mwingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alloyce PR

    Wakati mwingine, ukimya ni hekima: tafuta pesa, ishi maisha yako!

  2. N

    UPENDO UMEISHA?? Baba na Mama zetu (1970s) walikuwa wanawaleta mjini Dar Es Salaam ndugu zao wa mama mwingine (Half brothers & Sisters)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Unakuta babu alikuwa na wake wanne miaka hiyo 1970s. Ila mtoto mkubwa kabisa wa mke mkubwa alimaliza secondary Ilboru, akasoma University of Dar Es Salaam, akafanikiwa kupata kazi mwaka 1985 NBC au Shirika la reli, anamchukua mdogo wake (mtoto wa mama wa kambo mke wa...
  3. ChoiceVariable

    Maopareta wameamua kama mbwai na iwe mbwai, Mwingine abomoa Ofisi ya Serikali Kwa Excavator.

    Baada ya yule wa Bongo ku trend Kuna mwingine huko China nae amekiwasha Kwa kubokoa jengo la serikali kabla ya Polisi kuwahi na kumtia nguvuni. https://www.instagram.com/reel/Dfl_hKuitVJ/?exln=bnpiazE2Y2pzbWVp My Take Hawa wapuuzi Huwa wanaua na kufukia wenzao chini.Wasimamizi kuweni maskini...
  4. A

    POLISI TANZANIA WAZIDI KUTAMBA KIMATAIFA; MMOJA AIBUKA BORA KATIKA WANAFUNZI 139 KUTOKA MATAIFA 29, MWINGINE AWABWAGA WENZAKE 200 NCHI ZINAZOZUNGUMZA

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  5. A

    Polisi Tanzania wazidi kutamba kimataifa; mmoja aibuka bora katika wanafunzi 139 kutoka mataifa 29, mwingine awabwaga wenzake 200 nchi zinazozungumza

    Askari wawili wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Koladinna Mahundi kutoka Mkoa wa Ruvuma na Inspekta Salum Ng'anzi kutoka Chuo cha Polisi Moshi, wamepewa uzito wa kipekee baada ya kuibuka washindi kimataifa, kwa kudhihirisha uwezo wa askari hao, hivyo kuiletea heshima nchi yao. Kamanda wa...
  6. Sifi Leo

    Mwabukusi,Pascally Mayalla,toeni porojo kwenye mitandao,kama mnaona Lissu kaonewa tunawasubilia jumatatu kupitia TLS mwingine barabarani kuipinga huku

    Toeni porojo zenu mitandaoni, Kama ni kweli ingieni barabarani au fungueni kesi dhidi ya mahakama kupinga hiyo hukumu,uku mitandaoni mnako lia lia nyinyi na madereka wenu tambueni mitandaoni tupo wachache so tafadhali ingieni mahakamani au barabarani maandamano dhidi ya uhuru upuuzi na ushuzi...
  7. BR Stationary

    Usijilinganishe na mtu mwingine

    Maisha ni safari, si mashindano. Usijilinganishe na mtu mwingine, kila mmoja ana muda wake wa kufanikiwa. Kuna siku utacheka, kuna siku utalia, lakini usikate tamaa. Jifunze kuvumilia, kufanya kazi kwa bidii na kumwachia Mungu nafasi yake. Kumbuka, kuchelewa kufika si kushindwa kufika. Leo...
  8. 1995El

    Sio kila ukimya ni kushindwa; wakati mwingine ni maandalizi ya kurudi kwa nguvu zaidi!

    Sio kila ukimya ni kushindwa; wakati mwingine ni maandalizi ya kurudi kwa nguvu zaidi! Kuna nyakati unajikuta huna nafasi ya kusema unachotaka kusema. Unalazimika kusubiri, kutafakari na kujifunza kutokana na mambo yaliyotokea. Lakini nimejifunza jambo moja: Usiruhusu changamoto za muda...
  9. Mzee Mwanakijiji

    Angalizo kesi ya Tundu Lissu: Mahakama Kuu isifanye kazi ya CCM

    Na. M. M. Mwanakijiji Chama cha Mapinduzi kiko katika matatizo makubwa sana. Chama hiki kinachounda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado kinaishi kwa fikra za kushika hatamu. Katika fikra hizi chama hiki hakikubali kuwa kiko kwenye matatizo makubwa. Tatizo lake kubwa ni jinsi gani...
  10. U

    Kashfa ya ufisadi wa kutisha Kanisa la Wasabato, kigogo mwingine ajiuzulu kwa ufisadi wa dola milioni 63

    Rais Mwingine wa Division ya Waadventista Apoteza Nafasi Yake Katika Kashfa ya Kifedha Inayodaiwa ya Dola Milioni 63 Rais mwingine wa Division ya Waadventista anapoteza nafasi yake huku kukiwa na taarifa za kashfa ya kifedha inayodaiwa kuhusisha dola za Marekani milioni 63. Mchungaji Soon Gi...
  11. D

    Nani mwingine amegundua hizi picha za wanafunzi zinasambazwa kimkakati sana?!!!!

    Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa. Tunaishi...
  12. Gobole Lenye Risasi

    Wakati mwingine ni ngumu kutuelewa sisi wanaume

    Unakutana na demu mkali. Unaomba namba ya simu anakupa. Kesho Unakuja kumpigia kumsalimia anaitikia fresh tu na masham sham kama yote. Unamwuliza u wapi anajibu home. Unamwuliza lini tunaweza onana anakuambia hata muda huu mi fresh tu. Unamwuliza nikutumie nauli anasema tuma lakini si kwa...
  13. A

    Serikali ya ccm oneni aibu wakati mwingine

    Iko hivi,baada ya maporomoko ya Hanang 2023,wadau mbalimbali wakishirikiana na serikali walitoa misaada mbalimbali.Benki ya Dunia kwa maelezo ya baadhi ya viongozi ilitoa takriban sh billion nne kujenga madaraja kwenye mto wa mafuriko na kuupanua mto.Cha ajabu ccm imejenga madaraja manne TU...
  14. Frank Wanjiru

    Kawaida: Ukimwacha Mungu na Mtume anayefuata ni Rais Samia, hakuna mwingine

    Kwa hiyo huyo 'Daktari' Samia Suluhu Hassan anamzidi hata Yesu Kristo pamoja na manabii na mitume wote waliomtangulia na kuja nyuma yake ukiachia huyo 'Mtume'? Tunasubiri kusikia hiyo 'past tense' yako Bw. Kawaida. Kumbuka kuwa hata Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri na yeye aliwahi...
  15. F

    Swali je kuna mganga wa kienyeji mkali ambaye dawa na mizimu yake inaweza kumfanya aweze kufungua password ama pattern ya simu ya mtu mwingine ?

    nimekutana na hii post sehemu, nikajiuliza nami , je kuna mganga wa kienyeji mwenye huo uwezo?
  16. instinct desire

    Watanzania tunapenda kutapeliwa. Hivi sasa Kuna mtu yupo busy anacheza kindege, mwingine analipia app ya Mange, mwingine anawachangia CHADEMA

    Sijui ni kukosa elimu ya fedha au ni ujinga tu, hivi inakuwaje mtu na akili zako ufilisike kisa kucheza kamali? Inamaana huwezi kuacha au mnalogwa au ni laana? Watu wamekuwa vichaa kisa kamali lakini watu bado🤣 Ukiona unafilisika kisa kamali si uache Kuna haja gani kuchukua mkopo bank ili...
  17. Waufukweni

    Dorothy Semu: Maridhiano si kushinikiza upande mmoja kuukubali mwingine

    Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu, amesema taasisi hiyo itaendelea kuunga mkono majukwaa yanayowezesha mazungumzo, uvumilivu, ushirikishwaji, kuheshimu tofauti za kisiasa na utatuzi wa migogoro kwa njia za amani na kisheria. Amesema TCD inaamini demokrasia imara...
  18. M

    Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Wakili Keneth Roja Nkiko, mwenye umri wa miaka 28 na mkazi wa Mwigobero, kwa tuhuma za kumuua Magreth Hamisi Richard, mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Mukendo, Manispaa ya Musoma, akidaiwa kutenda tukio hilo kutokana na wivu wa kimapenzi. Kwa mujibu...
  19. Kaka yake shetani

    Wazo lako linaweza kuwa Mwanzo wa Mafanikio ya Mtu mwingine

    Hoja kubwa si kwamba “usimwamini mtu yeyote,” bali ni kwamba wazo pekee halitoshi kulinda thamani yake. Mwanadamu anaweza kuona wazo la mwingine, kuliboresha, kulitekeleza haraka, kupata mtaji, au kulipeleka kwenye soko kabla mwenye wazo hajafanya hivyo. Kuna kosa ambalo watu wengi wenye...
  20. Hance Mtanashati

    Mali na madaraka isikufanye upoteze , udhulumu haki ya mwingine . Kesho una la kujibu mbele ya Allah .

    Mali na madaraka ni vitu vya kupita, tamaa ya mali na madaraka isikufanye udhulumu , ushiriki au kushadadia haki ya mwingine ya kuishi ikipokwa. Kila mja ni mchunga na mbele za Mwenyezi Mungu ataulizwa alichokichunga.
Back
Top Bottom