mwezi

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mahafali ya Mzumbe kusogezwa Oktoba badala ya Novemba na Disemba inatuathiri Wahitimu

    Mahafali ya Mzumbe Awali, mahafali yalipangwa kufanyika mwezi Desemba, jambo ambalo lingetupatia muda wa kutosha kukamilisha tafiti zetu na kuwa na uhakika wa kuhitimu mwaka huu. Hata hivyo, tangazo la ghafla la tarehe 10 kuhusu kuhamishiwa kwa mahafali mwezi Oktoba kutokana na El Niño...
  2. JamiiForums Tanzania Kijana investment ni muhimu sana hata kama itakupa shilling 500 iheshimu

    Kama una 10M Yas kibubu, M.wekeza Utt amis
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Askofu Mwenye Mshahara wa KSh1.2M kwa Mwezi Afungua Kesi Dhidi ya Kanisa Aliloanzisha, Adai KSh21M

    Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni. Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya DAWASCO hayatoki tangu mwezi 10, 2025 hadi sasa

    Dar es salaam mtaa wa Mburahati Barafu kwa Shebe DAWASCO maji hayatoki tangu mwezi 10, 2025 hadi sasa hata ukiwapigia Magomeni majibu hawana wala sababu hawana. Ni maeneo ya Mburahati Barafu kwa Shebe karibu na Magomeni; tusaidieni. Hadi tushasahau kama kuna maji ya bomba yanayotolewa na...
  5. JamiiForums Tanzania EPL, Bundesliga,Laliga,Conference,Europa,Champions League ,Dfb-pokal Alafu bado unakosa Odds 20??? Huu ni mwezi wa kustaafu kubeti ukituliza kichwa

    Hapa sio odds 2 tu ukitulia unatengeneza hata odds 50 mpaka 100 kikubwa focus upande wa magoal. Hasahasa hawa wajerumani wa Dfb na Bundes rahisi kuokota huko Conference unaweza hata kucheza direct na ukaokota odds za kutosha. Weka 10,000 mpaka 50,000, tustaafu game nyingi sana huu mwezi...
  6. JamiiForums Tanzania Nashauri mwezi Oktoba uwe mwezi wa likizo ya mapenzi

    Kutokana na matukio ya visa vya mauaji kushamiri mwezi huu wa OCTOBER naomba muswada wa dharura upelekwe bungeni kuliokoa taifa na mauaji ya walimbwende.Mwezi october nchi nzima watu wote waachane na shughuli za mapenzi kwa siku 30 mpaka november 1. Hii itasaidia kupunguza mikwamo ya kihisia na...
  7. JamiiForums Tanzania EWURA wametangaza Bei mpya za Mafuta kwa Mwezi October, 2026. Yes, ulichofikiria upo sahihi. Yamepanda!

    Wanaboa bwana.
  8. JamiiForums Tanzania Tunatimiza mwezi sasa hakuna kisa cha kutekwa mtu...

    Angalau tusherekee kama taifa kutimiza mwezi mmoja bila kuskia taarifa za kutekwa kwa raia wa kitanzania..... Hongereni sana vyombo vya ulinzi na usalama kuimarisha ulinzi...
  9. JamiiForums Tanzania Huwa natumia dollar 200 sawa na 460k za kitanzania kulipia internet kwa mwezi.

  10. JamiiForums Tanzania Naitaji kupata mafunzo ya upishi kwa kozi fupi ya Mwezi Mmoja

    WanaJF Habari Naomba msaada wa kuunganishwa na kozi fupi ya mapishi, Maana nimegundua Furaha yangu Kubwa ipo kwenye Chakula kizuri Muda Wangu ni mchache Kwa hiyo Zile za veta miezi Sita Sito ziweza NB Kama Ipo basi Naomba Taarifa Kama Haipo basi ambao Wapo Tayari waje PM Tuungane Tuweke...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi

