha picha ya ndege. Kutoka picha ya ndege mpaka ninapokaa Pana umbali kidogo kwa hiyo kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tengeneza Zaidi ya $300 Kwa Mwezi na YouTube Channel za Hadithi Unahitaji simu na internet Tu ! Soma Mpaka Mwisho ( UZI 🧵 )

    It's Heritage Tech !
  8. JamiiForums Tanzania Mchambuzi na Mwandishi Nguli wa Michezo Tanzania Saleh Jembe apiga msumari wa mwisho na pale pale katika Mshono kwa Yanga SC

    "Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu wanaridhika na maisha duni wakati wengine wanapambana hadi mwisho?

    Kuna uwezekano mkubwa wa kuishi maisha mazuri na yenye raha hapa duniani. Lakini ajabu kuna watu wanaridhika kuishi maisha duni. Wasiokubali kuishi maisha ya kimaskini wanapambana hadi mwisho. Wanaoridhika kubaki maskini huamini kwamba walizaliwa kwa bahati mbaya na hawana uwezo wa kubadilisha...
  10. JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata mbezi mwisho kama mitano tu

    Naombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
  11. JamiiForums Tanzania Je, Nimwinde Wapi Mpenzi Wangu? Mwisho wa Kutembeza CV Barabarani!

    Wadau wa Jamiiforums, Habari Zenu? Natumai mpo fresh na maisha hayajakubana sana kama viatu vya ndugu yangu Juma vilivyojaa viraka. Leo nimekuja na kero kubwa inayowasumbua wengi, hasa mabachelor wa mtaani kutafuta mpenzi! Yaani, kila siku unakutana na dada mmoja barabarani, unajifanya kama...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pwani: Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura kufanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 13 hadi 19 Februari, 2025

    Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
  13. JamiiForums Tanzania Ikiwa Leo freeman mbowe ataanzisha chama kipya Cha siasa maelfu ya wanachadema wataungana nae na huo utakuwa mwisho wa chadema

    Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom...
  14. JamiiForums Tanzania Bajeti yako ya mwisho kabisa kwenye kununua simu ni shilinga ngapi?

    Huwezi kununua simu inayozidi sh ngapi? Tushirikishe…
  15. JamiiForums Tanzania Kikao cha mwisho tulikubaliana kuwa tutauza umeme nje, kulikoni sisi ndo tunanunua tena?

    Kikao cha mwisho tulikubaliana kuwa bwawa likikamilika hatutahangaika tena kuhusu umeme, zaidi tutakuwa na umeme wa kutosha hadi tutauza kwa majirani. Ghafla mama akiwa Same amesema itabidi tununue umeme Ili kuzuia umeme kukatika Kanda ya kaskazini. Kwaiyo mheshimiwa Samia tukuamini kwenye...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nimefika mwisho, madeni yamenichosha!

    Kila siku
  17. JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwanzo na mwisho wa Kagame?? Marekani kuisaidia kijeshi DRC!

    Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua! Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT 8 Mar, 2025 19:36...
  18. JamiiForums Tanzania Nini adhabu ya timu ngeni kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho?

    Je, kwenye mashindano yanayosimamiwa na TFF na CAF zipo timu ambazo ziliwahi kucheza mechi bila timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mechi?. Je, Kuna timu duniani ambazo zilipewa adhabu kwa kuzuia timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho? Kama zipo, zilipewa adhabu gani? na je...
  19. JamiiForums Tanzania Leo ndio itakuwa mara yangu ya mwisho kupanda mwendokasi

    Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
  20. JamiiForums Tanzania Kwa kilichotokea, leo ndiyo mara yangu ya mwisho kupanda mwendokasi🙌

    Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu. Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi. Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi nikakata tiketi nikasubiri pamoja na abiria wengine kama nusu saa hivi, mpaka dakiki40. Ikaja gari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…