    Benki hazitoi taarifa za kutosha kuhusu makato ya akaunti, kama vile ada za kadi na makato ya kila mwezi. Mara nyingi, mteja hushawishiwa kufungua akaunti bila kuelezwa kwa uwazi gharama zote, kisha hujikuta akikata pesa bila taarifa ya kutosha. Nilifungua akaunti CRDB miaka kadhaa iliyopita...
  12. T

    JamiiForums Tanzania OCTOBER: Mwezi wa malkia wa rozari takatifu

    Tumsifu yesu kristu. Tupo ndani ya octoba (mwezi wa kumi), ni mwezi ambao kanisa katoliki liliuchagua kuwa mwezi maalumu wa rozari takatifu kwa ajili ya kumuenzi mama bikira aliye mama wa mkombozi na mwombezi wetu. Ingawa rozari husaliwa na wakristo kila siku ila kanisa liliona ni vyema...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 kiwanda kinachoweka rekodi mpya ya kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi na kuajiri vijana 2000

    Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi ubora BS 500. lakini pia atazalisha square pipe na...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Nchi inaweza kuwa bila Daktari kwa zaidi ya mwezi mmoja lakini haiwezi kuwa bila askari hata kwa siku 5 tu.

    Nyie ambao mlimtweza yule askari wa usalama barabarani na aliyeangushwa na yule Daktari mwenye kisukari cha kupanda na kushuka lazima mkubali huu ukweli. Jamii yoyote, mtu yeyote ana nature ya uasifa tabibu. Mtu akipata ugonjwa kama hana pesa au bima ya kwenda hospital atapata njia mbadala...
  15. JamiiForums Tanzania Ndoa ya kiroho kati ya jua na mwezi( patano la uwili)

    Leo tujadili ya rohoni kidogo! Katika safari ya maisha ya mwanadamu, jua la kiroho na mwezi wa kiroho ni alama kuu zinazowakilisha nguvu mbili zilizopo ndani ya kila nafsi. Wakati Jua linasimama kama chimbuko la mwanga, utashi wa kimungu, na nishati ya utendaji, mwezi unawakilisha ulimwengu...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Halmashauri ya Biharamulo tunalazimishwa kufanya usafi huku tukilipa fedha za usafi kila mwezi

    Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kusafisha mifereji ya maji na maeneo mengine...
  17. M

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali imebadili ratiba ya mitihani kisa El-Nino. Vipi kuhusu wanafunzi wanatakiwa kwenda pre form one Mwezi huu wa tisa na wa kumi mwanzoni?

    Nimeona taarifa kuwa serkali imebadili ratiba za mitihani kwa wanafunzi wote waliotakiwa kufanya mitihani ya kitaifa na ratiba kurudishwa nyuma. El Niño yabadili ratiba ya mitihani ya taifa Kuna shule ambazo za watu binafsi ili mtoto apate nafasi ya kusoma kwenye shule hizo ni lazima aende pre...
  18. JamiiForums Tanzania Mara pap uganda ifunge mto nile usitoe maji ziwa victoria kwa mwezi 1

    Unaisi nini kitatokea 1.. 2.. 3.. 4.. Narudi kupitia majibu
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni tamaa za wahindi walioanza kuwa ceo wa makampuni ya tech au? kwanini sikuhizi software nyingi unalipia kila mwezi au mwaka badala ya moja kwa moja?

    Hapo zamani softwares nyingi zilikuwa za kulipia moja kwa moja, sikuhizi ni monthly / Annual. Na ukiangalia makampuni mengi sikuhizi ya Tech, Ma Ceo ni wahindi
  20. JamiiForums Tanzania Huu mwezi nimgumu sana kwangu sijui kama nitatoboa salama

    Mwanzoni mwa mwezi kuna project nikaifanya ikanikomba akiba yote na haikuwa vile nimetarajia Sijakaa vizuri nimepata loss iliosababishwa na mpinzani wangu hii imenikwangua kiasi cha laki5 Haitoshi pia jana nimeibiwa simu na vikorokoro vingine vya kazi hapa ninapoandika nimeingia dukani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…